Sunday 21 October 2012

[wanabidii] JWTZ: Sasa tutaingilia maandamano; Prof. Safari: JWTZ imefuata nini mtaani? - Mwanzo

Akizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa JWTZ, Kanali Kapambala Mgawe, alisema hatua ya wanajeshi kujitokeza katika kuzima  vurugu zilizotokea jijini juzi, ililenga katika  kuwaonyesha wananchi kwamba JWTZ ipo kikazi zaidi, na kwamba anayetaka vurugu atashughulikiwa kisheria, "Juzi tulionyesha'talent show force' ili watujue kama tupo kazini, hata kama wametuona tupo kimya, hatuna mzaha katika kulinda na kusimamia ulinzi na usalama wa taifa hili, kwa hiyo tulikuwa kwenye sehemu ya utekelezaji wa majukumu yetu, na kwamba atakayekwenda kinyume tutamshughulikia," alisema Mgawe.


http://wotepamoja.com/archives/9453#.UIRVgLi63xw.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment