Monday 15 October 2012

Re: [wanabidii] Re: What a kind of sprit works on these people?

Godfrey,
Wacha brother kuanza kuanzisha fitna hapa ukumbini!
Au unataka tena kurejea yale yale ya sensa?

...bin Issa



From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, October 15, 2012 6:58:25 AM
Subject: [wanabidii] Re: What a kind of sprit works on these people?

Nimesikitishwa sana na kijana aliyeamua kukojolea Quran kwa minajili ya kuwa aone kitachotokea kwa kadri ya michezo yao ya kitoto... ni ujinga na sio kitu cha kurudiwa tena kwa mtoto yeyote yule. It is a stupid curiosity....namsamehe kwa kuwa ni mtoto. Lakini,kinachonisikitisha zaidi ni kuona watu wazima tena waliokuwa katika nyumba za ibada  wakifanya vitendo vya upumbavu zaidi ya huyu mtoto mdogo...ni afadhali basi hata nga mtoto huyo angelikuwa amefanya kitendo hicho ndani ya kanisa hilo au ingethibitika kuwa ametumwa na watu wa kanisa hilo...sishangai hata kidogo kuona watu wakihoji labda kuna kitu kingine zaidi ya hiyo Quran...lakini,kimsingi ni jambo hilohilo ndilo tumelishuhudia katika nchi nyingi hivi karibuni...waislamu wakileta vurugu eti kwa sababu qurani imedhihakiwa.

Ninajua kwa hakika kabisa Mungu wa ukweli si Mungu wa vurugu na hasira,na wala hawahusii watu wake watende kwa vurugu na kujilipizia visasi watakavyo. Hiyo bila shaka ni tabia ya shetani,aliye mwenye gadhabu na hasira muda wote. Roho mnafiki na mwenye visasi.

Kwa kuwa watu hujulikana kwa matendo yao,nafikiri umefika wakati sasa tujiulize maswali,je ni kweli Mungu anayeabudiwa na Wakristo ndio Mungu huyohuyo anayeabudiwa na waislamu?Na kama ni huyohuyo,tujiulize why is this diversity?Ni kwa nini fitina hizi?why is there lack of co-existence?.

Ngupula













--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


0 comments:

Post a Comment