Wednesday 19 December 2012

Re: [wanabidii] Chris Lukosi : Nimeamua Kurudi CCM

Jamani amerudi kwenye chama alichokijua kwa miaka 35. Jamani 'zimwi
likujualo'' sasa hapa tusiwe wanafiki. CHADEMA mnasema nchi masikini
akigeuka huku waziri anatangaza mafanikio ya sirikali ya CCM na yeye
akapima akaona wenye akili kama zake ni kule sa kakosani?

On 12/19/12, Barnabas Mlyuka <barnabasmmlyuka@ymail.com> wrote:
> Huyu bwana hakuijua Tanzania ilivyo hivyo aliingia kama kipofu. Ameridhika
> na hayo aliyoyaona tu akadhani ndivyo tanzania inavyotakiwa kuwa kumbe
> sivyo. Hatofautiani niavipofu walioshika tembo! Ni wakumhurumia tu kwani ni
> maamuma tu.
>
>
> -------------------------------
> Barnabas Eliab Mlyuka
> P.o Box 671
> Morogoro
> Phone 0752578211/ 0716619326
>
>
> ________________________________
> From: "BILLEGEYA, Mussa" <msbillegeya@yahoo.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Wednesday, December 19, 2012 1:09 PM
> Subject: Re: [wanabidii] Chris Lukosi : Nimeamua Kurudi CCM
>
>
> Yaani Mtu ametoka Uongereza Kuja kusifu Sekondari za Kata ambazo zina
> wanafunzi ambao hawajui kusoma na kuandika????
>
> Ametoka UINGEREZA akaja Tanzania akakuta kuna BARABARA AMBAZO HAJAWAHI
> KUZIONA TOKA AZALIWE??? Au alipokuwa Uingereza alikuwa Kipofu???
>
> Nadhani huyu ndugu haelewi kwamba hata Wagonjwa walio Hospitali ambao
> watakuwa jioni, Mchana huwa wanakuwa nafuu kuliko marehemu.... Ameshindwa
> kuelewa kuwa Maendeleo SIO Uko Wapi, bali Unatakiwa kwenda Wapi!!???
>
>
>
> BILLEGEYA, Mussa,
> Twitter: @MBillegeya
>
>
>
>>________________________________
>> From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
>>To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>>Sent: Tuesday, December 18, 2012 8:08 PM
>>Subject: [wanabidii] Chris Lukosi : Nimeamua Kurudi CCM
>>
>>Leo hii nimeamua rasmi kurudi CCM, chama ambacho nimekifahamu kwa
>>miaka 35
>>sasa.
>>
>>Nilijiunga na Chadema kwa matumaini niliyokuwa nayo kuwa ni chama
>>kitakachomkomboa Mtanzania kutoka kwenye umasikini na kumfikisha
>>kwenye
>>level sawa na watu wa mataifa mengine kama Botswana , Namibia au hata
>>baadhi ya nchi za Ulaya.
>>
>>Niliamua haya baada ya kufuatilia yanayoandikwa kwenye vyombo vya
>>habari
>>kwa sababu mie binafsi kwa sasa naishi UK hivyo basi mambo mengi
>>yatokeayo
>>nyumbani huwa nayapata kwa kusoma magazeti na blogs mbali mbali.
>>
>>Nilifanikiwa kukutana na Mheshimiwa Lema hapa London ambapo tukapanga
>>mikakati ya kukijenga chama hapa UK na nikapewa jukumu la kufungua
>>matawi
>>nchi nzima na kuhamasisha Watanzania, kazi ambayo niliifanya kwa moyo
>>mmoja. Pia nilichaguliwa kuwa mwenyekiti wa chadema UK.
>>
>>Nimefanikiwa kuhamasisha watu wengi na baada ya miezi michache
>>niliamua
>>kwenda nyumbani kuona
> hali ilivyo. Niliyoyakuta ilikuwa tofauti na
>>niliyokuwa nikiyasikia na kusoma.
>>
>>NIMEKUTA BARABARA NZURI SIJAWAHI KUONA TOKA NIZALIWE NA ZINAENDELA
>>KUJENGWA!
>>
>>SHULE ZA SEKONDARI KILA KATA NA VYUO VIKUU VYA KUJICHAGULIA.
>>MAISHA YA WATANZANIA YAMEBADILIKA SANA - MIDDLE CLASS NI MAISHA YA
>>KAWAIDA
>>TU. VIJANA WENGI WAMEENDELEA TOFAUTI NA ZAMANI MPAKA UWE MCHAWI KIDOGO
>>NDIO
>>UWE TAJIRI. MIJI INAJENGEKA KWA KASI YA AJABU. UKIHARIBU KAZINI
>>UTAWAJIBIKA
>>.
>>Na mengine mengi tu niliyaona mpaka nikaanza kujiuliza , hivi najiita
>>mpinzani, NINAPINGA NINI?
>>
>>Kama ni maendeleo nayaona tena maendelo original Nikakumbuka msemo
>>mmoja...
>>"KWA NINI UHANGAIKE NA FOTOKOPI WAKATI ORIGINAL IPOO?"
>>Kwangu mimi CCM ni original na Chadema ni photocopy, tena copy
>>iliyotolewa
>>wakati mashine imekwisha wino . Mabadiliko ya kweli yatatokea ndani ya
>>CCM
>>na si kwingineko!
>>
>>Kuna mengi mazito yamenichefua Chadema
> lakini sitayasema leo. Juzi
>>mwenyekiti wangu wa Taifa Mheshimiwa Mbowe alipita hapa UK, lakini,
>>mpaka
>>ameondoka hakutaka kuwasiliana na kiongozi yoyote wa Chadema hapa UK
>>kitendo ambacho kiliniuma sana, kwani, niliona kama tumedharauliwa;
>>BABA HUWEZI KWENDA SEHEMU WALIPO WANAO UKASHINDWA HATA KUWAPIGIA SIMU
>>KUWAJULIA HALI.
>>
>>Ni matumaini yangu kuwa uamuzi wangu utaeleweka. Kama tujuavyo, kila
>>kwenye
>>msafara wa mamba na kenge wamo, lakini naona kwenye msafara wa
>>Chadema
>>idadi ya kenge inazidi mamba.
>>
>>Chris Lukosi
>>
>>--
>>Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
>>nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
>>Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>>
>>DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>>80 GB HardDisk
> ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>>TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>>CALL : 0786 806028
>>Free Delivery in Dar es salaam
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>>
>>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment