Thursday 13 December 2012

Re: [wanabidii] KATA 7 SERENGETI HAZITATOA MAONI KATIBA MPYA

Naitwa Mairi na sio maini kama ulivyonitaja!

Hoja hapa ni upotoshaji katika kuchangia mada husika. Matinyi alikuwa anakanusha hoja kuwa Wakuria waliingizwa jeshini na Nyerere, na kubainisha jinsi wazee wa kikuria walivyokuwa kutumia mbinu mbalimbali kuhakikisha vijana wao wanajiunga na JWTZ. Hilo sina ubishi nalo!

Upotoshaji mchangiaji kwamba aliwahi kuishi na kutaja vijiji visivyo vya wakuria kama kielelezo cha jinsi anavyowajua wakuria, nakemea hilo.

Kutaja kuwa wakuria Serengeti wamegoma kutoa maoni katiba mpya, nani kasema wamegoma? Nakemea hilo.

Kudai kwa kudhania kuwa huenda ofisi ya DC imekwepa kupanga ratiba kuwalenga wakuria eti kwa sababu ni wangomvi! Nakemea hilo!

NB: Siko tayari kuomba radhi kwa mtu ambaye kwa mtizamo wangu, naona anajaribu kuupotosha umma wa watanzania na kudhalilisha jamii fulani kwa maslahi binafsi. Maneno kama ya huyo unayemtetea, ambayo wengine kujiona bora na kudharau wengine, yamewagharimu sana wenzetu wa nchini jirani na kujikuta wanaingia katika vita na kupelekea mauaji ya kimbali. Nakemea hilo!

Naomba umshauri kwanza, awatake radhi wakuria nikiwemo mimi, kwa kuchangia mada na kupitia mchango wake kusimulia uzushi dhidi yao!

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, December 14, 2012 3:28:37 AM UTC
Subject: Re: [wanabidii] KATA 7 SERENGETI HAZITATOA MAONI KATIBA MPYA

Maini

M
Kwanza mimi naona unamuonea bure huyu dada kwani Alichoandika hapa hakata tofauti na alichoandika hapa bro Matinyi .

Sasa. mbona yeye hujamkoromea huvi? tafadhali muombe. radhi kaka kuonesha tü jinsi ulivyo muungwana . Kwanzaungejua kwamba hapa kweenye mchakato yeye hausiki ungeona. aibu sana . Huyu dada ni mchangiaji mzuri. wai Practical Facts ambazo wengi. hatupendi tunataka kupambwa hapa pale tusipopambika. Ratiba. itawekwa nyingine kaka. Asubuhi njema.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment