Tuesday 25 December 2012

Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Nakushangaa Yona unajibu hoja ya Slaa kushinda Urais na kuibiwa kura...hahahahahaaa kichekesho hicho! Hawa hawakuwa wamekisambaza chama ipasavyo, achilia mbali jina la mgombea...sasa angeshindaje!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 24 Dec 2012 13:06:17
To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Kasome maoni ya Jumuiya ya Madola , Umoja wa Ulaya , Umoja wa Afrika ,
Jumuiya ya Afrika Mashari na Umoja wa Mataifa - Huko kote hakuna
popote kuliposemwa au kuandikwa kura kuibiwa wala uchaguzi kwenda
vibaya ingawa kulikuwa na matatizo kadhaa kama usafiri yaliyochangia
kuchelewesha kutangazwa matokeo , Mawasiliano haswa vijijini na
mengine mengi sio kuibwa kura na hili Usalama wa taifa ulituhumiwa nao
ulitoa jibu ambalo mpaka leo Dr Slaa Ameingia Gizani .

Mimi namwambia Dr Slaa aangalie mbele aachane na yale ya Nyuma na tena
itapendeza hiyo nafasi yake akangatuka wengine waendeleze jahazi la
chama ,

On Dec 24, 11:58 pm, josephludov...@gmail.com wrote:
> Sasa tueleze kile mabalozi hao walimuomba Dr slaa kufanya baada ya kukubaliana naye kuwa kimsinmgi aliibiwa kura zake.au unachuja nzi unameza ngamia?
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
>
>
>
>
>
>
> -----Original Message-----
> From: Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Mon, 24 Dec 2012 12:41:06
> To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU
>
> Ndugu Joseph tungekuwa off record ningeweza kukupa Mwanga mzuri kuhusu
> kitu ulichochokoza hapo ila kwa sasa hivi ujue tu uchaguzi wetu wa
> mwaka 2010 uliwezeshwa kwa sana na Umoja wa Mataifa na wafadhili
> wengine mbalimbali kupitia balozi zao hapa nchini na wote taarifa
> wanazo na mmoja wa mpanga mipango wa moja ya taasisi hizo amechangia
> kwenye mada hii , pengine yeye aje wazi atuambie anachojua yeye .
>
> Pili sipo kwenye idara yoyote wala sina uhusiano wowote na hizo Idara
> mimi ni Ghost tu , sina rekodi popote wala siwajibiki kwa yoyote .
>
> On Dec 24, 11:00 pm, josephludov...@gmail.com wrote:
> > Jibu ni swali.moja kwa nini mpaka sasa tume ya uchaguzi haina takwimu sahihi za uchaguzi wa mwaka 2010? Kama Yona idara yenu iliyogeuka ya usalama wa mafisadi iliweza kuchakachua matokeo ya kitaifa nini kinaweza kuizuia kuiba kata ya makao makuu?
> > Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> > -----Original Message-----
> > From: Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
>
> > Sender: wanabidii@googlegroups.com
> > Date: Mon, 24 Dec 2012 11:55:04
> > To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> > Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> > Subject: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU
>
> > Wewe na yule ndio mnaona hoja nyepesi sio mimi na wengine tuliochangia
> > moja au mbili - Hebu niambie kwanini CHADEMA haina diwani kwenye kata
> > ya Makao makuu ya chama ?
>
> > On Dec 24, 10:50 pm, josephludov...@gmail.com wrote:
> > > Kwani wewe yona ni ngumbaro? Umeambiwa kuwa hiyo ni hoja kioja hautaki kuelewa.jamani kama unalo tumbo kubwa si ukale ulale, JK mwenyewe anajua ukali na uzito wa mtu huyu.wewe masalia utaweza mfupa uliomshinda chui?
> > > Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> > > -----Original Message-----
> > > From: Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
>
> > > Sender: wanabidii@googlegroups.com
> > > Date: Mon, 24 Dec 2012 11:46:53
> > > To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> > > Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> > > Subject: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU
>
> > > Kiongozi wa Chama ambaye anashindwa kushawishi wananchi kumpigia kura
> > > mgombea wake angalau wa udiwani kwenye Makao makuu ya chama chake hata
> > > urais haumfai , acha hoja yangu ionekane nyepesi na uzushi ila msimamo
> > > wangu utabaki kuwa ule ule haijalishi nini kilitokea , halafu
> > > ameshindwa hata kumtambua aliyemshinda katika mashindano ambayo yeye
> > > alikuwa mshindani na alikula viapo mbalimbali .
>
> > > On Dec 24, 10:34 pm, Laurean Rugambwa <rugam...@hotmail.com> wrote:
> > > > Mh.Kigwangalla,
> > > > Nakubaliana na wewe kuwa hoja ya chini na kichwa cha habari ni ya kitoto. Lakini na wewe, je unayeijibu na kwa majibu yako hapa chini na mipasho huoni kuwa ni sawa na yule mtu alimkimbiza kichaa akiwa uchi kisa nguo zake zimechukuliwa na huyo kichaa?
>
> > > > Tafakari!
>
> > > > LR
>
> > > > On 23 Des 2012, at 20:01, hkigwanga...@gmail.com wrote:
>
> > > > > Kumekuwa na tabia ya watu kuleta hoja dhaifu sana na za kitoto hapa jukwaani, hivi Yona hawa wanachama wa hivi huwa unawatoa wapi?
>
> > > > > Slaa amechoka na hana hoja tena siku hizi, awaachie vijana makini kama akina Zitto wafanye kazi ya kueleweka, yeye akalee watoto wake tu na mchumba wake Jose.
>
> > > > > Kama hana kazi nyingine ya kufanya arudi shuleni akasome Bachelor degree ili ahalalishe ile Ph.D yake aliyoipata akitokea Diploma!
>
> > > > > Urais wa nchi haupewi pewi tu, unatafutwa kwa wenye nchi. Mwambieni Slaa akatafute walau Urais wa NGO kama anatamani sana hiyo title
> > > > > Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
> > > > > From: GILL DAVID <gilldav...@yahoo.co.uk>
> > > > > Sender: wanabidii@googlegroups.com
> > > > > Date: Sun, 23 Dec 2012 09:29:17 +0000 (GMT)
> > > > > To: <h...@muhas.ac.tz>; <m...@mum.ac.tz>; <i...@mzumbe.ac.tz>; <i...@out.ac.tz>; <i...@ruco.ac.tz>; <mfumb...@yahoo.com>; <vcs...@saut.ac.tz>; <admiss...@saut.ac.tz>; <stmarksad...@sjut.ac.tz>; <gchel...@sjut.ac.tz>; <ad...@sjut.ac.tz>; <s...@suanet.ac.tz>; <v...@suanet.ac.tz>; <d...@suanet.ac.tz>; <dvcadmin...@suanet.ac.tz>; <f...@suanet.ac.tz>; <i...@suanet.ac.tz>; <sua...@suanet.ac.tz>; <sc...@suanet.ac.tz>; <pest...@suanet.ac.tz>; <p...@suanet.ac.tz>; <p...@suanet.ac.tz>; <supp...@suza.ac.tz>; <i...@teku.ac.tz>; <dpacade...@duce.ac.tz>; <elctsmm...@smmuco.ac.tz>; <i...@butmaninternational.com>; <sematangoto...@cybernet.co.tz>; <serenacarh...@habari.co.tz>; <sgres...@yahoo.com>; <s...@habari.co.tz>; <to...@albatros.co.tz>; <m...@albatros.co.tz>; <i...@chadema.or.tz>; <rassing...@pmoralg.go.tz>; <mhar...@habarileo.co.tz>; <advertis...@dailynews.co.tz>; <jen...@albatros.co.tz>; <shido...@yako.habari.co.tz>; <sssafa...@cybernet.co.tz>; <s-s.kol...@web.de>; <wanabidii@googlegroups.com>; <unasem...@radiofreeafricatz.com>; <mwananchipap...@mwananchi.co.tz>; <globalpublish...@dar.bol.co.tz>; <educ...@intafrica.com>; <cost...@costech.opc.org>; <i...@satif.or.tz>; <i...@satf.org>; <e...@raha.com>; <e...@cats-net.com>; <zi...@chadema.or.tz>; <worldtourstanza...@hotmail.com>
> > > > > ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
> > > > > Subject: [wanabidii] RE: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU
>
> > > > > Kama CCM inakubali kuwa Dr. Slaa ana kadi ya CCM na ni mwanachama hai basi Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete anapaswa apumzike kipindi hiki kilichobaki cha uongozi ampishe Dr Slaa aingie ikulu amsaidie kumalizia mda huu uliobaki kusafisha uchafu uliopo ndani ya chama na Serekali kwani yeye mheshimiwa Kikwete ameshindwa.Kama Dr Slaa aliweza kuwataja Mafisadi  pale Mwembe Yanga tuna imani naye zaidi kuwa ataweza kupambana nao kuliko Mheshimiwa Kikwete ambaye ametajiwa kabisa Wezi wa mali za Umma lakini anakaa nao meza moja na kula bila kuwachukulia hatua zozote.
>
> > > > > Watanzania wengi tungelijua hilo Mapema kuwa Dr Slaa anayo kadi ya CCM tungeandamana mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete asiingie Ikulu kwani hata kwenye kura za uchaguzi vyombo vingi vya kusimamia uchaguzi kutoka nje ya nchi vilishatamka kuwa Dr Slaaa ndiye alikuwa anaongoza kwa kuwa na kura nyingi lakini Serekali ikachakachua matokeo. Uwezo wa kiutawala wa Dr Slaa ni bora mara mia moja kuliko wa mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na ndio maana hata midahalo anaikwepa. Dr Slaa ndiye anafaa kuiongoza nchi mara dufu kulikoni JK.
>
> > > > > Ukiangali sana kila Kiongozo yeyote wa Upinzani wote wametokea CCM na kuanzisha vyama vingine. Wote lazima walikuwa na Kadi za CCM. Sasa inaelekea wengine walitupa kadi zao ama kwa kuwa walikuwa hawazilipii au pengine wanadaiwa na CCM kuzilipia kadi hizo jambo ambalo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Nape Mnauye anatakiwa afuatilie madeni badala ya kupiga kelele hovyo kwa mtu aliyelipia kadi yake na hana deni kama Dr Slaa. CCM ni chama Mama wa vyama vyote. Hivyo mimi sioni sababu ya wao kupiga kelele eti Dr Slaa ana kadi ya CCM. Kadi ile inaweza kuwekwa kwenye jumba la Makumbusho ya chama cha CHADEMA kila mtu ajue jinsi gani Katibu wao alivyokuwa mwadilifu kwa kulipia kadi yake ya uanachama kwa miaka zaidi ya 20 kwa wakati mmoja.
>
> > > > > Serekali ya CCM ina tabia ya kuwafanya Watanzania kuwa wajinga na pengine wapumbafu. Nchi ina mjadala wa fedha zilizofichwa nje. Fedha ambazo zimeyumbisha uchumi mzima wa Taifa. Badala viongozi wa CCM na Serekali yake kujadili jinsi ya kuzirudisha fedha zile zisaidie kuongeza madarasa ya watoto wengi waliofaulu na hawana madarasa wao wanaingiza nchi kwenye mijadala isiyo na tija. Dr Slaa kuwa na kadi ya CCM hata kwenye pochi yake kunamuathiri nini mkulima na mfanyakazi wa Tanzania, au mtoto wa Kitanzania au mfanya biashara wa Kitanzania. CCM acheni mijadala isiyo na tija. Tumewachoka. Porojo mingi sana. Kama mnataka mbaki madarakani jadilini yafuatayo mjinusuru mwaka 2015.
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana kwenye mashirika ya umma mliyoyauza ziko wapi?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana kwenye viwanda vya umma mlivyouza ziko wapi?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana kwenye wanyama mliowawinda na kuwauza nje ziko wapi?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana kwenye shamba za umma mlizouza ziko wapi?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana kwenye nyumba za umma mlizouziana ziko wapi?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana kwenye migodi ya umma zimefanyia kazi gani?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana baada ya kuuza Ranch za Taifa ziko wapi?
>
> > > > > -Fedha zilizofichwa nje ya nchi mnazirudisha lini ziongeze madarasa na maabara ya wanafunzi?
>
> > > > > -Fedha za mapato na matumizi ya Serekali ya miaka yote 51 mliyokaa madarakani lini mtaziweka wazi kwenye magazeti ya umma kama Uhuru, Mzalendo na Daily News.
>
> > > > > -Fedha zinazopatikana kwenye Hifadhi zetu za Taifa na Milima iliyopo Tanzania lini mtaziweka wazi kwa Watanzania?
>
> > > > > -Fedha mlizopata baada ya kuuuza ardhi ya Tanzania kule Loliondo lini mtaziweka wazi?.
>
> > > > > -Fedha mlizopata baada ya kuuza Bandari ya Mtwara lini tutazijua sisi Watanzania?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana baada ya kuwekeza Viwanja vyetu vya Ndege lini mtaziweka hadharani tuzijue?
>
> > > > > -Vitalu mnavyowinda wanyama mtatujulisha lini mapato yake?.
>
> > > > > -Mtatutajia lini Wabunge na Mawaziri wanaofanya biashara wakiwa kwenye nyadhifa za umma. Tunawajua wanaojenga mahoteli, wanaofanya biashara za mafuta, Usafirishaji nk.
>
> > > > > Mkiweza kuweka mambo haya bayana nina uhakika mtabaki madarakani vinginevyo 2015 jitoeni tu wagombea wabaki ya vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR, TLP, SAU nk. CCM Tanzania mmepoteza uelekeo
>
> ...
>
> read more »

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment