Tuesday 11 December 2012

Re: [wanabidii] KATA 7 SERENGETI HAZITATOA MAONI KATIBA MPYA

Mairi umesomeka na naamini wafuatiliaji wa mambo hapa wameiona hiyo. Lakini Kicheere ni mwanasiasa huyo anachomeka mambo anayotaka kila wakati yasikike na kuchochea chuki hapati kitu.

Nimewasiliana na Mheshimiwa Mbunge Kebwe anasema limefanyiwa kazi na kwamba hiyo raatiba siyo ya mwisho.

Kicheere anazijua siasa za Serengeti kwa hiyo nakushauri usiendelee kuweka kuni kavu kwenye moto wa mafuta ya Petroli. Mairi hebu msaidie huenda akakuelewa wewe.

------------------------------
On Wed, Dec 12, 2012 01:39 GMT matinyi@hotmail.com wrote:

>Dawa ni rahisi sana: wachukue mapanga halafu wawahi mapema huko kwenye vikao tuone kama atasogwa mtu. Upuuzi mtupu.
>Matinyi.
>
>
>
>
>T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>
>----- Reply message -----
>From: "nyaronyo kicheere" <kicheere@yahoo.com>
>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>Subject: [wanabidii] KATA 7 SERENGETI HAZITATOA MAONI KATIBA MPYA
>Date: Tue, Dec 11, 2012 6:59 pm
>bandugu!
>hamu ya kutoa maoni sina tena. yaani utoaji maoni sasa umepangwa na kugubikwa na ubaguzi wa kikabila. kwa mujibu wa taarifa kwenye mtandao kama ilivyotolewa na chacha mairi ni kwamba "miongoni mwa Kata ambazo Wananchi wake hawatafikiwa na Tume ni: Kisangura, Sedeko, Mbaribari, Machochwe, Nyamoko, Rung'abure na Geitasamo. Kwa wale wanaoifahamu geografia ya Serengeti, wataona ukanda wote wa mashariki ya Wilaya ya Serengeti, hautashiriki katika zoezi hili la kutoa maoni."
>kitu ambacho chacha mairi hakukisema ni kwamba ukanda wa mashariki mwa wilaya ya serengeti ndipo wanapoishi wakurya. kwa maana nyingine ni kwamba wakurya wilayani serengeti hawatatoa maoni ila wenzao wa kata za rogoro, ikorongo, ngoreme na gurumeti wanakoishi waikoma, wangoreme, wanata na waisenye wao watatoa maoni!
>mimi sishangai kwa sababu serikali ya ccm ilishaamua tangu zamani kuwa wakurya siyo watu bali ni majitu yanayoshinda yakivuta bangi na yakipata kiu yanakunywa gongo ndiyo maana hamad rashid mohamed akiwa naibu waziri wa mambo ya ndani alishiriki kuwasomba wakurya kwenda kusini (lindi, ruvuma na mtwara) kula panya eti ni wezi wa ngombe na kuwaacha wagogo, wamang'ati, wamasai na wasukuma wanyantuzu! pia serikali ya ccm imesema nyumbu, korongo na nyati ni bora kuliko majitu ya tarime na serengeti hivyo hakuna haja kujenga barabara kukatisha serengeti eti kwa kisingizio cha mazingira na utalii!
>lakini kwa nini ratiba iandaliwe inayobagua kabila zima katika wilaya? ina maana chacha, mwita na marwa hawastahili haki za kiraia na kikatiba? ccm na mserekali wenu wenye kukumbatia mafisadi wa deep green, epa, meremeta na twina tower na richmond blalifuuru!!!!!!
>kicheere,Tungi,kigamboni tanganyika territory--- On Tue, 12/11/12, jabir yunus <jabirgood@yahoo.com> wrote:
>From: jabir yunus <jabirgood@yahoo.com>Subject: Re: [wanabidii] KATA 7 SERENGETI HAZITATOA MAONI KATIBA MPYATo: wanabidii@googlegroups.comDate: Tuesday, December 11, 2012, 8:37 AM
>
>
>
>
>
>Kwanini hawatashiriki kutoa maoni? Kwanini maeneo hayo hayakujumuishwa ktk ratiba?
>--- On Tue, 12/11/12, Chacha Mairi <chachamairi@gmail..com> wrote:
>From: Chacha Mairi <chachamairi@gmail.com>Subject: [wanabidii] KATA 7 SERENGETI HAZITATOA MAONI KATIBA MPYATo: wanabidii@googlegroups.comDate: Tuesday, December 11, 2012, 6:34 AM
>
>Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Serengeti na kusainiwa na Katibu Tawala Wilaya Mr. M.C. Zonzo zaidi ya Kata 7 za Wilaya ya Serengeti hazitashiriki kutoa maoni mbele ya Tume ya kuratibu maoni ya Wananchi kuhusu mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
>
>Miongoni mwa Kata ambazo Wananchi wake hawatafikiwa na Tume ni: Kisangura, Sedeko, Mbaribari, Machochwe, Nyamoko, Rung'abure na Geitasamo. Kwa wale wanaoifahamu geografia ya Serengeti, wataona ukanda wote wa mashariki ya Wilaya ya Serengeti, hautashiriki katika zoezi hili la kutoa maoni.
>
>Ratiba hiyo wameandikiwa Maafisa Tarafa, Rogoro, Ikorongo, Grumeti na Ngoreme. Pamoja na habari, hapa naambatanisha nakala ya ratiba hiyo kwa manufaa ya wasomaji wa habari hii. Aidha, nitumie fursa hii kuwarai wote wanaohusika kulitazama jambo kwa upya na kuona ni kwa namna gani wananchi waishio Serengeti na kwingineko ambako kumetokea hali ya aina hii, watakavyoshiriki katika uandaaji wa katiba mpya.
>
>Chacha Mairi
>MWANASERENGETI
>-- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.comnafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comHabari na Picha www.patahabari.blogspot.com DELL LATITUDE D 620 & D30 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAMDVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH . TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY CALL : 0786 806028 Free Delivery in Dar es salaam Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

>--
>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>DELL LATITUDE D 620 & D30
>
>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
>TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
>CALL : 0786 806028
>Free Delivery in Dar es salaam
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment