Mbona unajiuliza 'Tema mate tumchape' tu wakati zipo nyingi zilizotumika katika kuwajengea watoto wa zamani maadili mema. Kuliko sasa hivi mtoto mmoja akikosa mama/ mzazi anakuja juu na mzazi mwenziwe wakati watoto husika wanaendelea kujichezea zao. Kumbuka tulikuwa tuambiwa mtoto anapatikana sokoni.... n.k Masedon B Bagile P O Box 1280 Dar es Salaam Mobile: +255 718 31 41 58 +255 762 95 49 21 --- On Tue, 10/9/12, Emmanueley Mgongo <emmanueley@gmail.com> wrote:
|
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment