Sunday 14 October 2012

[wanabidii] RE: [Mabadiliko] JESCA MTAVAZAVANGU M/KITI CCM IRINGA

Hongera sana Jesca na wana CCM wote waliochaguliwa katika nafasi mbali mbali za kiuongozi.
 
Magesa, P.

 
> Date: Mon, 15 Oct 2012 06:00:26 +0200
> Subject: Re: [Mabadiliko] JESCA MTAVAZAVANGU M/KITI CCM IRINGA
> From: arukoma66@gmail.com
> To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
> CC: wanabidii@googlegroups.com
>
> awamu ya kwanza iikuwaje? funguka kisha tumpongeze kama kawaida yetu
> na hapo tuanze kulambana matusi
>
> 2012/10/14 adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com>:
> > Kwa mara ya Kwanza Mkoa wa Iringa umepata mwenyekiti wa CCM
> > Mwanamke ambapo aliyeshinda kwa kura 335 ni Bi Jesca Mtavazavangu.
> > Tangu kuanzishwa kwa Chama cha TANU na baadae CCM mwenyeviti
> > wote waliopita walikuwa wanaume.
> >
> > Bi Jesca Mtavazavangu ni Mjasiliamali ambaye anashahada ya
> > Uzamili ya Uongozi wa Biashra ya Chuo Kikuu cha Tumaini Iringa.
> >
> > Ushindi huu ulipatikana baada ya kura kupigwa awamu ya pili .
> >
> > --
> > Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> > Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> > Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
> >
> > TEMBELEA Facebook yetu:
> > http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
> >
> > For more options, visit this group at:
> > http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> >
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
> > To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
> > To unsubscribe from this group, send email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> >
> >
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
> To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
> To unsubscribe from this group, send email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>

0 comments:

Post a Comment