Saturday 15 December 2012

Re: [wanabidii] Fw: CHUKUA TAHADHARI KABLA YA HATARI

Inaonekana huu mtandao ni mkubwa na, kwa kuwa polisi wetu hawana mbinu za kiufundi za kukabiliana na wahalifu tofauti na kutegemea mataumizi ya mabavu, hii vita itakuwa ngumu kuishinda. Kilichopo ni kumuomba Mungu na kuchukua tahadhari binafsi kuliko kutegemea vyombo vya usalama ambavyo vinatetea maslahi ya wakubwa zaidi kuliko ya wanyonge.


From: Emma Lunojo <lunoemma@yahoo.com>
To: Ajuaye Sigalla <tupulike@yahoo.co.uk>; Alphonce Msigwa <alphonce84@yahoo.com>; Alex Mkwata <amkwata@yahoo.com>; Kiswigo Abrahamu <kiswigo@gmail.com>; arnold luhikula <aluhikula@yahoo.com>; "almsigwa@gmail.com" <almsigwa@gmail.com>; "aslukinga2001@yahoo.com" <aslukinga2001@yahoo.com>; Zakayo Busagala <shikwile@yahoo.com>; Baraka Mlawa <mlawanga1@yahoo.com>; Waza Benjamini <wazashadrack@yahoo.com>; "bariki.vahaye@crdb.com" <bariki.vahaye@crdb.com>; "barb42k@yahoo.com" <barb42k@yahoo.com>; Emmanuel Nyagawa <kilundoem2000@yahoo.co.uk>; "charlesmduma@yahoo.com" <charlesmduma@yahoo.com>; Carlos Mhenga <mhengacarlos@yahoo.com>; Denis Mahulu <denisymahulu@yahoo.com>; Devotha Titho <tdevotad@yahoo.co.in>; Dk. Joseph Hella <jp_hella@yahoo.co.uk>; "domminel@gmail.com" <domminel@gmail.com>; "daudiwengi@yahoo.com" <daudiwengi@yahoo.com>; erick marisham <erickamos@yahoo.com>; "emmanyanga@yahoo.co.uk" <emmanyanga@yahoo.co.uk>; Sara Fihavango <sarafdamiani@yahoo.com>; "femgaya@gmail.com" <femgaya@gmail.com>; Wilson Gwoma <gwomason@yahoo.co.uk>; "huruma74@yahoo.com" <huruma74@yahoo.com>; Jackson Tesha <jjtesha2003@yahoo.com>; Joyce Thomas <ndunguruj@yahoo.com>; PETER Kalihose <kali61982@yahoo.co.uk>; Elguard Lema <elguardlema@hotmail.com>; Lilian Mahimbo <lilian.mahimbo@nbctz.com>; Salehe H. Msanda <mzeehamisi05@yahoo.com>; Magreth Mziray <mmziray@yahoo.com>; Martin Kidenya <martinkidenya@yahoo.com>; Millinga Mchumi-Mkoani <2cmillinga2010@gmail.com>; Menyishoshe Mshiu <mshiushose1980@yahoo.com>; Saada Millanzi <saadamillanzi@yahoo.com>; MSUHA BASIL <msuhabaz@yahoo.com>; "nkarengi161@gmail.com" <nkarengi161@gmail.com>; Offoro Kimambo <offoro@gmail.com>; Prisca Joseph Mkenda <P_mkenda1980@yahoo.com>; Malimi Sitta <malimisitta@yahoo.com>; "tri4nia@yahoo.co.uk" <tri4nia@yahoo.co.uk>; elibariki ulomi <barikiulomi@yahoo.co.uk>; Veronica Matheba <lala_matheba@yahoo.com>; "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, December 15, 2012 11:37 AM
Subject: [wanabidii] Fw: CHUKUA TAHADHARI KABLA YA HATARI

 
Emma Lunojo Mwenda
Economist - Njombe Town Council
Planning, statistic & Monitoring Dept
P.O. Box 577
Njombe - Tanzania
Tel: +255 26 2782755
Mobile: +255 787 712472
E-Mail: lunoemma@yahoo.com
----- Forwarded Message -----
From: beatrice mwinuka <beamwinuka@yahoo.com>
To: Emma mwenda <lunoemma@yahoo.com>; Happy Jackson Mwinuka <hjmwinuka@yahoo.co.uk>; Ritaihwa <mariarutaihwa@yahoo.com>; JOYCE PETER MSUMBA <msumbajoe@yahoo.com>; Mwandishi Nchimbi <janeth.nchimbi@yahoo.com>; HALIMA LUTAVI <hal7881@yahoo.com>; hildegarda saudari <laswai16@yahoo.ca>; Theonas Mkoba <mkobaptheonas@yahoo.com>; Jackline Tarimo <jacsat@hotmail.co.uk>; Joyce chitalika <chitalikajoyce2001@yahoo.com>
Sent: Thursday, November 22, 2012 9:28 PM
Subject: CHUKUA TAHADHARI KABLA YA HATARI

  Habari ya kweli iliyotokea wiki iliyopita.



Kuna dada mmoja anasoma chuo buguruni na pia ni mfanyakazi hivyo jioni
akitoka kazini ndipo huenda shule.Sasa akiwa njiani kuelekea chuo
akapigiwa simu na mtu asiyemfahamu akajitambulisha kwamba yeye ni
daktari wa lugalo hosp na kumuulizia habari za mwanae ambae alishawahi
kwenda kumtibu pale na chakushangaza zaidi akataja mpaka aina na rangi
ya nguo aliyovaa siku ile alipokwenda hapo hospitali na yote yalikuwa
kweli. Na zaidi akamwambia najua sasa hivi unaelekea chuo buguruni na
kweli ilikuwa hivyo, lakini mwishoni akamweleza kwamba kuna mambo
anataka  kujua kuhusu hicho chuo hivyo nae anaelekea huko hivyo akifika
tu atamtafuta. Kwa muda wote huo huyo dada hakuweza kabisa kumkumbuka
ila akajipa moyo kwamba yamkini huyo mtu atakuwa  anamfahamu vizuri.



Baada ya kutoka chuo akiwa na wenzake watatu akawa anawasimulia habari
za huyo mtu ndipo simu yake ikaita,kupokea yule mtu akamwambia nakuona
uko na wenzio wawili mnavuka barabara na kumueleza jinsi alivyovaa sasa
wenzie wakasema huyo mtu anakufahamu haiwezekani hapa tupo watatu kweli
na ameweza kukutambua. Kisha huyo mtu akamwelekeza mahali alipo ambapo
haikuwa mbali na barabara.



Lakini alipomtazama hakumfahamu kabisa, basi akampa mkono kumsalimia,
baada ya hapo hakujitambua na zaidi alijikuta yuko maeneo ya chuo kikuu
cha DSM akiwa hoi. Kuangalia simu na kila kitu chake kilikuwa salama na
hakufanyiwa kitu chochote, kwa bahati kulikuwa kuna ndugu yake anasoma
chuo hivyo akawasiliana nae ili kupata msaada ikabidi awahishwe
mwananyamala hosp lakini ikaonekana sumu iliyotumika ni kali na dawa
yake wanayo regency hosp,hivyo akawahishwa regency na kupata matibabu.



Baada ya ufahamu kumrudia akakuta mtu huyo kachukua pesa zote kwenye
mpesa,tigo pesa na bank ( NMB na CRDB) kiasi cha milioni 3, hivyo
inawezekana walipompa sumu alitaja password pasipo kujijua.



Na bank walipotazama kwenye ATM Camera waliona picha ya huyo mtu na yeye
alimkumbuka vizuri, lakini polisi Kijitonyama wakakiri kwamba kesi hizo
sasa hivi zimetokea mara nyingi na huo mtandao ni mkubwa, walipoenda
kwenye usajili wa simu walikuta ni huyo huyo na jina lake ndilo
alilojitambulisha.Ingawa polisi wameshindwa kumkamata.



Akiwa kituo cha polisi mara huyo mtu akampigia simu akimwambia ''kumbe
wewe ni muoga sana tutakurudishia pesa zako''. Sasa kumbe wanachofanya
wanakuambia'' tutafutie mtu ambae unahisi ana pesa kuliko hizi  halafu
tukifanikiwa tutarudisha pesa zako'' hivyo inawezekana nae kuna mtu
anaemjua alifanyiwa hivyo akaamua kumtaja yeye.



HIVYO NI KUOMBA MUNGU NA KUWA WAANGALIFU










--
Lilian Kaniki
Administrative Assistant- HEALTH TEAM
U.S. Agency for International Development (USAID)
686 Old Bagamoyo Road, Msasani
P. O. Box 9130
DAR ES SALAAM, Tanzania
Tel: +255 22 2668 490 Ext 4991
Cell: 255 753 027 750
Email: lkaniki@usaid.gov
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


0 comments:

Post a Comment