Sunday 14 October 2012

[wanabidii] Re: Kuhusu Uhusiano na Wassira; Esther & Lilian Wasira Watoa Ufafanuzi - Mwanzo

On Oct 1, 8:58 am, Magiri paul <kiga...@gmail.com> wrote:
> Tarehe 30/09/2012 mimi Esther Wasira na dada yangu Lilian Wasira tulijiunga
> na CHADEMA na kukabidhiwa kadi na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh. Dr Willibrod
> Slaa. Tulielezea kwa kirefu sababu za sisi kujiunga Chadema na tukasisitiza
> kuwa tumeridhika kuwa CHADEMA ni chama chenye dhamira safi ya kuiongoza
> Tanzania na kwamba ni chama kinacholeta matumaini mapya ya kuijenga
> Tanzania mpya yenye neema.http://wotepamoja.com/archives/7787#.UGmS4b6Q0jI.gmail

Hongeleni sana kwakuwa mmechagua kilicho bora, tena mmechagua fungu
jema kabisa M4C PAMOJA TUNAWEZA

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment