HUYU HERI, AIDHA UELEWA WAKE NI FINYU, AU ANAFAIDI MATUNDA YA UFISADI WA CCM, AU ANAELEWA LAKINI NI MNAFIKI, AU KAHONGWA NA CCM. HIVI UKIWA NA MTOTO AMEFIKIA FORM II NDIPO ANAANZA KUFAHAMU KUSOMA NA KUADIKA NAWE UNATAMBA KWAMBA UMEFANYA KAZI NZURI YA KUSOMESHA UTAKUWA NA AKILI? MIAKA 51 YA UHURU HATKUPASWA KUWA HIVI.
HUYU ANAKAA NJE HAJUI KUWA WALIMU WANA MADAI LUKUKI, MADAKTARI USISEME, WAGONJWA WA UKIMWI WANAPATA ARV FAKE KUTOKA VIWANDA VYA MAFISADI, WAWEKEZAJI WA NJE NDIO WANAOHESHIMIWA, POLISI WANAUA WATU WANAVYOJISIKIA, MALIASILI INAPORWA NA WACHACHE, UMEME WA DOZI, ...........- NITAKUCHOSHA
HUYU ANAYEKAA LONDON NA ANASEMA TANZANIA KUNA BARABARA UMBAZO HUJAWAHI KUZIONA, JE KWA UZURI WAKE AU UBOVU? MIMI NI MWENYEJI LONDON UNAISHI WAPI?
SHULE ALIZOZIONA ALIONA MAJENGO SIO WALIMU NA VIFAA VYA KUFUNDISHIA
MIJI ULIOIONA NI MAJENGO MAZURI YA MAFISADI WACHACHE
--- On Tue, 12/18/12, MaryGlady Heri <mglady2@gmail.com> wrote:
From: MaryGlady Heri <mglady2@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] Chris Lukosi : Nimeamua Kurudi CCM To: wanabidii@googlegroups.com Date: Tuesday, December 18, 2012, 9:03 PM
Mbona imepitia kwa Yona au yeye si mwanachama wa mabadiliko? 2012/12/18 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> Leo hii nimeamua rasmi kurudi CCM, chama ambacho nimekifahamu kwa miaka 35 sasa. Nilijiunga na Chadema kwa matumaini niliyokuwa nayo kuwa ni chama kitakachomkomboa Mtanzania kutoka kwenye umasikini na kumfikisha kwenye level sawa na watu wa mataifa mengine kama Botswana , Namibia au hata baadhi ya nchi za Ulaya. Niliamua haya baada ya kufuatilia yanayoandikwa kwenye vyombo vya habari kwa sababu mie binafsi kwa sasa naishi UK hivyo basi mambo mengi yatokeayo nyumbani huwa nayapata kwa kusoma magazeti na blogs mbali mbali. Nilifanikiwa kukutana na Mheshimiwa Lema hapa London ambapo tukapanga mikakati ya kukijenga chama hapa UK na nikapewa jukumu la kufungua matawi nchi nzima na kuhamasisha Watanzania, kazi ambayo niliifanya kwa moyo mmoja. Pia nilichaguliwa kuwa mwenyekiti wa chadema UK. Nimefanikiwa kuhamasisha watu wengi na baada ya miezi michache niliamua kwenda nyumbani kuona hali ilivyo. Niliyoyakuta ilikuwa tofauti na niliyokuwa nikiyasikia na kusoma. NIMEKUTA BARABARA NZURI SIJAWAHI KUONA TOKA NIZALIWE NA ZINAENDELA KUJENGWA! SHULE ZA SEKONDARI KILA KATA NA VYUO VIKUU VYA KUJICHAGULIA. MAISHA YA WATANZANIA YAMEBADILIKA SANA - MIDDLE CLASS NI MAISHA YA KAWAIDA TU. VIJANA WENGI WAMEENDELEA TOFAUTI NA ZAMANI MPAKA UWE MCHAWI KIDOGO NDIO UWE TAJIRI. MIJI INAJENGEKA KWA KASI YA AJABU. UKIHARIBU KAZINI UTAWAJIBIKA . Na mengine mengi tu niliyaona mpaka nikaanza kujiuliza , hivi najiita mpinzani, NINAPINGA NINI? Kama ni maendeleo nayaona tena maendelo original Nikakumbuka msemo mmoja... "KWA NINI UHANGAIKE NA FOTOKOPI WAKATI ORIGINAL IPOO?" Kwangu mimi CCM ni original na Chadema ni photocopy, tena copy iliyotolewa wakati mashine imekwisha wino . Mabadiliko ya kweli yatatokea ndani ya CCM na si kwingineko! Kuna mengi mazito yamenichefua Chadema lakini sitayasema leo. Juzi mwenyekiti wangu wa Taifa Mheshimiwa Mbowe alipita hapa UK, lakini, mpaka ameondoka hakutaka kuwasiliana na kiongozi yoyote wa Chadema hapa UK kitendo ambacho kiliniuma sana, kwani, niliona kama tumedharauliwa; BABA HUWEZI KWENDA SEHEMU WALIPO WANAO UKASHINDWA HATA KUWAPIGIA SIMU KUWAJULIA HALI. Ni matumaini yangu kuwa uamuzi wangu utaeleweka. Kama tujuavyo, kila kwenye msafara wa mamba na kenge wamo, lakini naona kwenye msafara wa Chadema idadi ya kenge inazidi mamba. Chris Lukosi -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com DELL LATITUDE D 620 & D30 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH . TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY CALL : 0786 806028 Free Delivery in Dar es salaam Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com DELL LATITUDE D 620 & D30 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH . TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY CALL : 0786 806028 Free Delivery in Dar es salaam Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment