Wednesday 12 December 2012

Re: Re: [wanabidii] Braking and Shocking News: Wanasayansi wawili waleta kizaazaa Mjini Bukoba Usiku huu

Sayansi ni nini na hii ni nini? Kuchanganya uranium kutoa umeme au bomu ina ubaya na uzuri. Hawa wakamatwe watweleze wanafanyaje? Baadaye tuone kama twaweza toa jema. Usiri wao ndilo tatizo. Joe & Harry window-There is something they know that we dont. Updates: Polisi wanaizunguka nyumba ya mama yule. Raia wanaamriwa watoke. Hawataki. Mabom kama kawa. Ni kama polisi wametonywa kuna 'ingine. Wanataka raia watoke wakapakue. Kazi ya polisi kazi. Waongezwe m'rupu

----------
Sent from my Nokia Phone

------Original message------
From: Sylvanus Kessy <frkessy@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, December 11, 2012 10:30:45 PM GMT-0800
Subject: Re: [wanabidii] Braking and Shocking News: Wanasayansi wawili waleta kizaazaa Mjini Bukoba Usiku huu

Kama sayansi hii ipo kwa nini wasiitumie kwa shughuli za kuleta maendeleo? Haya ni mambo ya Kiibilisi ndiyo maana hayaleti tija bali mfarakano katika jamii.

________________________________
From: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, December 12, 2012 1:16 AM
Subject: Re: [wanabidii] Braking and Shocking News: Wanasayansi wawili waleta kizaazaa Mjini Bukoba Usiku huu

Kyemba dooka. Elisa utatupa updates.
LL
Sent from Samsung Tab 10.1
On Dec 11, 2012 11:45 PM, "mngonge" <mngonge@gmail.com> wrote:

Mwenyewe niko mitaa hiyo hiyo nimetua leo kwa shughuli za kikazi nimeyasikia mabomu hayo nikaingiwa na woga mkubwa kwa kujiuliza maswali mengi na nikaamua kulala nikisubiri kufuatilia kesho. Ama kweli dunia ina mengi kumbe wapo watanzania wenye sayansi za hatari. Tuombe Mungu huyo teachera asiwe ndo masomo anayowafundisha watoto wetu
>
>
>2012/12/11 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
>
>Hivi sasa 'mjadala' unaendelea kati ya raia wenye furaha na Polisi wa kutuliza ghasia. Raia kwa kutumia mawe na nondo na kila wanachoweza kubeba wanawabembeleza Polisi wamwachie Mwalimu mwanasayansi ili wampe tuzo kwa kazi nzuri. Polisi nao kwa kutumia mabomu ya kuchangamsha macho yakatoa maji wanawasihi wananchi waende nyumbani ili wakachunguze sayansi hii ni ya aina gani.
>>> 
>>>Kisa kiko hivi:
>>>Yapata mda mrefu (huenda mwaka sijadhibitisha) watoto wawili huko Kamachumu, Muleba walikufa katika mazingira ya kutatanisha.
>>>Wazazi wa watoto hao hawakuridhika na kifo hicho. Wakamwendea mwanasayansi mmoja. Alipoiingia kwenye maabala yake akagundua kuwa watoto hao hawakufa bali wanaishi. Akawaelekeza kuwa waje Bukoba mjini huko National Housing kuna Mwalimu mmoja anafundisha shule ya Msingi Kashai. Wakifanikiwa kuingia ndani watawakuta watoto wao.
>>> 
>>>Leo hii wazazi hao wakaja Polisi wakapata msaada wa kuwasindikiza hadi kwa huyo Mwalimu (jina lake silijui na hata ningelijua ningelihifadhi).
>>> 
>>>Ujumbe huo ulipofika kwa mwalimu huyo ukawakuta watoto hao wakiwa wameishageuzwa kuwa mazetete. Lakini pia inasemekana wamekutwa na wengine jumla wanne.
>>>Katika harakati za kumbeba mwalimu huyo na wateja wake hao sita habari zikavuja. Wananchi kwa hisia ambazo kila mmoja anaweza kuzihisi wakaamua kumaliza mambo hapohapo kwa kumtuza huyo mwalimu. Polisi waliosindikiza wazazi wao kwa kuzidiwa na nguvu wakaomba msaada. FFU wakasogea. Ndio mjadala ukaanza kati ya raia hao wenye hamasa kutaka kumtuza mwalimu huyo mwanasayansi ya kuweza kukutwa na watu waliozikwa zamani lakini yeye anao wakiwa hai ila hawana tena akili walizokuwa nazo wakati 'wanakufa', na polisi wanaoona si wajibu wa raia kutuza mwanasayansi huyo.
>>> 
>>>Wananchi kwa kutumia hamasa waliyonayo, wakisaidiwa na mawe marungu nk wanajadiliana na Polisi wanaotumia mabomu ya machozi kuwabembeleza wanachi hao waende wakalale.
>>>Naambiwa mama huyo kishafikishwa kituoni na wateja wake sita. Karibu kila dakika kumi tunasikia bomu moja kumaanisha wananchi bado wana imani kukubaliana na Poilsi kumpata huyo mama mwanaasayansi. Lakini pia limesikika gari la zimamoto likipiga kingora lipishwe kuelekea kwenye makazi ya huyo mwanamama mwalimu. Huenda wananchi wameamua ajengewe nyumba nyingine. Tutawataarifu habari zaidi zikipatikana.
>>> 
>>>Je hakuna haja ya kuwakutanisha wanasayansi hao wawili kila mmoja akatweleza utaalamu wake:
>>>Huyu akatwambia jinsi maabala yake ilivyogundua watoto walivyo kwa mwalimu huko Bukoba. Na Mwalimu atweleza alifanyaje kukaa na watu ambao wengine walishuhudiwa wakizikwa maana walikufa?!
>>> 
>>> 
--
>>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> 
>>DELL LATITUDE D 620 & D30
>> 
>>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>> 
>>TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>> 
>>CALL : 0786 806028
>>Free Delivery in Dar es salaam
>> 
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>> 
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> 
>> 
>>
>--
>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

>DELL LATITUDE D 620 & D30

>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

>TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

>CALL : 0786 806028
>Free Delivery in Dar es salaam

>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

>
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment