Monday 17 December 2012

Re: [wanabidii] Jamboleo, Mtanzania na Uhuru: Uwezo wa Waandishi na Wahariri wao.

Ndugu Kulwa
Nafikiri hujanipata vizuri, walionitangulia wameonyesha wasiwasi wao
kuhusu uwezo wa waandishi na wahariri wa magazeti tajwa. Mimi nikasema
sioni kama kuna tatizo la uwezo kiuandishi au uhariri bali kuna tatizo
la kimlengo. Kwamba waandishi na wahariri wanayomalengo yao. Kwa
upande wa wasomaji pia wanao uwezo wa kuchambua gazeti fulani ni
mlengo fulani. Sidhani kama hili linahitaji shahada kulijua.

Utafiti upo wa namna nyingi, kwa mfano kama wewe umenidanganya mara
kadhaa sitakuwa nimekosea nikisema fulani ni mwongo na wala si lazima
kila ulichowahi kuniambia kiwe ni uwongo. Huo nao ni utafiti ambao
hauna takwimu rasmi zilizoandikwa lakini ni utafiti. Pia ninaweza
kunanalyse statement ya mwandishi na ikawa ndo utafiti wenyewe. Bila
shaka unafahamu aina mbalimabali za utafiti. Au mwenzetu unaamini
katika utafiti wa kutoa takwimu (quantitative) tu?

Sijui ndugu yangu hapa unajaribu kukataa lipi? Kwamba magazeti kama
uhuru mauzo yake ni sawa na magazeti kama Mwananchi na Nipashe? Kuhusu
hilo naweza kukwambaia kama ni utafiti nimefanya, kama na wewe
unahitaji kuhakikisha methodology yake ni rahisi sana. Fanya sampling
ya maeneo kama matano asubuhi wakati kuna wateja wengi wa kununua
magazeti hesabu ni wangapi watanunua magazeti gani kwa muda wa saa
moja. fanya talling and then convert into percentages utaweza kubaini
hilo.

Pili kuhusu magazeti hayo kuwa na mwelekeo wa kuvikandia vyama vingine
hilo mbona liko wazi sana. Ukiangalia tu namna headings za habari
zinazohusu vyama vya upinzani zinavyokuwaframed utaelewa namna
muhariri anavyotaka habari kuuaminsha umma juu ya anachotaka ni kama
ilivyo kwa gazeti la Tanzania Daima likiandika habari inayoihusu CCM.
Nimeargue kwa logic wala siyo fikra zangu tu kama wewe unavyodhani.
Kama ni mhariri wa magazeti hayo nisamehe tafadhali lakini ukweli
utabaki palepale.



2012/12/17 KULWA MAGWA <magwakulwa12@gmail.com>:
> Ngonge, Kim na Gikaro mmeanzisha mjadala ambao kimsingi sidhani kama una
> ukweli wowote, na sidhani kama mmewahi kufanya utafiti kuhusu mlichojadili.
> Hata hivyo kwa kuwa uhuru tunao wa kujadili mambo mbalimbali na kuibua
> mijadala hata ile hatuna ushahidi nayo wa uhakika, tunaweza kuutumia
> kuzungumza kile tunachoamini na nafsi zetu zinataka. Naomba tufanye utafiti
> upya then turejee na ukweli kuhusu mjadala huu, inaonekana fikra zetu ndizo
> zinazotusukuma zaidi kujadili kile tulichojadili!
>
>
> 2012/12/17 mngonge <mngonge@gmail.com>
>>
>> Tatizo hapa si kutokuwa na upeo katika nyanja ya uandishi bali tatizo
>> ni mwelekeo na mtizamo wa hayo magazeti. Nijuavyo mimi magazeti hayo
>> ununuliwa na watu wachache sana, mara nyingi ununuliwa na ofisi za
>> serikali na pengine kwa shinikizo fulani. Inaeleweka sana kwamba
>> huandika habari za uzushi kwa nia ya kukijenga chama chao. Lakini
>> nawaomba wafanye utafiti kujua ni nakala ngapi zinauzwa ukifananisha
>> na magazeti mengine kama Mwananchi, Nipashe na Tanzania Daima.
>>
>> Kinachofurahisha ni kwamba wanunuzi wa magazeti ya habari mbali mbali
>> ni watu wenye upeo fulani wa kuchambua mbivu na mbichi. Ata hao
>> wanachama wa chama chao wengi wao hawayasomi. Siku zote kibaya
>> ujitembeza, kizuri ujiuza
>>
>> 2012/12/15 Gikaro Ryoba <rgikaro@yahoo.com>:
>> > Wala hujakosea, ndio lenyewe....kule Arusha watu walikodiwa kupita
>> > nyumba
>> > kwa nyumba na kugawa gazeti hili bure. Sijui hizi pesa wanazotumia
>> > kutengeneza gazeti na kugawa bure wanazichota kisima gani! Kama sio ile
>> > chenji ya radi zitakuwa zile pesa za EPPA zilizorejeshwa kwa mkuu wa
>> > kaya.
>> >
>> >
>> > ________________________________
>> > From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
>> > To: wanabidii@googlegroups.com
>> > Sent: Saturday, December 15, 2012 5:21 PM
>> >
>> > Subject: Re: [wanabidii] Jamboleo, Mtanzania na Uhuru: Uwezo wa
>> > Waandishi na
>> > Wahariri wao.
>> >
>> > Hili gazeti sio lililotumika kumchafua Dr. Slaa 2010 na kugawiwa bure
>> > kwa wananchi Arusha?? kama nimekosea nisahihishwe.
>> >
>> > --
>> > *"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
>> > his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
>> > *
>> >
>> > --
>> > Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> > nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> > Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >
>> > DELL LATITUDE D 620 & D30
>> >
>> > 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>> > DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>> >
>> > TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>> >
>> > CALL : 0786 806028
>> > Free Delivery in Dar es salaam
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> > legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> > be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> > agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >
>> >
>> >
>> >
>> > --
>> > Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> > nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> > Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >
>> > DELL LATITUDE D 620 & D30
>> >
>> > 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>> > DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>> >
>> > TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>> >
>> > CALL : 0786 806028
>> > Free Delivery in Dar es salaam
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> > legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> > be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> > agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >
>> >
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>> TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>> CALL : 0786 806028
>> Free Delivery in Dar es salaam
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment