Thursday 11 October 2012

Re: [wanabidii] Tuzo ya Amani ya Nobel 2012 kwenda kwa Jakaya Kikwete ?

naogopa hata kuchangia

2012/10/11 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Ndugu zangu

Nimesikia nyepesi nyepesi kwamba tuzo ya amani ya Nobel kwa mwaka 2012
inaweza kwenda kwa Jakaya Mrisho Kikwete rais wa Tanzania .

Binafsi nimeshtuka kupata habari hii sio kwamba nachukia , ni kwamba
tu hajachukuwa hatua kubwa katika kushugulikia migogoro mbalimbali
inayosababisha amani kuvurugika nchini ingawa amehusika kwa kiasi
kikubwa katika kusuluhisha wengine kama Somalia , Kenya 2017 , sasa
hivi huko mashariki ya kongo na huu mgogoro wa ziwa nyasa .

Mshindi au washindi wanaweza kutangazwa kesho siku ya ijumaa .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment