Thursday 20 December 2012

RE: [wanabidii] Chris Lukosi : Nimeamua Kurudi CCM

pole sana ndugu yangu kwakuwa uko nje ya Tanzania unahaki ya kusema uliyoyaona nisawa na kipofu siku akiweza kuona kila kitu atasema nikizuri kwakuwa hajuwi kizuri zaidi ya alivyoona sasa huyu wa UK Akusema ukweli kilichomuudhi ni mwenyekiti wa CHADEMA kufika UK bila kumsalimu hii nihatari ------------------------------ On Wed, Dec 19, 2012 11:33 PM PST Baika Kahuta wrote: >Lukosi; >umesomeka vizuri kwa jinsi usivyojua kuchunguza mambo. kumbuka uzuri wa kitabu sio cover, soma ndani ujue yaliyomo. Wewe ulipokurupuka kutoka UK ukatazama majengo ya mijini na shule za mijini ukajua mambo shwari kwa watanzania wote. Ungeenda hata pembezoni mwa nchi yako kama mikoa ya Kigoma, Mtwara, Kagera n.k, na huko sio kuishia mijini, nenda vijijini ukajionee watanzania wanavyoishi maisha ya dhiki wakati viongozi wa CCM wakificha fedha nyingi kwenye mabenki ya nje. >Kwa kuwa umeishajibiwa na wengi walionitanguli - nakupa pole kwa ufinyu wa mawazo ulio nao! > >Mt.
B; > >Bukoba Municipal, > >Tanzania - East Africa. > >--- On Tue, 12/18/12, Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> wrote: > >From: Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> >Subject: RE: [wanabidii] Chris Lukosi : Nimeamua Kurudi CCM >To: wanabidii@googlegroups.com >Date: Tuesday, December 18, 2012, 10:25 PM > > > > >Tataizo la watu wa aina ya Chris Lukosi ni kuwa wanajiunga na vyama vya siasa kwa kukasirishwa na mtu fulani au kuelezwa juu ya mabaya ya mahali fulani na mtu... Hawajiungi na vyama vya siasa kwa kusukumwa na  kuvutiwa na  itikadi au mwelekeo  wa  sera za chama husika. CCM ni chama kilichokuwa kinafuata itikadi ya ujamaa kikaitelekeza na kuparamia itikadi ya ubepari ambayo imezalisha barabara nzuri nyingi za lami na majengo mengi ya kifahari na maisha ya raha kwa wachache. Poa. Lakini itikadi hii ya ubepari uchwara ya makuadi wa  soko  uria (soko holela kama alivyolibainisha marehemu Prof Seithy Chachage)
imezalisha shule  nyingi za sekondari kila kata zisizo na walimu wala mahabara na maktaba, na zahanati nyingi kila tarafa zisizo na dawa wala wahudumu wenye motisha ya kutibu mtu...Kuna chama kingine cha mwelekeo wa itikadi ya kibepari pia kinaitwa Chadema lakini walau hiki kilitangaza  na kujinadi tangu mwanzo kuwa ni chama cha > kibepari...viongozi wake ni mchanganyiko wa wafanya biashara  wakubwa kiasi kama wale walijazana CCM- Mambo Leo ya makuadi wa soko huria ...hawa ni kama  Mh. Edwin Mtei na Mh Freeman Mbowe... Lakini Chadema inao pia viongozi wasio na mali  za kuajiri watu na kutengeza pesa nyingi  bali wanaishi zaidi kutegemea  vipato vitonavyo na taaluma zao na mishahara ya kazi zao ndani ya jamii au kwenye vyama vyao vya siasa kama Dr Slaa, Prof Safari,  Prof Baregu, Mh Marando, na Dr Kitila Mkumbo....Watanzania  waliingia mfumo wa vyama vingi mwaka 1992  na wangetamani kukipa chama hiki cha Chadema  nafasi nacho   kitoe
mchango wake katika kuongoza  nchi wakipime  utendaji  wake kwa kukilinganisha na CCM ambacho kimetawala  sasa  kwa nusu karne na wanaona hiyo  inatosha kingatuke kama  alivyongatuka Mwalimu Nyerere na Watanzania wakapima kwa vitendo utendaji wa Rais Mwnyi na wengine wote waliomfuata... Haya sasa niambie  mtu wa aina  ya Chris > Lukosi   kusema anarudi CCM maana yake ni nini? Mantiki yake ni nini kama si vichekesho? Ama kweli, kama anavyosema  Chris Lukosi mwenyewe katika kuitimisha mada yake: "kila kwenye msafara wa mamba na kenge wamo, lakini naona kwenye msafara wa Chadema >idadi ya kenge inazidi mamba." Ahahaahaha... Waliojiunga na Chadema wa aina ya  Chris Lukosi ama kweli ni  wale wanaozidisha kenge kwenye msafara wa mamba !!! Sasa hawa wakitangaza kurudi CCM si ni nafuu kwa Chadema?????!!! Ahahaha!!!! Heri mimi CCM- Mfu sina haja ya kutangatanga bial  sababu za kiitikadi!!! > >Mwl. Lwaitama > >  > > > > >Date: Tue, 18 Dec
2012 21:30:06 -0800 >From: bertmutta@yahoo.com >Subject: Re: [wanabidii] Chris Lukosi : Nimeamua Kurudi CCM >To: wanabidii@googlegroups.com > > > > > >HUYU HERI, AIDHA UELEWA WAKE NI FINYU, AU ANAFAIDI MATUNDA YA UFISADI WA CCM, AU ANAELEWA LAKINI NI MNAFIKI, AU KAHONGWA NA CCM. HIVI UKIWA NA MTOTO AMEFIKIA FORM II NDIPO ANAANZA KUFAHAMU KUSOMA NA KUADIKA NAWE UNATAMBA KWAMBA UMEFANYA KAZI NZURI YA KUSOMESHA UTAKUWA NA AKILI? MIAKA 51 YA UHURU HATKUPASWA KUWA HIVI. > >HUYU ANAKAA NJE HAJUI KUWA WALIMU WANA MADAI LUKUKI, MADAKTARI USISEME, WAGONJWA WA UKIMWI WANAPATA ARV FAKE KUTOKA VIWANDA VYA MAFISADI, WAWEKEZAJI WA NJE NDIO WANAOHESHIMIWA, POLISI WANAUA WATU WANAVYOJISIKIA, MALIASILI INAPORWA NA WACHACHE, UMEME WA DOZI, ...........- NITAKUCHOSHA > >HUYU ANAYEKAA LONDON NA ANASEMA TANZANIA KUNA BARABARA UMBAZO HUJAWAHI KUZIONA, JE KWA UZURI WAKE AU UBOVU? MIMI NI MWENYEJI LONDON UNAISHI WAPI? > >SHULE ALIZOZIONA ALIONA MAJENGO SIO WALIMU NA VIFAA VYA
KUFUNDISHIA > >MIJI ULIOIONA NI MAJENGO MAZURI YA MAFISADI WACHACHE > > >--- On Tue, 12/18/12, MaryGlady Heri <mglady2@gmail.com> wrote: > > >From: MaryGlady Heri <mglady2@gmail.com> >Subject: Re: [wanabidii] Chris Lukosi : Nimeamua Kurudi CCM >To: wanabidii@googlegroups.com >Date: Tuesday, December 18, 2012, 9:03 PM > > >Mbona imepitia kwa Yona au yeye si mwanachama wa mabadiliko? > > >2012/12/18 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> > >Leo hii nimeamua rasmi kurudi CCM, chama ambacho nimekifahamu kwa >miaka 35 >sasa. > >Nilijiunga na Chadema kwa matumaini niliyokuwa nayo kuwa ni chama >kitakachomkomboa Mtanzania kutoka kwenye umasikini na kumfikisha >kwenye >level sawa na watu wa mataifa mengine kama Botswana , Namibia au hata >baadhi ya nchi za Ulaya. > >Niliamua haya baada ya kufuatilia yanayoandikwa kwenye vyombo vya >habari >kwa sababu mie binafsi kwa sasa naishi UK hivyo basi mambo mengi >yatokeayo >nyumbani huwa nayapata kwa kusoma magazeti na blogs
mbali mbali. > >Nilifanikiwa kukutana na Mheshimiwa Lema hapa London ambapo tukapanga >mikakati ya kukijenga chama hapa UK na nikapewa jukumu la kufungua >matawi >nchi nzima na kuhamasisha Watanzania, kazi ambayo niliifanya kwa moyo >mmoja. Pia nilichaguliwa kuwa mwenyekiti wa chadema UK. > >Nimefanikiwa kuhamasisha watu wengi na baada ya miezi michache >niliamua >kwenda nyumbani kuona hali ilivyo. Niliyoyakuta ilikuwa tofauti na >niliyokuwa nikiyasikia na kusoma. > >NIMEKUTA BARABARA NZURI SIJAWAHI KUONA TOKA NIZALIWE NA ZINAENDELA >KUJENGWA! > >SHULE ZA SEKONDARI KILA KATA NA VYUO VIKUU VYA KUJICHAGULIA. >MAISHA YA WATANZANIA YAMEBADILIKA SANA - MIDDLE CLASS NI MAISHA YA >KAWAIDA >TU. VIJANA WENGI WAMEENDELEA TOFAUTI NA ZAMANI MPAKA UWE MCHAWI KIDOGO >NDIO >UWE TAJIRI. MIJI INAJENGEKA KWA KASI YA AJABU. UKIHARIBU KAZINI >UTAWAJIBIKA >. >Na mengine mengi tu niliyaona mpaka nikaanza kujiuliza , hivi najiita >mpinzani, NINAPINGA NINI? > >Kama ni
maendeleo nayaona tena maendelo original Nikakumbuka msemo >mmoja... >"KWA NINI UHANGAIKE NA FOTOKOPI WAKATI ORIGINAL IPOO?" >Kwangu mimi CCM ni original na Chadema ni photocopy, tena copy >iliyotolewa >wakati mashine imekwisha wino . Mabadiliko ya kweli yatatokea ndani ya >CCM >na si kwingineko! > >Kuna mengi mazito yamenichefua Chadema lakini sitayasema leo. Juzi >mwenyekiti wangu wa Taifa Mheshimiwa Mbowe alipita hapa UK, lakini, >mpaka >ameondoka hakutaka kuwasiliana na kiongozi yoyote wa Chadema hapa UK >kitendo ambacho kiliniuma sana, kwani, niliona kama tumedharauliwa; >BABA HUWEZI KWENDA SEHEMU WALIPO WANAO UKASHINDWA HATA KUWAPIGIA SIMU >KUWAJULIA HALI. > >Ni matumaini yangu kuwa uamuzi wangu utaeleweka. Kama tujuavyo, kila >kwenye >msafara wa mamba na kenge wamo, lakini naona kwenye msafara wa >Chadema >idadi ya kenge inazidi mamba. > >Chris Lukosi > >-- >Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com >nafasi mpya za Kazi
www.kazibongo.blogspot.com >Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com > >DELL LATITUDE D 620 & D30 > >80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM >DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH . > >TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY > >CALL : 0786 806028 >Free Delivery in Dar es salaam > >Kujiondoa Tuma Email kwenda >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma > >Disclaimer: >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. > > > > > >-- >Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com >nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com >Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com >  >DELL LATITUDE D 620 & D30 >  >80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH . >  >TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY >  >CALL : 0786 806028 >Free Delivery in Dar es salaam >  >Kujiondoa Tuma Email kwenda >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma >  >Disclaimer: >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. >  >  > > >-- >Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com >nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com >Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com >  >DELL LATITUDE D 620 & D30 >  >80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM >DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH . >  >TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY >  >CALL : 0786 806028 >Free Delivery in Dar
es salaam >  >Kujiondoa Tuma Email kwenda >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma >  >Disclaimer: >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. >  >  > > > >-- > >Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com > >nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com > >Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com > >  > >DELL LATITUDE D 620 & D30 > >  > >80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM > >DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH . > >  > >TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY > >  > >CALL : 0786 806028 > >Free Delivery in Dar es salaam > >  > >Kujiondoa Tuma Email kwenda > >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma > >  > >Disclaimer: > >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. > >  > >  > >-- >Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com >nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com >Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com > >DELL LATITUDE D 620 & D30 > >80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM >DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH . > >TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY > >CALL : 0786 806028 >Free Delivery in Dar es salaam > >Kujiondoa Tuma Email kwenda >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma > >Disclaimer: >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. > >

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment