Tuesday 11 December 2012

Re: [wanabidii] KATA 7 SERENGETI HAZITATOA MAONI KATIBA MPYA

Kwanini hawatashiriki kutoa maoni? Kwanini maeneo hayo hayakujumuishwa ktk ratiba?

--- On Tue, 12/11/12, Chacha Mairi <chachamairi@gmail.com> wrote:

From: Chacha Mairi <chachamairi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] KATA 7 SERENGETI HAZITATOA MAONI KATIBA MPYA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, December 11, 2012, 6:34 AM

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Serengeti na kusainiwa na Katibu Tawala Wilaya Mr. M.C. Zonzo zaidi ya Kata 7 za Wilaya ya Serengeti hazitashiriki kutoa maoni mbele ya Tume ya kuratibu maoni ya Wananchi kuhusu mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Miongoni mwa Kata ambazo Wananchi wake hawatafikiwa na Tume ni: Kisangura, Sedeko, Mbaribari, Machochwe, Nyamoko, Rung'abure na Geitasamo. Kwa wale wanaoifahamu geografia ya Serengeti, wataona ukanda wote wa mashariki ya Wilaya ya Serengeti, hautashiriki katika zoezi hili la kutoa maoni.

Ratiba hiyo wameandikiwa Maafisa Tarafa, Rogoro, Ikorongo, Grumeti na Ngoreme. Pamoja na habari, hapa naambatanisha nakala ya ratiba hiyo kwa manufaa ya wasomaji wa habari hii. Aidha, nitumie fursa hii kuwarai wote wanaohusika kulitazama jambo kwa upya na kuona ni kwa namna gani wananchi waishio Serengeti na kwingineko ambako kumetokea hali ya aina hii, watakavyoshiriki katika uandaaji wa katiba mpya.

Chacha Mairi

MWANASERENGETI

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment