Sunday 23 December 2012

Re: [wanabidii] RE: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Ndugu zangu!
Yale yale! Nikiangalia majina yanayochangia humu mambo ya siasa na uzito wa mada napata faraja kuwa TZ kuna raslimali watu ambayo inahitaji tu "commitment" na uelekeo sahihi wa fikra ili kuondoa changamoto za maisha ya WaTZ.
Hivi hatuoni aibu kila kukicha kuongelea majina?
Hivi ni kweli kuna wanasiasa wanaosimama jukwaani na kuongea "Issues?" kweli?
Hata hao wanaoshabikiwa sana waingie madarakani wameshawahi kuku "convince" kuwa wanaweza kuleta mabadiliko kwa maisha ya waTZ? Nilibahatika kufuatilia Kampeni last time; na kweli wangeweza kuingia Ikulu ila si kwa kutuambia watashughulikiaje "issues" bali kwa ulaghai kwa kuwa waliokuwa wanawaambia hawana upeo wa kuelewa; kwa hiyo inakuwa rahisi kumteka mtu wa hivyo na kumjaza laghai. Baada ya hapo?
Hakuna hapa asielewa Serikali inaongozwaje; uchumi unakuaje.
hakuna humu asielewa kuwa kuleta mabadiliko si kubadilisha watu bali mfumo.
Lakini napata taabu kusoma hayo yenu; watu wanataka leo ama 2015 kuwe na viongozi watakaoondoa rushwa; watakofanya hili ama lile (yako mengi ukiyaoridhesha) lakini hatufikirii yakiisha hayo itakuwaje?
Tutapanga foleni wananchi tuwagawie mapesa?
Kwa kuwa wanaoingiza watu Ikulu ni waTZ wasio na upeo wa kuelewa; kwa nn tusifikirie njia m badala badala ya kulazimisha?
Mi naona kama vile haya mambo yanakwenda kwa wivu; kwamba fulani na "Circle" yake anakula sana pale kwa hiyo tunahitaji "Circle" mpya ya kula (labda na baadhi yetu tutapata kaharufu ka chakula) tukisahau kuwa kuna mamilioni ya walipiga kura ambao wanaona giza tu na hawako karibu na hako kaharufu...
Kwa mfano; nilitegemea watu wa forum hii kwa habari za kisiasa wajadili kuchangia mabadiliko ya Katiba kuwa ili kuondoa kabisa wanasiasa warongo; upigaji kura uwe wa uwakilishi; kwamba mpiga kura walau awe na uelewa fulani hivi kiasi cha "kuwaona" hao wa sera za urongo.
Inawezekana ni kiasi cha kuamua kufikiria mfumo tu.
Ningependa sana waTZ wote wangekuwa na "elimu" ya kutosha kujua mambo ya nchi yao sio kusikiliza urongo na baadae kuupigia kura urongo huo huo; utabadilisha watu lakini hata aingie nani usishangae kuona hakuna mabadiliko kwa wapiga kura!
Hili la waTZ wote kuelimika ni gumu sana kwa sasa ndo maana nilidhani tuanze na uwakilishi; lakini wakati huo huo kwa nini tusiwekeze kwenye elimu? Yaani "culture" yetu ibadilike tupende kuwa na kizaki kilichoenda shule? Hili linawezekana kwenye "level" zetu (binafsi). Tuklpata wapiga kura wanaolewa tutapata viongozi na mfumo wa uongozi ambao utakuwa jawabu letu; hatukaa kuongelea majina ya watu wala vyama hapa.
 Nani yupo tayari kutengeneza "action plan" ya mabadilko? Kuanza misingi leo kwa ajili wa kizazi chetu kesho? Bila shaka watakuwa wachache sana kwani hulka ya "average mind" ni kutaka mabadiliko leo ili uonje kadha yake na kwa kuwa mambo yanaenda kwa mifumo inaishia vurugu ama chuki.
Tunaweza kuwa na "strategic thoughts" tukipenda kwa kuwa tumeenda shule na tutakuwa tunawatendea haki sana wale (wapiga kura) ambao hawakupata fursa ya kupandisha madarasa.
Tukiongea na kuchangia kama wao, Mwenyezi Mungu atuokoe!
Sio makala, sina ujuzi wa kupanga mawazo kimaandishi na poleni kwa kuchukua muda mrefu kusoma lakini naamini ujumbe umefika.
Nawakalisha...

2012/12/24 <josephludovick@gmail.com>
Kigwangallah,unakumbuka makofi uliyopigwa ulipojaribu kuiga uzalendo wa chadema? Hicha ndicho weniyo wamezoea.na subiri bashe atakavyokutoa hapo.next time huna wa kufoji ili upite bure.dhaifu hatakuwa na nguvu
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Date: Sun, 23 Dec 2012 17:53:06 -0500
Subject: Re: [wanabidii] RE: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Hamisi Kigwangalla,
Tangu lini na wewe umekuwa Chadema? Unatoa wapi ubavu wa kusema Slaa amechoka na hana hoja tena? Kama Zitto ni
makini kihivyo kamchukueni CCM ambako vijana makini wamejaa kama vile wewe na Makamba. Hivi huko CCM hamna matatizo ya kuwatosha kushughulikia badala ya kuja kutafuta uchovu wa Slaa?
em

2012/12/23 <hkigwangalla@gmail.com>
Kumekuwa na tabia ya watu kuleta hoja dhaifu sana na za kitoto hapa jukwaani, hivi Yona hawa wanachama wa hivi huwa unawatoa wapi?

Slaa amechoka na hana hoja tena siku hizi, awaachie vijana makini kama akina Zitto wafanye kazi ya kueleweka, yeye akalee watoto wake tu na mchumba wake Jose.

Kama hana kazi nyingine ya kufanya arudi shuleni akasome Bachelor degree ili ahalalishe ile Ph.D yake aliyoipata akitokea Diploma!

Urais wa nchi haupewi pewi tu, unatafutwa kwa wenye nchi. Mwambieni Slaa akatafute walau Urais wa NGO kama anatamani sana hiyo title
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: GILL DAVID <gilldavidk@yahoo.co.uk>
Date: Sun, 23 Dec 2012 09:29:17 +0000 (GMT)
To: <hlib@muhas.ac.tz>; <mum@mum.ac.tz>; <info@mzumbe.ac.tz>; <info@out.ac.tz>; <info@ruco.ac.tz>; <mfumbusa@yahoo.com>; <vcsaut@saut.ac.tz>; <admission@saut.ac.tz>; <stmarksadmin@sjut.ac.tz>; <gchelelo@sjut.ac.tz>; <admin@sjut.ac.tz>; <sua@suanet.ac.tz>; <vc@suanet.ac.tz>; <dvc@suanet.ac.tz>; <dvcadminfin@suanet.ac.tz>; <fos@suanet.ac.tz>; <ice@suanet.ac.tz>; <sua-tu@suanet.ac.tz>; <scsrd@suanet.ac.tz>; <pestman@suanet.ac.tz>; <plan@suanet.ac.tz>; <pro@suanet.ac.tz>; <support@suza.ac.tz>; <info@teku.ac.tz>; <dpacademic@duce.ac.tz>; <elctsmmuco@smmuco.ac.tz>; <info@butmaninternational.com>; <sematangotours@cybernet.co.tz>; <serenacarhire@habari.co.tz>; <sgresort@yahoo.com>; <sss@habari.co.tz>; <tours@albatros.co.tz>; <mia@albatros.co.tz>; <info@chadema.or.tz>; <rassingida@pmoralg.go.tz>; <mhariri@habarileo.co.tz>; <advertising@dailynews.co.tz>; <jennie@albatros.co.tz>; <shidolya@yako.habari.co.tz>; <sssafaris@cybernet.co.tz>; <s-s.kolowa@web.de>; <wanabidii@googlegroups.com>; <unasemaje@radiofreeafricatz.com>; <mwananchipapers@mwananchi.co.tz>; <globalpublishers@dar.bol.co.tz>; <educate@intafrica.com>; <costech@costech.opc.org>; <info@satif.or.tz>; <info@satf.org>; <eotf@raha.com>; <eotf@cats-net.com>; <zitto@chadema.or.tz>; <worldtourstanzania@hotmail.com>
Subject: [wanabidii] RE: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Kama CCM inakubali kuwa Dr. Slaa ana kadi ya CCM na ni mwanachama hai basi Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete anapaswa apumzike kipindi hiki kilichobaki cha uongozi ampishe Dr Slaa aingie ikulu amsaidie kumalizia mda huu uliobaki kusafisha uchafu uliopo ndani ya chama na Serekali kwani yeye mheshimiwa Kikwete ameshindwa.Kama Dr Slaa aliweza kuwataja Mafisadi  pale Mwembe Yanga tuna imani naye zaidi kuwa ataweza kupambana nao kuliko Mheshimiwa Kikwete ambaye ametajiwa kabisa Wezi wa mali za Umma lakini anakaa nao meza moja na kula bila kuwachukulia hatua zozote.

Watanzania wengi tungelijua hilo Mapema kuwa Dr Slaa anayo kadi ya CCM tungeandamana mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete asiingie Ikulu kwani hata kwenye kura za uchaguzi vyombo vingi vya kusimamia uchaguzi kutoka nje ya nchi vilishatamka kuwa Dr Slaaa ndiye alikuwa anaongoza kwa kuwa na kura nyingi lakini Serekali ikachakachua matokeo. Uwezo wa kiutawala wa Dr Slaa ni bora mara mia moja kuliko wa mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na ndio maana hata midahalo anaikwepa. Dr Slaa ndiye anafaa kuiongoza nchi mara dufu kulikoni JK.

Ukiangali sana kila Kiongozo yeyote wa Upinzani wote wametokea CCM na kuanzisha vyama vingine. Wote lazima walikuwa na Kadi za CCM. Sasa inaelekea wengine walitupa kadi zao ama kwa kuwa walikuwa hawazilipii au pengine wanadaiwa na CCM kuzilipia kadi hizo jambo ambalo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Nape Mnauye anatakiwa afuatilie madeni badala ya kupiga kelele hovyo kwa mtu aliyelipia kadi yake na hana deni kama Dr Slaa. CCM ni chama Mama wa vyama vyote. Hivyo mimi sioni sababu ya wao kupiga kelele eti Dr Slaa ana kadi ya CCM. Kadi ile inaweza kuwekwa kwenye jumba la Makumbusho ya chama cha CHADEMA kila mtu ajue jinsi gani Katibu wao alivyokuwa mwadilifu kwa kulipia kadi yake ya uanachama kwa miaka zaidi ya 20 kwa wakati mmoja.

Serekali ya CCM ina tabia ya kuwafanya Watanzania kuwa wajinga na pengine wapumbafu. Nchi ina mjadala wa fedha zilizofichwa nje. Fedha ambazo zimeyumbisha uchumi mzima wa Taifa. Badala viongozi wa CCM na Serekali yake kujadili jinsi ya kuzirudisha fedha zile zisaidie kuongeza madarasa ya watoto wengi waliofaulu na hawana madarasa wao wanaingiza nchi kwenye mijadala isiyo na tija. Dr Slaa kuwa na kadi ya CCM hata kwenye pochi yake kunamuathiri nini mkulima na mfanyakazi wa Tanzania, au mtoto wa Kitanzania au mfanya biashara wa Kitanzania. CCM acheni mijadala isiyo na tija. Tumewachoka. Porojo mingi sana. Kama mnataka mbaki madarakani jadilini yafuatayo mjinusuru mwaka 2015.

-Fedha zilizopatikana kwenye mashirika ya umma mliyoyauza ziko wapi?

-Fedha zilizopatikana kwenye viwanda vya umma mlivyouza ziko wapi?

-Fedha zilizopatikana kwenye wanyama mliowawinda na kuwauza nje ziko wapi?

-Fedha zilizopatikana kwenye shamba za umma mlizouza ziko wapi?

-Fedha zilizopatikana kwenye nyumba za umma mlizouziana ziko wapi?

-Fedha zilizopatikana kwenye migodi ya umma zimefanyia kazi gani?

-Fedha zilizopatikana baada ya kuuza Ranch za Taifa ziko wapi?

-Fedha zilizofichwa nje ya nchi mnazirudisha lini ziongeze madarasa na maabara ya wanafunzi?

-Fedha za mapato na matumizi ya Serekali ya miaka yote 51 mliyokaa madarakani lini mtaziweka wazi kwenye magazeti ya umma kama Uhuru, Mzalendo na Daily News.

-Fedha zinazopatikana kwenye Hifadhi zetu za Taifa na Milima iliyopo Tanzania lini mtaziweka wazi kwa Watanzania?

-Fedha mlizopata baada ya kuuuza ardhi ya Tanzania kule Loliondo lini mtaziweka wazi?.

-Fedha mlizopata baada ya kuuza Bandari ya Mtwara lini tutazijua sisi Watanzania?

-Fedha zilizopatikana baada ya kuwekeza Viwanja vyetu vya Ndege lini mtaziweka hadharani tuzijue?

-Vitalu mnavyowinda wanyama mtatujulisha lini mapato yake?.

-Mtatutajia lini Wabunge na Mawaziri wanaofanya biashara wakiwa kwenye nyadhifa za umma. Tunawajua wanaojenga mahoteli, wanaofanya biashara za mafuta, Usafirishaji nk.

Mkiweza kuweka mambo haya bayana nina uhakika mtabaki madarakani vinginevyo 2015 jitoeni tu wagombea wabaki ya vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR, TLP, SAU nk. CCM Tanzania mmepoteza uelekeo na imani kwa Wananchi. Mkiona mtu anawashabikia labda ni mmoja wenu, au mpambe, au ana hisa na kampuni zenu, au ni muwekezaji, au mkwepa kodi, au mtoto wenu, au Zuzu, au mchumia tumbo, au anawapa mahirizi maana ndio zenu, au Mkweo, au Hawara, vinginevyo tumewachoka sana tu.

Maswala ya kuongelea kadi ya Dr Slaa hayana tija kwetu. Tunataka muongelee yote niliyoyataja hapo juu tutawaelewa. Kumuongelea mtu anayependwa na Watanzania walio wengi mnapoteza mda wenu wakati tunajua kabisa ni wivu na husuda tu juu yake na alikuwa ameshinda uchaguzi wa 2010 mkamuibia kura.

Mkereketwa

Galliard David

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment