Saturday 13 October 2012

[wanabidii] Vijana wakikristo Jumapili 14 Oktoba 2012 kuna kikao baada ya Ibada za Kwanza

Jamani kuna tetesi kuwa kesho Jumapili mara baada ya Ibada ya
Kwanza kuna Kikao cha Vijana wa madhehebu yote ya kikristo
kufanya kikao maalumu huko Mbagala ajenda kubwa ikitajwa kuwa
kuvunjwa makanisa na kuchomwa moto kwa makanisa.

Wenye taarifa zaidi mtujuze.Hicho kikao kinafnyika wapi na kuanzia saa ngapi

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment