Thursday 6 December 2012

Re: [wanabidii] Mh.Lowassa Apata Mlo Na Timu Ya Bunge

Huyu Lowasani jembe, hakuna atakayepinga. Watu wanaogopa tu kivuli chake. Ki ukweli, ni kati ya watu wachache ndani ya CCM ambao wanakifanya chama kiendelee kuwa hai.
Watu wamemchafua kwa kila jambo lakini bado anag'ara tu. Siku zote ukweli na uwongo haviwezi kwenda pamoja. Kila anachogusa Lowasa kinafanikiwa. Wenye kujenga mashule, makanisa, misikiti watanishuhudia hili katika harambee zao. Jembe akifika tu, shughuli inafanikiwa. Sasa tunataka ishara gani tena?  Kwenye harambee hatumii fadha zake tu, yeye ni chachu na wenye nazo wanazitoa bila kutarajia kwa kuwa ana commanding force, ana kitu kinachoitwa "natural charisma" kama mandela, nyerere, obama, dalai lama... ni wachache sana duniani. Majungu yanamjenga zaidi. Kwa kuwa wengi tunaamini Lowassa atakuwa rais wetu ajaye, wengine tunaamini kuwa ndiye atakayekuwa rais wa kwanza kuunda serikali ya umoja wa kitaifa. Yaani ateuwe mawaziri kutoka CUF, CHADEMA, CCM NCCR kulingana na uwezo wa mtu. Nafikiri katiba mpya italiweka wazo langu hili kwamba chama kinachoshika hatamu isiwe mwiko kuunda serikali kutoka vyama vingine.

On Sun, Dec 2, 2012 at 3:12 AM, Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:

ccm hawalazimiki kumteua Lowasa,lakini wasituteuliye kibaraka asiye na dira na tija kisa eti hana kashfa ya ufisadi.Tutamkataa.So far,to my opinion mbadala wa Lowasa ni Magufuli..na sio...better the devil u know than an angle u dont know. Ngupula

------------------------------
On Sun, Dec 2, 2012 16:56 EET abel makubi wrote:

>Tony
>Msipo mteua huyu bwana , mimi nitarudisha kadi yenu ya CCM. Jembe hilo.
>
>
>
>2012/12/2 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
>
>> **
>> Joseph,
>>
>> Wewe Chadema nambari wahed utatuchaguliaje waTz mgombea uRais? Acha kazi
>> hiyo kwa wana ccm na usijifanye unao huo uwezo baada ya kulishwa pilau
>> Monduli!
>> Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
>> Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
>> ------------------------------
>> *From: *Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
>> *Sender: *wanabidii@googlegroups.com
>> *Date: *Sun, 2 Dec 2012 09:34:47 +0300
>> *To: *<mabadilikotanzania@googlegroups.com>; <wanabidii@googlegroups.com>
>> *ReplyTo: *wanabidii@googlegroups.com
>> *Subject: *[wanabidii] Mh.Lowassa Apata Mlo Na Timu Ya Bunge
>>
>> Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (
>> Pichani juu wa pili kushoto) akijumuika pamoja na Baadhi ya Wabunge
>> wanaounda timu ya Bunge Sports inayoundwa na wabunge kutoka Baraza la
>> Wawakilishi na Bunge la Jamhuri,wakati wa Chakula cha Mchana
>> alichowaandalia Nyumbani kwake,Ngarashi Wilayani Monduli juzi.Wengine
>> kwenye picha ya kwanza juu kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Habari,Vijana
>> Utamaduni na Michezo,Mh. Amos Makalla,Mbunge wa Jimbo la Kinondoni,Mh. Iddi
>> Azzan pamoja na Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Monduli, Reuben ole Kunai. (
>> Picha: Othman Michuzi)
>>
>> Mimi siongezi neno.wapinzani wa Lowassa wajinyonge tu.Rais kutokea ccm ndo
>> huyu.
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>> CALL : 0786 806028
>> Free Delivery in Dar es salaam
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

>--
>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>DELL LATITUDE D 620 & D30
>
>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
>TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
>CALL : 0786 806028
>Free Delivery in Dar es salaam
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment