Monday 17 December 2012

Re: [wanabidii] Picha & Taarifa:: Lowassa katika harambee ya kanisa Akyeri Meru – Tatizo la Ajira Kwa Vijana ni Hatari Kwa Usalama Wa nchi - Mwanzo

Yote hiyo ni janja ya nyani kula mahindi mabichi, hivi hiyo mihela
waliyotia mifukoni yeye na swahiba yake tangu kuutafuta urais hadi
akiwa mheshimiwa waziri mkuu hakujua kwamba kuna tatizo la hao
unemployed army? Ebu turudishie mihela yetu tukaweke mikakati ya
kutatua tatizo la ajira kwa vijana.

Huyu bwana ana lake moyoni siamini kama ana nia ya kweli na kwamba
maneno hayo yanatoka moyoni kwake. Tatizo la ajira hapa kwetu ni la
muda mrefu kidogo na limekuwa likiongezeka siku hadi siku. Bila kuwa
na viongozi wenye vision, wasiokuwa mafisadi wenye kusaini mikataba ya
kijambazi tatizo la ukosefu wa ajira lisingekuwa kubwa kama lilivyo
hivi sasa.

Huyo mheshimiwa naomba kumjulisha kwamba kati ya sababu zinazotufanya
tusipende liCCM lao kurudi madarakani mwaka 2015 ni pamoja na
kuwatapeli watanzania kwa kuwadanganya kwamba litatatua tatizo hilo
bila kuona dalili za tatizo hilo kuisha.

Kwani nani kaongea na Mungu akamwambia ni lazima tatizo hilo
litamalizwa na CCM? Mbona apendekezi mikakati ya kuondoa tatizo hilo
ili tumuulize alishindwa vipi kulivalia njuga akiwa waziri mkuu? Ni
hatua zipi alianzisha zikafia njiani kwa sababu ya yeye kuengulia
nafasi ya uwaziri mkuu?

Tunaiomba CCM yake na mikakati yake ya kuingia ikulu iwapishe wengine
wahangaike na matatizo yetu wao wameshindwa wasitake kutufanya majuaha
sisi. Mheshimiwa ebu jaribu kuwekeza vizuri hiyo miela uliyonayo
pengine utatusaidia kupunguza tatizo, si lazima kuingia ikulu ili
tukuone kwamba umedhamiria kutusaidia sisi tusiokuwa na ajira.
Musitake kuwafanya vijana wasiokuwa na ajira uchochoro wenu wa kuingia
ikulu na baadaye kuwaacha solemba

2012/12/17 Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>:
> Tatizo la ajira linakuzwa zaidi na kukosekana sera madhubuti katika micro
> entreprises na kukosekana kwa dhamira ya kuendeleza micro industries, wakati
> Tanesco imetangaza kushusha bei ya umeme wa "single phase" ambao hutumiwa na
> final consumers imekaa kimya kuhusu umeme wa "three phase" ambao ndo
> unaotumiwa na "micro entraprises" na "micro industries"
>
> Halmashauri za miji hazitengi maeneo kwa hizi shughuli za jua kali (micro
> industries) hakuna maeneo maalumu kwa shughuli za gereji, uoshaji wa magari,
> wachoma welding, watengeneza mageti na grili ya madirisha, wafyatua tofali
> na mashine za kusindika sembe na mchele. Lakini shughuli zote hizi ili
> zifanyike kwa ufanisi zinahitaji umeme wa "three phase" ambao kwa sasa
> unaonekana anasa! na hakuna maeneo stahiki kwa shughuli hizi.
> Zipo shughuli za huduma kama huduma za ushuru wa maegesho ya magari ambazo
> zimekuwa vyanzo muhimu za ajira mijini lakini maegesho hakuna na hakuna
> juhudi zozote za kuendeleza huduma hii. Mwanza wakati wa Masha maegesho
> mengi yalitengenezwa na vijana wengi kujipatia ajira lakini hawa jamaa wa
> CDM wamekalia kufukuzana tu na kugombea fedha za harambee.
>
> Tukitizama hawa mawakala wa Mpesa na wauzaji wa vocha, hawajatengewa maeneo
> muhimu kama kwenye masoko na vituo vya mabasi, utakuta kabinti kana zaidi ya
> mil 5 kwenye mkoba ambapo kakikwapuliwa na kibaka mtaji wote kwaheri! sasa
> kwanini visitengenezwe vizimba maalumu.
>
> Veta sasa hivi wanachukua form four div 0 badala ya darasa la saba, lakini
> mitaala mibovu wanafunzi nao masharobaro wanahitimu hata kushika spana
> hawajui achilia unywaji wa viroba. Inabidi mitaala ibadilishwe pamoja na
> kutoa vyeti waanze masomo ya diploma ambapo wanafunzi wenye weledi waweze
> kusoma na hatimae tupate mafundi wazuri katika soko la ajira.
>
>
> 2012/12/17 paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
>>
>> Aliishauri nn serikali ya swahiba wake ili kutatua tatizo hili?
>>
>> 2012/12/17 Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
>>>
>>> Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa amesisitizia tena kuwa tatizo la
>>> ajira kwa vijana ni jambo la hatari kwa usalama wa nchi,wakati alipokuwa
>>> katika harambee ya kuchangia ukarabati wa kanisa la kilutheri usharika wa
>>> Akyeri Meru mkoani Arusha, Mhe. lowassa ameonya kuwa suala hilo
>>> lisiposhughulikiwa haraka litasababisha hali ya hatari.
>>>
>>> "Tunashuhudia maandamano katika mataifa ya ulaya vijana wakidai hali bora
>>> ya maisha pamoja na ajira.hali hiyo tusipoangalia inaweza kutokea hapa
>>> nchini kwetu. Huko nyuma niliwahi kusema kuwa makanisa, mashirika na watu
>>> binafsi wasaidie juhudi za serikali kutatua suala hilo'," alisema Lowassa.
>>>
>>>
>>> http://wotepamoja.com/archives/10888#.UM7VdWEylsw.gmail
>>>
>>> --
>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> DELL LATITUDE D 620 & D30
>>>
>>> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>>> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>>
>>> TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>>
>>> CALL : 0786 806028
>>> Free Delivery in Dar es salaam
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>>
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>> TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>> CALL : 0786 806028
>> Free Delivery in Dar es salaam
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment