Monday 29 October 2012

Re: [wanabidii] WAISLAMU TUWE MAKINI SASA

Mbona munamshambulia Rashid? Tuheshimu uhuru wa mtu kutoa mawazo,
alichokiandika Rashid kwa kiasi fulani kina ukweli. Kwani hamuamini
kwamba matukio mengi yanayofanyika huwa yana mikono ya watu? Upo
ushahidi wa kutosha kwamba kuna baadhi ya viongozi wa waislam
wanaojikinga nyuma ya dini na kuvuna miela ya kutosha kwa kujifanya
wanautangaza na kuutetea uislam. Kwamba wakionyesha mikanda ya vurugu
kwa hao wanaowapa ela ndo mambo yao yananyooka.

Binafsi naamini moja ya mifano aliyotoa Rashid kwamba una kweli ndani
yake. Ndani ya MSAUDI sijui kama bado ipo UDSM, hapo nyuma kulikuwa
kunajadiliwa udhamini wa kuwasomesha waislamu katika viwango vya
degree na wanufaikaji walikuwa ni fundamentalists. Hapana shaka Kwamba
kulikuwa na mengi nyuma ya pazia, na Rashid ametueleza kuna vijana
walitoka Iran na kuanza kuwavuruga lakini waliwastukia. Hapa tujiulize
je ni waislamu wangapi wanaoweza kubaini watu kama hao? Labda swali
la kumuuliza Rashid je hao wanaotaka kuonyesha kwamba uislamu haufai
kwa kufanya vitendo viovu wanatumwa na kundi au dhehebu gani?

Watu wa namna hiyo wapo labda namshauri Rashid ajue watu hao
wanaochochea vurugu hizo si wengine bali ni waislamu hao hao kwa
maslahi Binafsi. Japo sina uhakika na mifano yote aliyotoa kama ina
ukweli. Hapa duniani yapo matukio mengi tu ambayo ni changa la macho.

2012/10/29 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>:
> Rashid,
>
> Sidhani unaelewa unachokieleza hapa na unaowasimulia! Acha kuonyesha ujinga
> wako na pia kujaribu kutuonyesha kuwa wewe una akili wakati ni mtupu!
>
> Wadanganye wajinga wenzio huko uliko na ukielewa wewe ndiye kiongozi wa
> ujinga huo.
> Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
> Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
> ________________________________
> From: rashid martin <rashidtz@hotmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sun, 28 Oct 2012 23:26:36 +0300
> To: wanabidii google<wanabidii@googlegroups.com>
> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: [wanabidii] WAISLAMU TUWE MAKINI SASA
>
> natoa angalizo juu ya vurugu na pia huo ujumbe unaotolewa na kusambazwa
> mitaani kuna uwezekano hautolewi na waislamu au taasisi yoyote ya ki-slamu,
> upo uwezekano wa jambo hili likafanywa na wale wanaouchukia uislamu, ili
> uislamu uonekane kama dini siyofaa, isiyopenda amani na dini ambayo
> haitakiwi popote duniani hata mbinguni...nasema hivi kwa sababu kuna kundi
> la vijana walitokea irani enzi hizo nipo mlimani mwaka wa pili2005, na
> kuleta mitafaruku chungu mzima katika msikiti wa chuo unaojulikana kwa jina
> la MSAUDI, vijana hawa tuliwabaini na tulichokifanya ni kutowasikiliza
> katika mambo yao, then...
> kuna mwaka mmoja hapa tanzania palitokea chama flan cha siasa kilianzisha
> vurugu na kuharibu mali zao wenyewe kw siri ili wapinzani wao waonekane
> wamefanyia vurugu na jamii iwachukie na iwaone kama wapenda vurugu.....,je
> tumesahau kuna siku vyombo vya habari viliripoti uamsho zanziba wameanzisha
> vurugu na kuharibu vitu huku wakiwa wameandamana cha kushangaza picha
> iliyowekwa front page ilikuwa ni ya maandamano yaliyowahi kufanyika zamani
> Morogoro....... kuna tetesi kuwa jengo la WTC na pentagon lilipigwa na
> wamarekani wenyewe ili ku justify kuivamia afganstn na iraq, staili kama
> hiyo huenda ikatumika kuharibu uislamu ambao ulikuwa unakuja juu sana kwa
> hoja zilizo za wazi.....napenda kuchukua fursa hii kuwa kanya na
> kuwatahadharisha waislamu wenzangu kuwa, tutulize akili zetu na tutafakari
> maisha ya tanzania na watanzania wenzetu mustakabali wa nchi yetu ambao
> mambo yanaenda mrama kila secta...nchi inaharibika na sisi tunaoitwa wasomi
> wala hatujiulizi nini cha kufanya... tunaichekea CCM na rushwa yao nje nje,
> vijana wamekata tamaa na maisha....upi mwaisho na mustakabali wa nchi yetu
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment