Wednesday 10 October 2012

Re: [wanabidii] UNAFIKI WA CCM JUU YA DHANA YA DEMOKRASIA.

Kwani wapo wangapi wakereketwa wa kweli ndani ya CCM? Ukifanya
uchunguzi wa kina kama utawapata basi ni wachache sana, walio wengi ni
wachumia tumbo.

Kama mtu ni mchumia tumbo dhana ya demokrasia itakuwa
ikibadilikabadilika alimradi wachumia tumbo wapate nafasi za kuchumia
matumbo yao wenyewe na familia zao.

Wakiwa majukwaani utasikia sisi ndo watetezi wa wanyonge kumbe ndo
wanyongaji wa wanyonge

Hiyo ndo dhana ya demokrasia ndani ya chama chetu nambari wani, piga
ua galagaza kuchumia tumbo ndo lengo makandokando mengine ni magumashi
tu

2012/10/10 <nevilletz@gmail.com>:
> Kaka,
> Demokrasia ndani ya CCM huwa ni kiini macho. Maana ziliwahi kupigwa kura za itifaki, watu wakashinda ujumbe wa NEC kwa kufuata vyeo walivyonavyo.
>
> Kwa maana nyingine, hakuna demokrasia hapo. Huwezi kuwa ya demokrasia ambayo inaegemea kwenye mila na desturi. Taratibu haziko wazi ndo maana hujasikia fomu za nafasi aliyonayo JK ikitangazwa hata basi kumfaulisha kwamba anagombea tena!
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> -----Original Message-----
> From: "Mohamedi Mtoi" <mouddymtoi@gmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wed, 10 Oct 2012 07:57:32
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] UNAFIKI WA CCM JUU YA DHANA YA DEMOKRASIA.
>
> Meena.
> Mchango wako umenifanya nikenue meno! Hivi kuna utamaduni wa kidemokrasia unao ruhusu baadhi ya nafasi kugombewa kwenye chama halafu utamaduni huo ukisha fuatwa una kufa hapohapo na haufai kufuatwa kwenye nafasi nyingine za uongozi?!
> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
> -----Original Message-----
> From: nevilletz@gmail.com
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wed, 10 Oct 2012 07:29:21
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Cc: <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> Subject: Re: [wanabidii] UNAFIKI WA CCM JUU YA DHANA YA DEMOKRASIA.
>
> Mtoi,
> Ukigombea uenyekiti ndani ya CCM watakwambia kuwa mila na desturi, haziruhusu. Sasa kazi ipo, demokrasia na mila na desturi hapo inakuwaje?
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> -----Original Message-----
> From: "Mohamedi Mtoi" <mouddymtoi@gmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wed, 10 Oct 2012 07:15:32
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Cc: <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> Subject: [wanabidii] UNAFIKI WA CCM JUU YA DHANA YA DEMOKRASIA.
>
> Imekuwa ni kawaida kwa CCM kusema vyama vingine havina Demokrasi, sasa kwakuwa huu ni msimu wa chaguzi upande wa CCM ningependa kujuwa fomu za kuwania Uenyekiti wa Taifa zinatolewa lini na wagombea wanaowania nafasi hiyo ni wangapi?
>
> Pia si vibaya nikijuzwa na upande wa makamu mwenyekiti, katibu Mkuu na mweka hazina, naomba wale wapenda Demokrasia ndani ya vyama tuanzie hapa kwanza.
>
> Chanzo: jf
> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment