Monday 17 December 2012

Re: [wanabidii] Jamboleo, Mtanzania na Uhuru: Uwezo wa Waandishi na Wahariri wao.

Ngonge, Kim na Gikaro mmeanzisha mjadala ambao kimsingi sidhani kama una ukweli wowote, na sidhani kama mmewahi kufanya utafiti kuhusu mlichojadili. Hata hivyo kwa kuwa uhuru tunao wa kujadili mambo mbalimbali na kuibua mijadala hata ile hatuna ushahidi nayo wa uhakika, tunaweza kuutumia kuzungumza kile tunachoamini na nafsi zetu zinataka. Naomba tufanye utafiti upya then turejee na ukweli kuhusu mjadala huu, inaonekana fikra zetu ndizo zinazotusukuma zaidi kujadili kile tulichojadili!

2012/12/17 mngonge <mngonge@gmail.com>
Tatizo hapa si kutokuwa na upeo katika nyanja ya uandishi bali tatizo
ni mwelekeo na mtizamo wa hayo magazeti. Nijuavyo mimi magazeti hayo
ununuliwa na watu wachache sana, mara nyingi ununuliwa na ofisi za
serikali na pengine kwa shinikizo fulani. Inaeleweka sana kwamba
huandika habari za uzushi kwa nia ya kukijenga chama chao. Lakini
nawaomba wafanye utafiti kujua ni nakala ngapi zinauzwa ukifananisha
na magazeti mengine kama Mwananchi, Nipashe na Tanzania Daima.

Kinachofurahisha ni kwamba wanunuzi wa magazeti ya habari mbali mbali
ni watu wenye upeo fulani wa kuchambua mbivu na mbichi. Ata hao
wanachama wa chama chao wengi wao hawayasomi. Siku zote kibaya
ujitembeza, kizuri ujiuza

2012/12/15 Gikaro Ryoba <rgikaro@yahoo.com>:
> Wala hujakosea, ndio lenyewe....kule Arusha watu walikodiwa kupita nyumba
> kwa nyumba na kugawa gazeti hili bure. Sijui hizi pesa wanazotumia
> kutengeneza gazeti na kugawa bure wanazichota kisima gani! Kama sio ile
> chenji ya radi zitakuwa zile pesa za EPPA zilizorejeshwa kwa mkuu wa kaya.
>
>
> ________________________________
> From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Saturday, December 15, 2012 5:21 PM
>
> Subject: Re: [wanabidii] Jamboleo, Mtanzania na Uhuru: Uwezo wa Waandishi na
> Wahariri wao.
>
> Hili gazeti sio lililotumika kumchafua Dr. Slaa 2010 na kugawiwa bure
> kwa wananchi Arusha?? kama nimekosea nisahihishwe.
>
> --
> *"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
> his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
> *
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment