Saturday 15 December 2012

Re: [wanabidii] Mchumba Ake Dr Slaa Kugombea Ubunge Kawe

Tetesi sio habari, aliyekupa hizo tetesi kazitoa wapi??
By the way hata huyo Halima akienguliwa ni sawa tu. Mimi ni
mwanachama wa CHADEMA na mkazi wa KAWE, uchapa kazi wake hauridhishi
kichama e.t.c compare to someone like Mnyika (UBUNGO).
Tena tukifanya mchezo atafanya jimbo lipotee hivi hivi. kwa faida ya
chama naona aondolewe tu hiyo 2015.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment