Monday 24 December 2012

Re: [wanabidii] RE: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

sikumbuki ilikuwa uchaguzi wa mwaka gani, John Momose Cheyo a.k.a.
Bwana Mapesa aliwahi kupoata kura 0 kwenye kituo alichopigia kura
mwenyewe. CCM wabaya sana nyie.

Swala la Dr Slaa kupishwa ikulu halina mjadala, JK anatakiwa kuwapisha
wengine sababu ameshindwa, katika hao wengine Dr ndio anayeonekana
mzuri kuliko wengine. apewe kiti!! kama ni elimu wala tusijali, hao
wenye nazo ambao ni mawaziri na makatibu wizara wa leo wametufikisha
wapi na elimu zao?? JK amepanga timu yake ya watu kibao na mavyeti
kibao. wametufikisha wapi??

Yona & HK,
Msijidanganye, waacheni wafu wawazike wafu wao, Mbona Dr. anawanyima
usingizi!! na siku hizi hali yenu itazidi kuwa mbaya kila siku maana
kile kirusi mlichotutumia tumekigundua na tayari tume-develop
anti-ki(g, h, i, j, K, l,........ w, x, y, Z)usi,

Ndio maana hamuishi kutuchagulia mtu wa kugombea, hamna soni,
hatutaki, tutafanya tunavyojua sisi. Adui hawezi kukuchagulia silaha
ya kupambana nae hata siku moja.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment