Saturday 8 December 2012

Re: Re: [wanabidii] ZIARA YA SIKU NANE KUHAMASISHA SHUGHULI ZA KILIMO MKOANI RUKWA

Hii chanjo haijaingia akilini mwangu. Natafuta sababu ya kuikubali naikosa.

----------
Sent from my Nokia Phone

------Original message------
From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, December 8, 2012 6:03:57 PM GMT+0000
Subject: Re: [wanabidii] ZIARA YA SIKU NANE KUHAMASISHA SHUGHULI ZA KILIMO MKOANI RUKWA

Felix,

Ndiyo kazi yake bana! Akikaa ofisini, maneno, akitembelea wananchi, nayo maneno. Basi afanye analopenda mwenyewe.
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

-----Original Message-----
From: Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 8 Dec 2012 21:01:20
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] ZIARA YA SIKU NANE KUHAMASISHA SHUGHULI ZA KILIMO
MKOANI RUKWA

Wananchi wa Mkoa wa Rukwa wanafahamu wajibu wao katika kilimo, hawahitaji
kuhamasishwa, wanachohitaji ni kujengewa mazingira mazuri ili kilimo chao
kiwe cha tija na kuwanufaisha.

Felix

2012/12/8 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>

> Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akihutubia wananchi wa
> kata ya Matanga leo katika ziara yake ya siku 8 kwa ajili ya
> kuhamasisha shughuli za kilimo Mkoani Rukwa. Ziara hiyo itahusisha
> Wilaya zote tatu za Mkoa wa Rukwa ambazo ni Sumbawanga, Kalambo na
> Nkasi pamoja na Halmashauri zake. Ziara yake inabeba ujumbe huu
> ufuatao:
> 1. Mkuu wa mkoa wa Rukwa anawatakia kila la kheri wananchi wote katika
> kusherekea sikukuu ya Noeli na Mwaka Mpya. Anawaomba kudumisha amani,
> Upendo na Mshikamano kwenye maeneo yetu na tupashane habari. Toa
> taarifa Polisi kwa jambo lolote lisilo la kawaida. Tuwatambue wageni
> wote wanaofika katika maeneo yetu wengine si watu wema.
>
> 2. Mkuu wa mkoa anawataka viongozi wote katika ngazi zote kuwajibika
> na kuwa waadilifu katika kutimiza wajibu wao.
>
> 3. Kila familia ihakikishe kuwa inatumia fursa hii ya msimu wa mvua
> katika kujiondoa na balaa la njaa na pia umaskini wa kipato. Viongozi
> wa kata na vijiji wafuatilie ili kujua kila kaya imelima kiasi gani
> katika msimu huu. Kila kijiji kiwe na Daftari la wakulima. Wakulima
> watashindanishwa.
>
> 4. Kila kijiji kitenge maeneo maalum kwa ajili ya kuendeleza shughuli
> maalum kama Ufugaji, kilimo na kuchague nguzo yake kuu ya uchumi.
> (Mpango wa SAGCOT).
>
> 5. Watoto wote watakaofaulumwaka huu wa 2012 lazima wapelekwe shule.
> Watoto wa kike wanastahili kulindwa ili wasipate ujauzito. Mzazi awe
> mlinzi namba moja.
>
> 6. Akina mama wapeleke watoto wao wa chini ya miaka mitano ili kupata
> chanjo ya minyoo na Vitamin A.
>
> 7. Kuanzia mwezi wa Januari 2013 watoto wa miezi 9 watapatiwa chanjo
> ya kuzuia kuharisha na Kichomi. Hivyo wazazi wote tuwapeleke watoto
> kupata chanjo hiyo. Malengo yetu ni kuwapa chanjo watoto wote.
>
> 8. Lishe bora ni muhimu kwa familia. Kula samaki mboga mayai, wanga na
> nyama kadiri inavyowezekana.
>
> 9.Nawashukuru kwa jinsi mnavyoniunga mkono, nami nawapenda sana.
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment