Thursday 20 December 2012

Re: [wanabidii] Chris Lukosi : Nimeamua Kurudi CCM

Salum, kwa upande mmoja nakuunga mkono kwa asilimia 100. Hata mimi sipendi kuishi maisha ya kunung'unika tu na kutoshiriki kuwa sehemu ya suluhisho. Ila kwa upande mwingine, ni vema ku- address issues jinsi zilivyo. Ni kweli kwamba tukijivunia hali tuliyonayo sasa, yamkini ikafanya watu-watendaji wakajiona wako perfect kumbe walicho-deliver kiko chini ya wastani wa mafanikio. Ukipima mafanikio ya nchi yetu kwa kuilinganisha na miaka 35 iliyopita, utaona imepiga hatua sana. Ila ukipima mafanikio kwa kuangalia rasilimali tulizonazo(including watu), output quality and quantity, quality ya maisha ya Watanzania kwa majority, utagundua tumerudi nyuma badala ya kwenda mbele. Kwa si sahihi mtu ku generalize kuwa tumepiga hatua halafu tukae kimya tu.
Hapa sija-dilute ujumbe wako wa self responsibility and accountability!

Kusirie

On Dec 20, 2012, at 13:38, Salim Rupia <zabarelo@gmail.com> wrote:

Ndugu zangu naomba namimi nichangie kidogo ingawa huwa na enjoy zaidi kusoma michango.
Hivi tutakuwa mafundi wa kukosoa hadi lini? Bahati mbaya mimi ninaishi kwenye mazingira ya kikazi ambayo ni challenging sana; na nilishajifunza kuacha kuongelea "inge..." ama " Ilitakiwa..." nk. kwani haijanipa mafanikio; huku watu wanataka "delivery" na imewezekana.
Tanzania ni nchi yetu  sote. Hivi kweli jukwaa hili na wasomi wote wanaochangia kila siku tunawezaje kujikita kwenye fikra za kukosoa tu na "ndoto" za kuwa Nchi imefanya hili ama lile badala ya kuja na walau "solution" japo ya nadharia! Tunachangia nini?
Tazama; maendeleo hayaletwi na watu walio madarakani tu; wao wanaweza kuwa watoa sera na wasimamizi lakini sisi tuliobaki mwisho wa siku tunawajibika kwa matendo yetu kwa familia zetu na Taifa kiujumla.
Isije ikawa tunakazania mambo hapa ki unafiki ili labda na sisi baba yetu mdogo awe pale juu ili tunufaike!?
Kama tuna uchungu wa kweli na nchi yetu hebu tujiulize tunaifanyia nini japo familia yetu tu.
Hivi ni nani hapa ambaye mtoto wake ama wa ndugu yake ama hata jirani tu yumo katika wale wasiojua kusoma ambao wamepitia shule hizo zinazobezwa? Najua tupo lakini hatutathubutu kukubali kwa aibu. Tulifanya nini hadi huyu mtoto anavuka kote huko? Hana wazazi; ndugu ama jamaa kweli? Ama wao ni "namba" tu kwa ajili ya hoja zetu? Lazima tumuongelee huyu mzazi kwa kuwa ndio Mtanzania mwenyewe.
Je wangapi basi wamefika hadi CHUO KIKUU kupitia shule hizohizo? Wasomi; wapi statistics ili walau tu justify hoja badala ya kukandia tu?
Mi nadhani watu hawapendi kuthubutu; tunapenda kuona mwingine afanye kwa niaba yetu tena wala hatujui atafanyaje! "Frustrations" zetu kwa ku "fail" ama kuto thubutu kunafanya tujaribu kuhamishia mzigo huo kwa wengine.
Ni mtazamo m baya kwa maoni yangu.
Upande mwingine wa shilingi nadhani pia tunakosea sana kutazama kwa jicho hasi kila kitu; na ndo maana hatuoni wapi kuna "gap" na nini kifanyike ili kurekebisha ama kuboresha; tunabakia kuombea tu mabadiliko bila hata kujua hao watakaoingia wataendeshaje nchi na mwananchi wa kawaida atanufaikaje. Sisi tunajua nchi inavyioendeshwa hivyo tuache siasa za kutafuta kura. 
Hebu jiulize; na hili huitaji kujibu hapa kaa nalo lakini lina ukweli; jiulize hivi ni kweli wewe hapo ulipo ulifika kwa njia ya haki? Jiulize tu.
Inawezekana ukaona hili ni jambo la kijinga lakini kwenye jukwaa hapa tunajijuaje? Hili si jukwaa la malaika; somewhere; someplace mtu atakuwa amefanya "short cut" fulani kuelekea hapo alipo.
Tuna watu "fake" wengi sana kwenye taasisi na hata taaluma.
Walifikaje? Mitihani mingapi iliwahi kufutwa kwenye level mbalimbali? maana yake nini? waliopita bila kugundukika wapo wapi?
Wale watoto ambao kila mtu anapiga kelele kana kwamba ni kosa la kuanzisha shule za kata; ni "indicator" tu tena nashukuru ni kwenye level ya chini huku. Kama hufikirii na huoni jinsi Watanzania wanavyoishi kiujanja ujanja utashabikia sana na kuona kuwa hilo ni jambo jipya. Mabadiliko bado yanawezekana lakini yanatakiwa kuanzia huku huku tulipo.
Ndo maana mi nasema sisi kama wadau; tunachangiaje kutafuta suluhu ya matatizo yetu kwenye level yetu?
Inafurahisha kuona watu wanadhani CCM ndo inafanya mtu akose ajira ama mtu alipwe mshahara mdogo.
Tutakaa tukiombea mabadiliko ya maisha kila baada ya miaka 5 na siku zinaenda.
Fikiria; chukua Hatua leo.

2012/12/20 Baika Kahuta <baikak@yahoo.com>
Lukosi;
umesomeka vizuri kwa jinsi usivyojua kuchunguza mambo. kumbuka uzuri wa kitabu sio cover, soma ndani ujue yaliyomo. Wewe ulipokurupuka kutoka UK ukatazama majengo ya mijini na shule za mijini ukajua mambo shwari kwa watanzania wote. Ungeenda hata pembezoni mwa nchi yako kama mikoa ya Kigoma, Mtwara, Kagera n.k, na huko sio kuishia mijini, nenda vijijini ukajionee watanzania wanavyoishi maisha ya dhiki wakati viongozi wa CCM wakificha fedha nyingi kwenye mabenki ya nje.
Kwa kuwa umeishajibiwa na wengi walionitanguli - nakupa pole kwa ufinyu wa mawazo ulio nao!

Mt. B;
Bukoba Municipal,
Tanzania - East Africa.

--- On Tue, 12/18/12, Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> wrote:

From: Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com>
Subject: RE: [wanabidii] Chris Lukosi : Nimeamua Kurudi CCM
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, December 18, 2012, 10:25 PM

Tataizo la watu wa aina ya Chris Lukosi ni kuwa wanajiunga na vyama vya siasa kwa kukasirishwa na mtu fulani au kuelezwa juu ya mabaya ya mahali fulani na mtu... Hawajiungi na vyama vya siasa kwa kusukumwa na  kuvutiwa na  itikadi au mwelekeo  wa  sera za chama husika. CCM ni chama kilichokuwa kinafuata itikadi ya ujamaa kikaitelekeza na kuparamia itikadi ya ubepari ambayo imezalisha barabara nzuri nyingi za lami na majengo mengi ya kifahari na maisha ya raha kwa wachache. Poa. Lakini itikadi hii ya ubepari uchwara ya makuadi wa  soko  uria (soko holela kama alivyolibainisha marehemu Prof Seithy Chachage) imezalisha shule  nyingi za sekondari kila kata zisizo na walimu wala mahabara na maktaba, na zahanati nyingi kila tarafa zisizo na dawa wala wahudumu wenye motisha ya kutibu mtu...Kuna chama kingine cha mwelekeo wa itikadi ya kibepari pia kinaitwa Chadema lakini walau hiki kilitangaza  na kujinadi tangu mwanzo kuwa ni chama cha kibepari...viongozi wake ni mchanganyiko wa wafanya biashara  wakubwa kiasi kama wale walijazana CCM- Mambo Leo ya makuadi wa soko huria ...hawa ni kama  Mh. Edwin Mtei na Mh Freeman Mbowe... Lakini Chadema inao pia viongozi wasio na mali  za kuajiri watu na kutengeza pesa nyingi  bali wanaishi zaidi kutegemea  vipato vitonavyo na taaluma zao na mishahara ya kazi zao ndani ya jamii au kwenye vyama vyao vya siasa kama Dr Slaa, Prof Safari,  Prof Baregu, Mh Marando, na Dr Kitila Mkumbo....Watanzania  waliingia mfumo wa vyama vingi mwaka 1992  na wangetamani kukipa chama hiki cha Chadema  nafasi nacho   kitoe mchango wake katika kuongoza  nchi wakipime  utendaji  wake kwa kukilinganisha na CCM ambacho kimetawala  sasa  kwa nusu karne na wanaona hiyo  inatosha kingatuke kama  alivyongatuka Mwalimu Nyerere na Watanzania wakapima kwa vitendo utendaji wa Rais Mwnyi na wengine wote waliomfuata... Haya sasa niambie  mtu wa aina  ya Chris Lukosi   kusema anarudi CCM maana yake ni nini? Mantiki yake ni nini kama si vichekesho? Ama kweli, kama anavyosema  Chris Lukosi mwenyewe katika kuitimisha mada yake: "kila kwenye msafara wa mamba na kenge wamo, lakini naona kwenye msafara wa Chadema
idadi ya kenge inazidi mamba." Ahahaahaha... Waliojiunga na Chadema wa aina ya  Chris Lukosi ama kweli ni  wale wanaozidisha kenge kwenye msafara wa mamba !!! Sasa hawa wakitangaza kurudi CCM si ni nafuu kwa Chadema?????!!! Ahahaha!!!! Heri mimi CCM- Mfu sina haja ya kutangatanga bial  sababu za kiitikadi!!!
Mwl. Lwaitama

Date: Tue, 18 Dec 2012 21:30:06 -0800
From: bertmutta@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] Chris Lukosi : Nimeamua Kurudi CCM
To: wanabidii@googlegroups.com

HUYU HERI, AIDHA UELEWA WAKE NI FINYU, AU ANAFAIDI MATUNDA YA UFISADI WA CCM, AU ANAELEWA LAKINI NI MNAFIKI, AU KAHONGWA NA CCM. HIVI UKIWA NA MTOTO AMEFIKIA FORM II NDIPO ANAANZA KUFAHAMU KUSOMA NA KUADIKA NAWE UNATAMBA KWAMBA UMEFANYA KAZI NZURI YA KUSOMESHA UTAKUWA NA AKILI? MIAKA 51 YA UHURU HATKUPASWA KUWA HIVI.

HUYU ANAKAA NJE HAJUI KUWA WALIMU WANA MADAI LUKUKI, MADAKTARI USISEME, WAGONJWA WA UKIMWI WANAPATA ARV FAKE KUTOKA VIWANDA VYA MAFISADI, WAWEKEZAJI WA NJE NDIO WANAOHESHIMIWA, POLISI WANAUA WATU WANAVYOJISIKIA, MALIASILI INAPORWA NA WACHACHE, UMEME WA DOZI, ...........- NITAKUCHOSHA

HUYU ANAYEKAA LONDON NA ANASEMA TANZANIA KUNA BARABARA UMBAZO HUJAWAHI KUZIONA, JE KWA UZURI WAKE AU UBOVU? MIMI NI MWENYEJI LONDON UNAISHI WAPI?

SHULE ALIZOZIONA ALIONA MAJENGO SIO WALIMU NA VIFAA VYA KUFUNDISHIA

MIJI ULIOIONA NI MAJENGO MAZURI YA MAFISADI WACHACHE

--- On Tue, 12/18/12, MaryGlady Heri <mglady2@gmail.com> wrote:

From: MaryGlady Heri <mglady2@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Chris Lukosi : Nimeamua Kurudi CCM
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, December 18, 2012, 9:03 PM

Mbona imepitia kwa Yona au yeye si mwanachama wa mabadiliko?

2012/12/18 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Leo hii nimeamua rasmi kurudi CCM, chama ambacho nimekifahamu kwa
miaka 35
sasa.

Nilijiunga na Chadema kwa matumaini niliyokuwa nayo kuwa ni chama
kitakachomkomboa Mtanzania kutoka kwenye umasikini na kumfikisha
kwenye
level sawa na watu wa mataifa mengine kama Botswana , Namibia au hata
baadhi ya nchi za Ulaya.

Niliamua haya baada ya kufuatilia yanayoandikwa kwenye vyombo vya
habari
kwa sababu mie binafsi kwa sasa naishi UK hivyo basi mambo mengi
yatokeayo
nyumbani huwa nayapata kwa kusoma magazeti na blogs mbali mbali.

Nilifanikiwa kukutana na Mheshimiwa Lema hapa London ambapo tukapanga
mikakati ya kukijenga chama hapa UK na nikapewa jukumu la kufungua
matawi
nchi nzima na kuhamasisha Watanzania, kazi ambayo niliifanya kwa moyo
mmoja. Pia nilichaguliwa kuwa mwenyekiti wa chadema UK.

Nimefanikiwa kuhamasisha watu wengi na baada ya miezi michache
niliamua
kwenda nyumbani kuona hali ilivyo. Niliyoyakuta ilikuwa tofauti na
niliyokuwa nikiyasikia na kusoma.

NIMEKUTA BARABARA NZURI SIJAWAHI KUONA TOKA NIZALIWE NA ZINAENDELA
KUJENGWA!

SHULE ZA SEKONDARI KILA KATA NA VYUO VIKUU VYA KUJICHAGULIA.
MAISHA YA WATANZANIA YAMEBADILIKA SANA - MIDDLE CLASS NI MAISHA YA
KAWAIDA
TU. VIJANA WENGI WAMEENDELEA TOFAUTI NA ZAMANI MPAKA UWE MCHAWI KIDOGO
NDIO
UWE TAJIRI. MIJI INAJENGEKA KWA KASI YA AJABU. UKIHARIBU KAZINI
UTAWAJIBIKA
.
Na mengine mengi tu niliyaona mpaka nikaanza kujiuliza , hivi najiita
mpinzani, NINAPINGA NINI?

Kama ni maendeleo nayaona tena maendelo original Nikakumbuka msemo
mmoja...
"KWA NINI UHANGAIKE NA FOTOKOPI WAKATI ORIGINAL IPOO?"
Kwangu mimi CCM ni original na Chadema ni photocopy, tena copy
iliyotolewa
wakati mashine imekwisha wino . Mabadiliko ya kweli yatatokea ndani ya
CCM
na si kwingineko!

Kuna mengi mazito yamenichefua Chadema lakini sitayasema leo. Juzi
mwenyekiti wangu wa Taifa Mheshimiwa Mbowe alipita hapa UK, lakini,
mpaka
ameondoka hakutaka kuwasiliana na kiongozi yoyote wa Chadema hapa UK
kitendo ambacho kiliniuma sana, kwani, niliona kama tumedharauliwa;
BABA HUWEZI KWENDA SEHEMU WALIPO WANAO UKASHINDWA HATA KUWAPIGIA SIMU
KUWAJULIA HALI.

Ni matumaini yangu kuwa uamuzi wangu utaeleweka. Kama tujuavyo, kila
kwenye
msafara wa mamba na kenge wamo, lakini naona kwenye msafara wa
Chadema
idadi ya kenge inazidi mamba.

Chris Lukosi

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment