Thursday 20 December 2012

RE: [wanabidii] Re: Serikali ya CCM kutumia ITV, Star TV na TBC1 Kueleza mafanikio ya Serikali - William Lukuvi

Yona,
 
apana si kweli. Kama umefanya kitu watu wenyewe wanaona si lazima ulitangaze. Linaonekana lenyewe. Hebu nikupe mfano kidogo uweze kuelewa. Leo hii tunakumbuka mengi aliyoyafanya Marehemu Baba wa Taifa kwa Taifa hili, je aliyatangaza wapi? Wananchi si wanayaona wenyewe?? Na mpaka leo wanamkumbuka.
 
CCM wangekuwa na akili wagejikita katika forward looking na si kila siku kuja takwimu za eti wakati wa uhuru tulikuwa na wahanindisi kumi leo tuna wahandisi zaidi lefu kadhaa. Hizo takwimu zinawatia watu kichefuchefu kwani watu wana matatizo mengi na lukuki katika majumba yao. Huna haja ya kuwa na akili nyingi Yona, hali inaonekana. Hebu tazama ukipita katika Jiji la Dar es Salaam, angalia watoto omba omba walivyojaa wakigombania kuosha vioo vya magari badala ya kuwa darasani. Halafu wewe unaimba mafanikio, mafanikio gani hayo? angalia vija wenye nguvu wanapita barabarani wakiuza big g na korosho. Watu wapo katika lindi la umaskini huku wakisikai mabilioni ya fedha yamefichwa njee, halafu wewe unasema mafanikio!! Je uliangalia kipindi cha Lukuvi Star TV cha Tuongee Asubuhi?? Kama hukuangalia uliuza, kilichompata Lukuvi. Aliulizwa maswali na kupingwa kwa hoja mpaka akawa mkali. Hii si mara ya kwanza kwa wao kufanya hivyo. Waliwahi kufanya na ilifeli na this time is going to fel as well utaona.
 
Vyama vingine si rahisi kupata air time kama chama tawala. Pia ni lazima ufahamu kuwa air time ni ghali sana, very expensive na vyama hivi ambavyo havina raslimali nyingi vina mambo mengi ya kufanya, hivyo haviwezi kumudu gharama hizo. Lakini kwa chama tawala kinapata ruzuku kubwa sana, kinachangiwa na wafanyabiashara ambao wana lobby kupewa kandarasi serikali, lakini pia chama tawala kinaweza kutumnia zile mbinu zake kama za EPA n.k. Hivyo wao wanaweza kumudu gharama hizo.
 
Lakini mimi na wewe hatujui kama kweli wanalipa, kwa sababu TV stations hizo ni za zinamilikiwa na wananchama wa ccm na mmoja ni Mwenyekiti wa chama wa CCM Mkoa. Pia inawezekana kuwa gharama hizo hazilipwi na CCM bali zinalipwa na Serikali kwa kutumia kodi zetu.
 
Nimalizei kwa kukuliza unajuaje kama CCM wanalipia gharama hizo??? una ushaidi? au ulikuwepo wakati wanalipia???
 
Selemani

> Date: Thu, 20 Dec 2012 04:41:51 -0800
> Subject: [wanabidii] Re: Serikali ya CCM kutumia ITV, Star TV na TBC1 Kueleza mafanikio ya Serikali - William Lukuvi
> From: oldmoshi@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Unapofanya kitu au jambo lazima ulitangaze ili liweze kujulikana ,
> naunga mkono kwa CCM kutumia vyombo vya habari na njia nyingine za
> mawasiliano kwa ajili ya kutangaza kile ilichoahidi na kutekeleza
> vyama vingine navyo vitumie vyombo vya habari kuuambia umma vile
> walivyotekeleza ahadi zao kwenye majimbo au halmashauri zao .
>
> Kwa sababu CCM inalipia gharama hizo kwa fedha zao wenyewe hakuna
> shida yoyote wako huru kufanya hivyo na ni haki yao ya msingi kabisa .
>
> On Dec 20, 12:02 pm, Selemani Rehani <sreh...@hotmail.com> wrote:
> > Nimekupata Kivuyo.
> >
> > From: lembu.kiv...@gmail.com
> > Date: Thu, 20 Dec 2012 11:49:45 +0300
> > Subject: Re: [wanabidii] Re: Serikali ya CCM kutumia ITV, Star TV na TBC1 Kueleza mafanikio ya Serikali - William Lukuvi
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Hivi huwezi fikisha ujumbe bila kuamsha hasira za mwingine?
> >
> > Ndg yangu Selemani, Dakika 45 ya Selemani Semunyu ilikuwa ni kipindi cha majaribio kwa CCM kutumia TV kwa ajili ya propaganda zao sasa wanataka kuimpliment kwenye Media zote za kitaifa
> >
> > Selemani Semunyu yuko pale tu kama button, anapewa maswali na wakuu wetu wanakuja na majibu za kipropaganda tayari.
> >
> > Real Change for Real Development,
> >
> > Lemburis Kivuyo
> > +255654650100/078 7665050/0755646470
> > Website:www.kivuyo.com,  Skype: lekivuyo, Facebook:http://facebook.com/lemburis.kivuyo, Titter:http://twitter.com/lembu1, Linkedin:http://tz.linkedin.com/in/lembukivuyo, Google+: gplus.to/lembukivuyo
> >
> > 2012/12/20 ezekiel kunyaranyara <ekunyarany...@yahoo.co.uk>
> >
> > Seleman
> >
> > Ngoja nibaki na ujinga wangu. Utavimbisha shavu na kutoa mapovu mdomoni mwako bure. Kama hujui siasa tulia upate somo na ujinga wetu. WIVU.
> >
> > Biashara ni kujitangaza, vinginevyo hakuna kitu kaka. Bidhaa hata kama watu wanaiona inategemea unaisemeaje bro. Hiyo ndiyo kazi inayofanyika. Ninyi mmepiga siasa na kuwajengea hofu wananchi wanawaona kama ninyi ni watu wa fujo na ndivyo mlivyo. CCM ambacho ndicho chama kilichoko madarakani kwa sasa kina kila sababu ya kueleza kile ilichokifanya na ambacho inategemea kukifanya. Jambo hili litaondoa hofu kwa wananchi wetu.
> >
> > Njia za kufanya hivyo ziko nyingi kama ulivyotaja. Kama unaona hili haliwezekani mbona CDM mnatumia sana vyombo vya habari? au hii ni sawa kwenu tu kwa wengine ni dhambi?
> >
> > Ni mkuki kwa nguruwe sasa kwa mwanadamu ni mchungu eti bro pole....
> >
> > K.E.M.S.
> >
> > From: Selemani Rehani <sreh...@hotmail.com>
> > To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>; mabadiliko Tanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> > Sent: Wednesday, 19 December 2012, 23:17
> > Subject: RE: [wanabidii] Re: Serikali ya CCM kutumia ITV, Star TV na TBC1 Kueleza mafanikio ya Serikali - William Lukuvi
> >
> > Ezekiel,
> >
> > Wivu maana yake nini? Suala la wivu hapa linakuja vipi? Jibu hoja, acha lugha za ....... Lakini kwa nini napoteza muda wangu kulumbana na mjinga kama wewe? Wewe jielekeze katika hoja usianze kunihukumu kuwa nina wivu, jibu hoja, eleza mtazamo wako. Vinginevyo usinipotezee muda.
> >
> > Date: Tue, 18 Dec 2012 11:48:37 +0000
> > From: ekunyarany...@yahoo.co.uk
> > Subject: Re: [wanabidii] Re: Serikali ya CCM kutumia ITV, Star TV na TBC1 Kueleza mafanikio ya Serikali - William Lukuvi
> > To: wanabidii@googlegroups.com; mabadilikotanzania@googlegroups.com
> >
> > Seleman
> >
> > Huo ni wivu kaka ngoja wenzio watangaze walichofanya, kazi sasa ibakie kwa wananchi kuamua kama ni kweli au si kweli.
> >
> > K.E.M.S.
> >
> > From: Selemani Rehani <sreh...@hotmail.com>
> > To: mabadiliko Tanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> > Cc: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> > Sent: Tuesday, 18 December 2012, 3:25
> > Subject: [wanabidii] Re: Serikali ya CCM kutumia ITV, Star TV na TBC1 Kueleza mafanikio ya Serikali - William Lukuvi
> >
> > Ndugu zangu,
> >
> > Jana nilikuwa mapumziko kidogo, nakapata nafasi ya kumsikiliza Waziri Lukuvi katika kipindi cha kumekucha ITV. Kwa ufupi alisema kuwa Serikali ya awamu ya nne imepata mafanikio makubwa sana ila wananchi hawayajui. Hivyo wameamua kuja na wazo la ubunifu, kuanzia siku chache zijazo, kutakuwa na vipindi maalumu kwa muda wa nusu saa ambapo Mawaziri mbalimbali watatumia muda huo kueleza mafanikio yaliyopatikana kupitia TV stations zifuatazo ITV, TBC1 na Star Tv. Hili ni zoezi endelevu mpaka 2015. Wazo hili ni moja ya maazimio yaliyotokana na Mkutano mkuu wa CCM uliofanyika hivi karibuni. Akawaomba wananchi wasikose kuangalia vipindi hivi.
> >
> > Hivi kama kuna mambo mazuri si yanaonekana tu?? mpaka myatangaze?
> >
> > Hivi wakati wananchi wanakabiliwa na changamoto lukuki kuwahubiria mafanikio si kuwadhihaki? watu hawana maji, hawana makazi ya mazuri, rushwa na ufisadi vimekithiri wewe unazungumza ujenzi wa barabara na majengo (wengine wanaita shule, lakini sio shule, yale ni majengo. Shule ni ile inayotoa elimu na ina mazingira ya kutoa elimu) ambayo hayana waalimu, hayana vitabu wala maabara!!!
> >
> > Jitayarisheni kuelemishwa juu ya mafanikio ya CCM.
> >
> > Selemani
> > --
> > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> > nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> > Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
> >
> > DELL LATITUDE D 620 & D30
> >
> > 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> > DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
> >
> > TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
> >
> > CALL : 0786 806028
> > Free Delivery in Dar es salaam
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

0 comments:

Post a Comment