Wednesday 5 December 2012

Re: [wanabidii] GHARAMA ZA VIWANJA JUU

Kodi ya viwanja ikiongezeka watu wataacha kuhodhi viwanja vingi wasivyohitaji na ambavyo hawaviendelezi wengine tunaohitaji kujenga tutapata viwanja

2012/12/6 Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>

George bado mpangaji. Unafikiri kodi za viwanja zikipanda ndio utaona barabara nzuri? Sana sana utaona mashangingi yakiongezeka na safari nyingi za vasco da gama.

Sent from Samsung Tab 10.1

On Dec 5, 2012 9:30 PM, "John George" <georgejn2000@gmail.com> wrote:
Nadhani hii ni hatua muhimu na ya maana sana kwa nchi yetu ambayo hamna productions zaidi ya uchuuzi wa bidhaa toka china. Kodi iendelee kupanda zaidi angalau barabara zijengwe na tupate fedha za kununulia mashangingi!! 

2012/12/5 Deogratias Kawonga <deogratias.kawonga@gmail.com>
Kitigwa

Ni kweli gharama hizo zimepanda sio tu ada ya mwaka, hata kusajili hati kwa wanaokopa imepanda toka 35,000.00 ya mwanzo hadi 160,000.00 , official search 10,000.00 hadi 40,000.00 kesho nikipata muda nitaiweka hapa kwa wanaohitaji kufanya rejea na hiyo ni kwa nchi nzima.

Sent wirelessly from my iPhone device on the Airtel Network

On Dec 5, 2012, at 5:32 PM, F kitigwa <kitigwa@gmail.com> wrote:

Wasalamau,
Leo nilikwenda kulipia kiwanja changu kilichopo dodoma na nilishangazwa kukuta gharama zimepanda mara 3.
Yaani nilikuwa zamani nalipia sh 27,700 kwa mwaka na mwaka huu wananiambia wizara imepandisha gharama za viwanja mara tatu (3)
Nikaambiwa nilipie sh 83.360.kwa mwaka kuanzia mwaka huu na kuendelea.
Tafadhali mwenye kujua ni lini wizara imepandisha gharama za viwanja anijuze au ni sisi tu wakazi wa dodoma tumepandishiwa?
Na kama ni hapa tu dodoma chini ya CDA kwa nini tupandishiwe mara 3?

Nitashukuru kama kuna wahusika wowote wa Wizara ya ardhi wanaweza kunisaidia

Ahsanteni sana.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment