Saturday 22 December 2012

RE: [wanabidii] Re: SABABU MBILI KWANINI UMEOA; MTAZAMO WA KIFALSAFA ZAIDI

Bwana kambota, inakuaje kwa wale ambayo wanatawaliwa na wake zao? Kama hulka ya kuoa kwa mwanaume ni kumtawala mkewe? Je kwa wale wanaotawaliwa na wake zao:  inakuaje?

 

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Kilasara Fratern
Sent: Friday, December 21, 2012 12:33 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: SABABU MBILI KWANINI UMEOA; MTAZAMO WA KIFALSAFA ZAIDI

 

Mada haina mashiko, na aliyeitoa, ajitafakari vizuri, ni dhani ghani alitaka kuifikisha kwa wasomaji wake???

2012/12/20 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>

Watu wanakubaliana kuoana au kufunga ndoa - kwangu mimi hii sentensi
eti Kwanini umeoa sikubaliani nayo labda iwe kwanini mmeoana au
kwanini mmefunga ndoa , kwanini mmeamua kuwa mwili mmoja .


On Dec 20, 3:33 pm, ambele mwakipesile <ambw...@yahoo.com> wrote:
> Sio wanafalsafa wote hukubaliana katika nadharia zao, ndio maana hata plato ambae alikua ni mwnafunzi mzuri wa socrates kuna baadhi ya mabo aliyachambua kwa mtizamo wake tofauti na mwalim wake huyo halkadhalika hatikana crito, critobulus , anex manes , anex mandes na thales walitofautiana kimitazamo katika ufafanuzi wa mambo fulani sasa wewe mtoa mada una uhuru wa kutoa maoni yako na mtizamo wako ila nakukumbusha hata wakongwe wa falsafa kama akina socrates walioa na walikua na watoto wao, rejea kitabu philosophical problems katka mada iitwao problem of clarification utaona jinsi socrates alivyokua anatoa usia kwa wanae kupitia kwa mwanafunzi wake critobulus kabla ya kupewa sumu na kuuwawa kwa kosa la impiety kudai kua anawaharibu vijana kwa kkuwafundisha wasiiabudu miungu ya kiigiriki kwani sio miungu ya kweli.
>
> Mimi nina os kwakua nilazima kua na familia imara yenye malezi bora ya baba na mama na pian kutimiza maandiko ya vitabi vitakatifu ya kuoana na kuujaza ulimwengu
>
> ________________________________

>  From: Novatus Kambota <novakamb...@gmail.com>

> To: mabadilikotanzania@googlegroups.com; wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Monday, December 17, 2012 10:49 PM
> Subject: [wanabidii] SABABU MBILI KWANINI UMEOA; MTAZAMO WA KIFALSAFA ZAIDI
>
> Wewe ni mwanaume? unajua kwanini umeoa? wanafalsafa wanatoa sababu kuu mbili kama ifuatavyo;
>
> 1. Ubinafsi
> Mtu anaoa kwasababu ya hulka yake ya ubinafsi anataka kumfanya mwenza wake awe wa peke yake
>
> 2. Hulka ya kumtawala mkeo
>
> Hii ni sababu ya pili, kwamba kila mwanadamu ana hulka y akupenda kumtawala mwingine hata watu pia huoa ili waweze kutawala wenza wao
> --
> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




--
Fratern Kilasara,
P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
Dar es Salaam - Tanzania.
Telephone (Office): +255 (0)22 2700021/4 Ext No. 239; Fax: +255 (0)22 2775591
Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
Emails: kilasara.fratern@gmail.com or kilasara.fratern@yahoo.com

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment