Monday 24 December 2012

Re: [wanabidii] RE: Mawaziri wa JK wagongana

Niajabu kabisa, anaonyesha kujiamini kulikopindukia.
Kaghasheki Kwake anaona mtu anaepambana na uchafuzi wa mazingira ni hatari sana, mawazo yake ni finyu na yenye haraka, na hayana maslahi kwa Taifa. Zaidi yayote anataka Waziri mwenazake amu-consult kabla yakufanya uamuzi ambao uko wazi. 


From: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, December 24, 2012 2:56 PM
Subject: Re: [wanabidii] RE: Mawaziri wa JK wagongana

Kagesheki inabidi atumie muda huu wa sikukuu kutafakari utendaji wake wa kazi. Nahisi anahitaji kufanyiwa counselling. Kwenye jimbo lake amevuruga juhudi za maendeleo zinazofanywa na watendaji. Eg ujenzi wa soko jipya, juhudi za kupima viwanja n.k
He looks like a frustrated fella now. Amekuwa ni mtu wa kupayukapayuka tu sasa.
Lutinwa
Sent from Samsung Tab 10.1
On Dec 24, 2012 4:47 PM, "Clement Marcel" <kitogwa@yahoo.com> wrote:
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


0 comments:

Post a Comment