Monday 17 December 2012

Re: [wanabidii] Picha & Taarifa:: Lowassa katika harambee ya kanisa Akyeri Meru – Tatizo la Ajira Kwa Vijana ni Hatari Kwa Usalama Wa nchi - Mwanzo

Tatizo la ajira linakuzwa zaidi na kukosekana sera madhubuti katika micro entreprises na kukosekana kwa dhamira ya kuendeleza micro industries, wakati Tanesco imetangaza kushusha bei ya umeme wa "single phase" ambao hutumiwa na final consumers imekaa kimya kuhusu umeme wa "three phase" ambao ndo unaotumiwa na "micro entraprises" na "micro industries"
 
Halmashauri za miji hazitengi maeneo kwa hizi shughuli za jua kali (micro industries) hakuna maeneo maalumu kwa shughuli za gereji, uoshaji wa magari, wachoma welding, watengeneza mageti na grili ya madirisha, wafyatua tofali na mashine za kusindika sembe na mchele. Lakini shughuli zote hizi ili zifanyike kwa ufanisi zinahitaji umeme wa "three phase" ambao kwa sasa unaonekana anasa! na hakuna maeneo stahiki kwa shughuli hizi.
Zipo shughuli za huduma kama huduma za ushuru wa maegesho ya magari ambazo zimekuwa vyanzo muhimu za ajira mijini lakini maegesho hakuna na hakuna juhudi zozote za kuendeleza huduma hii. Mwanza wakati wa Masha maegesho mengi yalitengenezwa na vijana wengi kujipatia ajira lakini hawa jamaa wa CDM wamekalia kufukuzana tu na kugombea fedha za harambee.
 
Tukitizama hawa mawakala wa Mpesa na wauzaji wa vocha, hawajatengewa maeneo muhimu kama kwenye masoko na vituo vya mabasi, utakuta kabinti kana zaidi ya mil 5 kwenye mkoba ambapo kakikwapuliwa na kibaka mtaji wote kwaheri! sasa kwanini visitengenezwe vizimba maalumu.
 
Veta sasa hivi wanachukua form four div 0 badala ya darasa la saba, lakini mitaala mibovu wanafunzi nao masharobaro wanahitimu hata kushika spana hawajui achilia unywaji wa viroba. Inabidi mitaala ibadilishwe pamoja na kutoa vyeti waanze masomo ya diploma ambapo wanafunzi wenye weledi waweze kusoma na hatimae tupate mafundi wazuri katika soko la ajira.
 
2012/12/17 paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
Aliishauri nn serikali ya swahiba wake ili kutatua tatizo hili?
 
2012/12/17 Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa amesisitizia tena kuwa tatizo la ajira kwa vijana ni jambo la hatari kwa usalama wa nchi,wakati alipokuwa katika harambee ya kuchangia ukarabati wa kanisa la kilutheri usharika wa Akyeri Meru mkoani Arusha, Mhe. lowassa ameonya kuwa suala hilo lisiposhughulikiwa haraka litasababisha hali ya hatari.

"Tunashuhudia maandamano katika mataifa ya ulaya vijana wakidai hali bora ya maisha pamoja na ajira.hali hiyo tusipoangalia inaweza kutokea hapa nchini kwetu. Huko nyuma niliwahi kusema kuwa makanisa, mashirika na watu binafsi wasaidie juhudi za serikali kutatua suala hilo'," alisema Lowassa.

http://wotepamoja.com/archives/10888#.UM7VdWEylsw.gmail

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment