Wednesday 10 October 2012

[wanabidii] Mhe PETER KAFUMU ANAOMBA RADHI AU .........?

Hi All,
Nd. Peter Kafumu ameandika kitabu kuhusu rushwa nchini kinachoitwa "Sauti Inayolia-Tafakuri Binafsi" (a Crying Voice-personal reflections).
Maelezo yake ya mbio mbio yananipa fikra kama huyu Mhe anatubia labda kwa kushinda kule Igunga kwa kupitia mambo ya rushwa na sasa anaomba radhi.
Anyway, kila mtu atafahamu kivyake, lakini mimi ninamuona kama anaomba radhi, hasa pale alipoandika kuwa...."...kwamba kuishi kwa uaminifu katika jamii 
iliyokithiri kwa rushwa ni sawa na tone la damu ya samaki aliyejeruhiwa baharini".

Najua Mhe Kafumu yupo hapa ukumbini. Ningelimuomba atupe briefing ya kitabu chake ambacho kidogo hakifahamiki - yaani haeleweki kama anai-expose 
rushwa au anaomba radhi kwa rushwa iliyotendeka Igunga mpaka akashinda?

0 comments:

Post a Comment