Friday 14 December 2012

Re: [wanabidii] KATA 7 SERENGETI HAZITATOA MAONI KATIBA MPYA

Kama watu wanavyodhani na kuamini kuwa watu wote wa Mkoa wa Kagera ni wahaya! Maajabu, Mimi najua wakurya ni Kabila mojawapo Kati ya nyingi Mara. Ila nawahusudu wakurya kwa misimamo Yao kisiasa, wanapewa rushwa wana kuwa na hawakupigii kura kama hawakupendi na huwafai.

Kwa watu waaminio kuwa kagera wote ni wahaya, Mtu msomi unamuelewesha hataki kuelewa, anasema ahaa ni wale wale tu! unaishiwa nguvu, unamuuliza unajua maana ya neno kabila, anasema tunajua hamtaki kujulikana kama wahaya, unasema hapana, nia. Si hivi, mtu haelewi.. nchi yetu ina mambo kweli hii!
Kabla  wilaya kabla hizi mpya, kuna Ngara, Biharamulo na Karagwe: Hawa ukiondoa wale wa Karagwe kidogo kuna kuelewana kwa lugha lakini  wengine lugha hazifanani na ni sawa na kuongea na mkurya Matinyi ie kwa mfano mhanganza na Mhaya.

From LR

On 13 Des 2012, at 19:34, "Mobhare Matinyi" <matinyi@hotmail.com> wrote:

Mwesiga,
 
Mtani unajua tatizo ni kwamba watu wanafikiri kwamba watu wote wa mkoa wa Mara ni Wakurya; kwa hiyo mtu akienda hata Musoma mjini anasema kaenda kwa Wakurya wakati wenyeji wa mji ule ni Waruri; mtu akienda Shirati anasema kaenda kwa Wakurya wakati wenyeji wa pale ni Waluo (tena siyo wajaluo); vurugu mechi kubwa. Mara ni kamkoa kadogo lakini kana utitiri wa makabila ingawa kimsingi yamegwanyika katika makundi matatu makubwa kijamii, yaani wale wa upande wa Wajita ambapo ndimo walimo Waruri, Wakwaya na wengineo; halafu kundi la Wajaluo ambapo ndimo walimo Wasuba pia na hata Wakine; na kundi la mwisho lina Wakurya ambao wana orodha ndefu ya makabila ndani yake yenye hadhi pia ya koo. Kwa lengo la kugawanya kwa kufuata haya makundi matatu, yale makabila ya kusini mwa mkoa wa Mara kama Wazanaki, Waikizu, Waisenye, Wanata, Waikoma, Wasinzaki, n.k. wanaweza kuwekwa kwenye kundi la Wakurya kutokana na kuchangia tamaduni nyingi na hata majina fulani fulani kama Wambura, Marwa, n.k. ingawa lugha zinapishana kwa kiasi fulani, lakini kama ni lazima sana kupekua, basi inabidi Wakurya halisi wafuate hayo maeneo anayoyataja Mairi ambayo yamo Tarime na Serengeti kimsingi - tena yapo mengine zaidi kama Nyamongo kwenye dhahabu.
 
Matinyi.
 

Date: Thu, 13 Dec 2012 10:24:54 -0600
Subject: Re: [wanabidii] KATA 7 SERENGETI HAZITATOA MAONI KATIBA MPYA
From: ngonzy@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Watani mnamakabila sorry makabira mengi hivyo msimuhukumu mtafiti inahitaji muda kuyajua haya. Mnaoshi robanda nisalimieni jamaa zangu wote

2012/12/13 <mairi.info@gmail.com>
Narejea kusema kuwa, bado unaendelea kujiumbua kupitia maelezo yako kwa jinsi unavyosimulia habari za watu usiowafahamu! Maeneo yote uloyataja si maeneo wanakoishi wakuria! Inaonesha unakimbilia kutaja tafiti, hebu tupatie hizo reference za tafiti zinazojadili wakuria!

Labda kwa manufaa ya Wanabidii, nalazimika kusema: Robanda na Rwamchanga, wanaishi kabila la Waikoma na Wakisii; Masurura wanaishi kabila la Wakiroba, Wasimbite na Wakabwa. Kiagata; Wanaishi Wakenye na Wasweta. Nilitegemea ungesema kuwa uliwahi kuishi maeneo ya Wakuria kama vile: Kisangura, Machochwe, Nyansurura, Rung'abure, Nyamoko, Matare, Ngarawani, Kwitete, Itununu, Kichongo, Kitunguruma, Nyamburi, Bonchugu, Mbaribari, Sedeko, Kyambahi na Gesarya. Hayo ni maeneo ambako wanakutikana Wakuria.

Fanya utafiti kabla ili upate haki kuzungumza uheshimiwe!

 ----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, December 13, 2012 3:52:17 PM UTC
Subject: Re: [wanabidii] KATA 7 SERENGETI HAZITATOA MAONI KATIBA MPYA

Nimekuambia nimekaa mara huko nikiratibu Miradi-Hebu fika pahala pamojawapo Mfano Robanda taja jina tu wakueleze. Ilinishangaza kuona waliokuwa na vifaa vya kisasa vya picha-walifanikiwa kurekodi hata FGC kwa video.Hakuna la kuficha kusema wengine hawajui ya makabila mengine. Fika Masusura, Rwamchanga, Kung'ombe, Kiagata you name bit. Angalia vitabu/daftari za vijiji 1986-1988 uone jina nikiwa mratibu mradi Mkoa 1993-1994, tukitengeneza mikakati mingine.  Dunia hii ni kama meza ni ndogo sana. Wewe payuka tu. Wapo hata waliofanya tafiti na kuandika kuhusu kabila au eneo lako wewe hujui. Pole. endelea kutapika yasiyofaa-ruksa.

--- On Thu, 13/12/12, CHACHA MAIRI <mairi.info@gmail.com> wrote:

From: CHACHA MAIRI <mairi.info@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] KATA 7 SERENGETI HAZITATOA MAONI KATIBA MPYA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, 13 December, 2012, 12:53

Nashukuru umejitambua kuwa, umekuwa mtu wa kusoma vichwa vya email na kurukia
kusimulia habari usizozijua! Huu ni ushahidi tosha kuwa hata hayo
uliyoelezea juu ya kabila la Wakurya huyajui! Ndio maana kwa mhusika
anayeelewa mazingira na halisi ya mkoa wa Mara, anakuona kuwa umejaa
pumba na matope tu.

Nisema kama unajua, unafanya makusudi kwa kuwapotosha wanabidii
kuhusiana na jamii ambayo unaijadili labda kwa maslahi unayoyajua wewe
binafsi, na ndio maana nakukemea kwa nguvu zote! Hatuhitaji kujifunza
mawazo ya mtu anayedhania, ambaye hana ushahidi wa lile analofundisha.

Ni kweli hujioni! rejea habari yako ilivyojaa kashfa na matusi dhidi
ya watu hao unaowajadili, ama kweli mkuki kwa nguruwe, kwa mzushi
mchungu! Fanya utafiti kabla, ili upate haki ya kuzungumza na
uheshimiwe!

Tarehe 13/12/2012, Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com> aliandika:
>
> Matinyi,
> Nadhani kwa kiswahili sanifu hatusemi ng'ombe hii na uwingi ukawa ng'ombe
> hizi.
> Tunasema ng'ombe huyu na uwingi ng'ombe hawa.
> Hivyo ki-ngeli, nadhani si sahihi kusema kwamba Wakurya "walipenda kuangalia
> ng'ombe zao" bali "ng'ombe wao".
> Kama vile Mbuzi huyu, kuku huyu, nguruwe huyu na uwingi unakuwa ... hawa, na
> siyo hizi.
>
> Date: Thu, 13 Dec 2012 10:54:34 +0000
> From: khildegarda@yahoo.co.uk
> Subject: Re: [wanabidii] KATA 7 SERENGETI HAZITATOA MAONI KATIBA MPYA
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Waswahili husema-'Nyani haoni kundule'' Kama mkuu wa wilaya kaacha maeneo
> wilaya si zina kamati za kumshauri? labda wameona huko mapambano ndio
> yameanza ya wizi wa mifugo na vinginevyo hakupitiki kwa usalama wa kamati
> kaona wakuache kupoe. Anayetukana kinyume na maadili ndiye tu si pumba
> ubongo bali mpira uliojaa upepeo kichwani. Wajichorao si wale wenye kucheza
> utupu majukwaani hata wale watukanao hovyo au kutoa lugha chafu siziso
> maadili-Mtu mzima hovyo. Hao ndio wanaonyesha pumba na ubongo wao ulivyo na
> tope na wakiwa viongozi si wepesi kupokea mawazo ya watu mbali mbali huwa
> dictators.  Pengine mtu hakusoma email zote kuona hiyo katiba amesoma kichwa
> cha habari akaona -kata hazitotoa maoni' akaona labda wamekataa. Kupayuka na
> lugha chafu inasaidia nini katika karne ya demokrasia na ya kujifunza kutoka
> kwa wengine hata wenye mawazo usiyo yapenda? Mwenye
>  ila yake haachi !! Hongera kwa matusi-ubarikiwe.Kristmas njema.Nimekaa mara
> hakuna kijiji nisichofika-ninawaelewa.
>
>
> --- On Thu, 13/12/12, Chacha Mairi <chachamairi@gmail.com> wrote:
>
> From: Chacha Mairi <chachamairi@gmail.com>
> Subject: Re: [wanabidii] KATA 7 SERENGETI HAZITATOA MAONI KATIBA MPYA
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Thursday, 13 December, 2012, 8:10
>
> Wewe Kiwasila!
>
> Hujui ama unafanya makusudi kutimiza azma yako! Soma chanzo cha
> habari, mimi ndiye niliyetoa habari hii baada ya kupata nakala ya
> Ratiba iliyoandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Serengeti, kuonesha ni
> kwa kiasi gani ratiba hiyo imepangwa kwa kuacha eneo moja la upande wa
> mashariki mwa Wilaya yetu ya Serengeti. Rejea attachment ya ratiba
> hiyo mwanzo wa habari hii.
>              Kwa kawaida ratiba hutolewa
> na Wilaya husika, siyo Tume ya Kuratibu Maoni Katiba Mpya.
>
> Hakuna mtu aliyekataa au kugoma kutoa maoni hapa Serengeti. Inaonesha
> wewe ni mmoja wa wale wanaohujumu wana Serengeti kwa maslahi binafsi!
> Mbona ya kabila lako hujayasema hapa, ambayo huenda yakawa pumba kama
> maelezo yako yalivyo pumba tupu?
>
> Fanya utafiti, upate haki ya kuzungumza mbele ya watu, vinginevyo
> unajichora na kuthibitisha ni jinsi gani ulivyojaa pumba na tope tupu!
> Pole sana.
>
> Chacha Mairi
> MWANA SERENGETI
>
>
> On 12/13/12, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
>>
>> Ahsante kwa somo hili la Wakurya Matinyi. Lakini, kama wakazi wa kata 7
>> Serengeti wamekataa kutoa maoni kwenye Katiba, viongozi wao ambao ni
>> wanasiasa (diwani,
>  wabunge) na wa utawala (DC, na extension staff wa DED)
>> wawaelimishe ni kwa manufaa yao. Ni mangapi watendayo kinyume na sheria
>> wanadamu huko serikali imewavumilia, kuwasaidia? Tatizo ni kutoa maoni au
>> utawala mbaya wa hata waliowachagua wenyewe?
>>
>> Kila kabila lina historia yake na serikali inajua why wapo hivyo. Kila
>> wakazi wa eneo fulani wana mambo yao mazuri na mabaya halafu lawama ni
>> GVT
>> tu.
>>
>> Kwa kuongezea niliyojifunza ktk hitoria na kuyaona nilipoishi Mara na
>> kutembea vijiji vya Mkoa huo:
>> Waingereza na wakoloni wengine waliangalia mambo mengi-hata desturi na
>> tabia
>> za kabila hilo. Mfano-wafugaji kama wakurya kupigana vita za wizi wa
>> mifugo
>> ambyao ni sehemu ya culture yao. Ambapo, vijijini kwao wakati wa ngoma za
>> jadi wanaume hucheza na kujisifu ujasiri wao. Hii ni tosha kumpatia mtu
>> heshima na mchumba. Kujisifu jinsi alivyofuatilia
>  kupigana na kurejesha
>> mifugo iliyoibiwa. Au, kuiba na kuleta mifugo lishe na mali kwa familia.
>> Kama ana mke, naye hujisifu jinsi na wenzake walivyofuatilia mrejesho huo
>> wa
>> mifugo wakiwa na chakula, maji kuwapelekea waume zao au wapiganaji wao
>> mbugani kwenye hatari. Nao wao ni mama jasiri. Hata tohara za kike ni
>> mkeketo mbele za both sexes wakitazama nani halii na kisha kukaribia
>> kupona
>> wanapakwa unga, wanavaa lubega na kushika fimbo wanatembea kijijini,
>> wanapita maendeo mtaani watu kuwatunza fedha. Nimeiona kwa macho
>> Musoma-Ujasiri huu ukionekana ni muhimu. Na wazee wa mila ujasiri wao
>> kuiambia Kamati ya
>>  Sekretariat ya Wizara ya Maendeleo miaka ya nyuma kuwa 'wataendelea
>> kukeketa iwe na liwe ni mila yao' watapambana ya GOT. Huu ni
>> ujasiri-unakiambia chombo cha dola!?
>>
>> Mwingereza kuwaingiza jeshi waliangalia production. waliona wamasai
>  na
>> wakurya wakorofi mapigano ya wizi wa ng'ombe hayaishi uzalishaji mali
>> unavurugwa. Hivyo-kuwapeleka jeshini ni kutumia uhodari wao wa vita, kimo
>> kirefu muhimu kulimko kibushuti kutoka Morogoro (Mluguru). Wakaingiza
>> coffee
>> Tarime walime angalau kupunguza makali ya mifugo tu na mapigano. Kwa
>> wamazai
>> akawaona wameingia  mapaka ugogo, Iringa kupora mifugo eti ng'ombe zote
>> ni
>> zao. Ngo'mbe ankole type zikahamisha Iringa wakabaki kulima tu na wenye
>> mifugo wachache ambapo baadhi yao kwa sasa huiwacha msituni inakaa kama
>> mifugo pori. Nyingine zinatolewa asubuhi zinajichunga na kurudi zenyewe
>> jioni.
>>
>> Kwa Wamasai Waingereza wakaona bora waweke kwenye Maasai Reserve kuliko
>> kuwaacha wavuruge agric production na vurugu za wizi wa mifugo kutoka
>> makabila mingine. Hii ikawa created na ipo ktk ramani za ukoloni za
>> nchii.
>> Kutoka humo kwa kibali. Jee
>  umelipa kodi, jee unatoka kwenda wapi kwa kibali
>> cha nani? DC/Mkuu wa Jimbo etc  katia sahihi kibali hicho na unarudi
>> lini.
>> Tanzania National Archive ina file na barua vibali hivyo na malumbano
>> kati
>> ya Chiefs wa maeneo megine kuhusu wafugaji na maeneo yao ya haki toka
>> kuzaliwa baba zao wakiishi.
>>
>> Yale magomvi ya serengeti mapambano makubwa ya makabila yahusianayo na
>> wizi
>> wa mifugo, silaha kuwa mikononi mwa wananchi kiasi kwamba GOT ilibidi
>> ipeleke jeshi ambalo ni la Wa ZNZ kutokana na JWTZ-Bongo (Tanganyika)
>> kuwa
>> majority ni toka Mara. Utampeleka Mkurya akakamate watu wa ukoo wake
>> ambao
>> walivamia mpaka Mheshimiwa Mkuu mmojawapo wa nchi alipolala kambi kuu
>> mojawapo (1993 hivi). Hapo mila na desturi za makabila za huko zikatumika
>> kiasi kwamba boma hadi boma kulipita msako mkali na kwa kupitia mila hiyo
>> (sitoitaja) baba au bibi kizee alitoa mwenyewe
>  bunduki au risasi
>> zilikofichwa. Bibi kizee usimlambie moto-akitumika kuficha risasi/silaha
>> maana hutomdhania.
>>
>> Mafunzo ya Mgambo-yakifanikiwa asilimia 100% kuandikisha wanaume mkoa wa
>> Mara. Kila kijana akitaka aingie ajifunze silaha kwa mapigano ya wizi wa
>> mifugo. pamoja na matumizi ya silaha za jadi za mishale ya sumu bado
>> silaha
>> za bunduki muhimu. Watakaporudi na mifugo iliyoibiwa ni sherehe, ng'oma,
>> nyama choma. Ubaya-kila kijiji ni kikabila kimojawapo-Nata wanata,
>> isenye-waisenye, robanda-waikoma (sonjo) etc wote ni wapiganaji na
>> mafunzo
>> ni toka umri mdogo. Hawa ni wababe, wanafikia kuvamia kituo cha polisi na
>> silaha za jadi kumtoa mwenzao/wenzaop aliyekamatwa. Jamani si utaona heri
>> wajiunge na JWTZ au polisi?
>>
>> Zamani tukiwa watoto tukiamini kuwa hawa Jaluo-Kurya wanaua na kula nyama
>> za
>> watu-hii ni jinsi utoto wetu tukiambiwa haya na
>  wazee (ethnocentrism) biases
>> za ukabila na kuolewa nao Jaluo, Kurya ni shughuli kwa makabila mengine
>> ni
>> pevu wazazi kukubali. Ukitakiwa upite mbali nao-wanakula watu.  Kila
>> police
>> tuliyemjua miaka hiyo-Jaluo mwanajeshi JWTZ Kurya. JKT
>> wakituhenyesha-Kurya
>> (majina ya maafande wengi ni Chacha, Mwita, Marwa)  labda wachache Wahaya
>> na
>> kabila nyingine-Meru, Arusha wote hawa wakali-  "Marshal Tribes" !!.
>> lakini
>> pia urefu nao uliwapa favours kuwa jeshini.
>>
>> Rais Nyerere-alipenda makabila yachanganyike. Utakuta shule ya secondary
>> Mtwara imejaa wanafunzi wachaga na Tabora wanyakyusa. Unatoka Coast JTK
>> unapelekwa Nachingwea sio Ruvu.Kikazi unapelekwa mikoa mbali na ya kanila
>> lako. Hii imesaidia kujenga utaifa tunaoubomoa kwa sasa. Baba wataifa
>> alijifunza na kuijua Historia. Akauchukua mfumo wa Wafumwa wa Upare
>> akauweka
>> ktk mfumo wa Ujamaa. yeye na
>  Mzee Mwinyi wametuomba mara nyingi twende Upare
>> tukajifunze mfumo wa kazi, ujenzi wa mabarabara milimani, conservation ya
>> ardhi na ulinzi misitu, mazingira, conservation agriculture na utawala
>> bora.
>> Tupo tupo tu. Yapo makabila mengi yana mambo mazuri ya kuboresha
>> utanzania
>> na utaifa. Utaona watu wanaingia katika bandwagon ya kulitangaza moja tuu
>> ili wapate hela za wahisani walipendalo hilo hata kama hilo lin mila
>> nyingi
>> mbaya za uonevu na moja tu ndio zuri na kuna makabila mengi yana mabaya
>> machache na mengi ya mila zao ni mazuri na ya maendeleo watu wanaangalia
>>  tumboni street tu. Yapo makabila kwa ukali wao waliuawa asilimia 90
>> (90%)
>> kwa kufungiwa na kuchoma mapangoni kwa kukataa kulimishwa manamba ili
>> wajifanyie kazi zao na wakapigana kiume (wakachomwa mapangoni) wakabaki
>> kusali na kuwa watumishi wa Mungu hawaonekani ktk utawala, jeshi, siasa.
>>
>>
>  Tuwaombe tena akina Mzee Kimambo wafufue chama chao cha Historia, waandike
>> tena ya toka enzi hizo hadi sasa kwa kioo cha utaifa sio kile cha Ukoloni
>> ili watuachie urithi mzuri maana vijana tupo ktk easynet kutafiti na
>> kuandika ni ndoto ila download copy and paste. Hii historia atoayo
>> Matinyi
>> hapa itaweza ikawa kwa wengine ni kupoteza muda na maandishi ya maneno
>> mengi-hawapendi kusoma vitu virefu. Tuandike vitabu tokana na makala hizi
>> kama afanyavyo Shigongo vitawapa urithi vijana kuelewa tulikotoka.
>>
>> --- On Wed, 12/12/12, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:
>>
>> From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
>> Subject: RE: [wanabidii] KATA 7 SERENGETI HAZITATOA MAONI KATIBA MPYA
>>
>  To: "Wanabidii googlegroups" <wanabidii@googlegroups.com>
>> Date: Wednesday, 12 December, 2012, 16:25
>>
>>
>>
>>
>>
>> Kivuyo na LKK,
>>
>>
>>
>> Naomba niwapatie ukweli ninaoujua kwa kutafiti na kufuatilia kuhusu uwepo
>> wa
>> Wakurya wengi jeshini na madai kwamba Nyerere aliwapeleka jeshini - si
>> kwa
>> kuwa mimi ni mkurya! La hasha!
>>
>>
>>
>> Kwanza niseme hivi, ni kweli kwamba Wakurya ni wengi sana jeshini
>> kulinganisha na makabila mengine ya Tanzania ingawa katika miaka ya
>> karibuni
>> wamekuwa wakipungua kutokana na sababu nyingi ambazo hapa si mjadala
>> wake.
>>
>>
>>
>> NANI ALIWAINGIZA JESHINI
>>
>>
>>
>> 1. Wakurya waliingizwa jeshini kwa mara ya kwanza na Waingereza wakati wa
>> kuandaa jeshi la
>  kikoloni ambapo ilipotokea vita ya pili ya dunia,
>> Waingereza walikwenda vijijini kwa Wakurya na kuwakamata ama
>> kuwahamasisha
>> vijana wao waingie jeshini ili kwenda kupigana. Baadhi yao waliporejea,
>> akiwemo Marehemu babu yangu mzaa mama na baba yangu mkubwa, walikataa
>> kuingia jeshini wakisema wana mali nyingi na wakaenda kuangalia ng'ombe
>> zao.
>> Hawa walipigania nchini Burma huko Asia. Utamaduni huu wa kuingia jeshini
>> ukaanzia hapo na kuendelea.
>>
>>
>>
>> 2. Kwa nini Waingereza waliwachukua Wakurya wengi kwenda jeshini? Ni kwa
>> sababu ya dhana kwamba makabila ya Waafrika yana vipaji tofauti na kwamba
>> ili kuwatawala Waafrika kwa urahisi, inabidi kuvitumia vipaji hivyo.
>> Mfano,
>> Waingereza walisema kwamba ukitaka madaktari wengi watiifu na wapole
>> wachukue Wasukuma kwa sababu ya upole wao na utiifu na kweli tunao wengi
>> sana.
>  Waingereza wakasema tena, wafanyakazi wazuri wa ndani ni Wanyasa -
>> kweli, wafanyakazi wa ndani wa balozi na maofisa ubalozi wa Uingereza
>> hata
>> sasa hivi ni Wanyasa kwa sababu ya uaminifu wao. Walisema pia kwenye
>> elimu
>> weka Wachaga na Wahaya na ni kweli hadi leo waliobobea shuleni zaidi
>> nchini
>> na nani? Tunajua wote! Wakasema, kule Kenya, ukitaka wasomi chukua
>> Wajaluo
>> na Uganda wakasema ukitaka wasomi chukua Waganda. Kwenye uaskari walisema
>> kwamba kwa Uganda chukua Walango, Waacholi na ikibidi sana Wakakwa
>> (kabila
>> la Idi Amin). Nchini Kenya walisema kwamba kwa askari bora uchukue
>>  Wakamba. Kwa Tanganyika wakasema chukua Wakurya na ongeza Wangoni na
>> Wahehe. Wakaongeza zaidi na zaidi kwenye mpangilio wao. Ipo orodha ndefu.
>> Waingereza walifanya utafiti mzuri na walipoondoka walimwachia kila
>> kiongozi
>> wa Afrika (makolonini) matokeo ya
>  utafiti wao ingawa akina Nyerere
>> hawakuzifuata.
>>
>>
>>
>> MATOKEO YA SERA YA WAINGEREZA
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>> TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>> CALL : 0786 806028
>> Free Delivery in Dar es salaam
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>  legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum
>  bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her
> postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge
> to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
>
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
>
>
> TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
>
>
> CALL : 0786 806028
>
> Free Delivery in Dar es salaam
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>
>                         
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>


--
-------------------------------------------------------------------
sending by:
CHACHA MAIRI SARYA
P. O. Box 189,
Mugumu,
Serengeti,
Mara,
TANZANIA, EA.
Mobile:
+255 774 630 630
+255 757 631 631
+255 787 632 632
Tel/Fax:+255 (0) 732 98 55 68
alternative email address: mairi.office@gmail.com

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.



--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment