Monday 22 October 2012

Re: [wanabidii] Re: Hawa ndiyo maadui wa Waisalam na Uislam

Huyu jamaa yangu Chamani nga simfahamu lakini naona kichwa chake ni vurugu mechi tu.Analingana na a strong boxer but asiye na mpangalio...au mtu mjanja but hana busara.Haya rafiki..bv it is my hope that nga hukubali but you at least know you cant just do anything coz u want.Somebody there wil judge and block you.Ngupula


------------------------------
On Mon, Oct 22, 2012 4:07 PM EEST Mike Zunzu wrote:

>Amour, 
>Ndiyo maana mtu mmoja aki akitia najisi pahala patukufu au kitabu kitukufu au kuchora picha ya Mtume waislamu wanashambuli kila mtu asiye na imani yao, hiyo ni sawa kweli, mtu aliyetenda tukio fulani hajafanya makubaliano na waumini wengine wowote wale, ni maamuzi yake kufanya alichokifanya, vipi waislamu hushambulia kila muumini wa imani zingine bila kujali umehusika hukuhusika, tazama hivi sasa unahusisha vita vya mmerikani na ugomvi wa Waisrael na Wapalestine, hiyo ni akili nzuri kweli.
>Uione watu wamechukua angalizo la nchi nyingine za kiislam ambako kuna vurugu pengine kuzidi na huko unakoona waislam wananyimwa haki, hilo ni angalizo tu halihusiani na vurugu zinazotokea Tanzania. 
>Kwa hili la Tanzania, ni mafundisho na potofu yanayotolewa, Kumbuka maendeleo hayaji kwa kufikiria tu au kusema kunahitajika vitendo, Umepewa mifano wa soko huria la elimu lilivyo hivi sasa hapa Tanzania, kipi kinazuia waislam kuongeza vio vikuu. Wengine wakijenga vya kwao nako kelele, sijui wamepewa pesa na Serikali, inawezekana kabisa kweli Serikali ikatoa fungu fulani la pesa kusaidia ukamishwaji wa shughuli fulani, basi waislam na waanzishe hizo shughuli kama ni shule, vyuo, au hospitali, waonyeshe dhamira na waonyeshe tutapungukiwa kiasi hiki kukamilisha shughuli zetu, waombe msaada wa Serikali waone kama watanyimwa, Serikali haiwezi kutoa pesa tu bila kuona hata plan ya shughuli ilivyo. Hilo unalifahamu.  
>
>
>________________________________
> From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>Sent: Monday, 22 October 2012, 6:15
>Subject: Re: [wanabidii] Re: Hawa ndiyo maadui wa Waisalam na Uislam
>
>
>Ngupula,
>
>1.Alshabaab wanapigania nchi yao ila ungenijulisha wewe Wakenya,Warundi nk wanatafuta nini huko? Kwanini Alshabaab wakati kuna makundi zaidi ya manne ya Mujahidina yakisaidiwa na Ethiopa na Eritrea.
>
>2.Unatoa mfano wa Wamarekani weusi ni kweli na hapa sasa ndiyo tunataka mseme kwanini tumekuwa kama wao wakati tunaambizana kwamba sote ni sawa? Naomba na Wenzio uwajulishe hilo ambalo mara zote tunasema kwamba mnatubagua katika nchi hii.
>3.Suala la uzazi wa mpango nadhani huelewi chochote ndugu yangu.Gharama ya kutunza mbwa mnaoishi nao ndani ni kubwa kuliko chakula cha kulisha watoto.Mnachukia watoto kwa sababu ya  aina ya maisha mnayoishi ya kinyama pengine ndiye maana hata baadhia ya viongozi wenu wa dini hawana familia.Matatizo ya dunia hii siyo watoto bali ni mgawanyo wa mali na rasilimali.Ghrama ya vita inayopiganwa na USA Afghanistan na Iraq ni kubwa ajabu au na hilo hujui.Kisha mnamaliza mnasema mko wengi kuliko sisi.
>
>4.Hatuna hoja kweli kwani upofu mlio nao si mdogo ndiyo maana mnasikiliza kila kinachosemwa na Israel na USA bila hata kutafakari.Japo wengine ni doctrine(dogma) yenu.
>
>5.Tunauliwa kama kuku nyinyi mtakufa wenyewe wakati ukifika lakini kote ni kufa tu au unasemaje mpendwa katika BWANA!
>
>
>
>
>Walewale.
>
>
>________________________________
> From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Sent: Sunday, October 21, 2012 9:20 PM
>Subject: Re: [wanabidii] Re: Hawa ndiyo maadui wa Waisalam na Uislam
>
>
>bwana Chamani,naomba unijuze pia na huko Somalia al shababu wanapigania ni nini?na huko afghanistan taliban wanapigania nini?Unajua,nafikiri kimsingi hamjui tatizo mnalolipigania,na msipokuwa care mtajaa gerezani na mtatuongezea idadi ya walemavu tu.Negros in america under the leadership of Martin Luther King they shouted and shouted but what they got was just a heartlage.But,soon afterwards,he told them.acheni maandamano na every move.He who can ran let him run.  And he
> who can box.sing let him do so.Leo hii hata kama utazungumzia ubaguz,may be in another way.
>
>Ndugu zanguni,mtachukia watu mpka mtakuwa magaidi lkn mfumo wa maisha ya kibepari unahitaji bidii ktk kazi,mipango na elimu.Ukiyaacha hayo
>yakakupita,utapitwa tu.Tueleweni,anzeni sasa kuzaa kwa mpango.Oweni mke moja na somesheni watoto wenu na jileteeni maendeleo. Mtadanganyika na kuuwawa kama kuku na hakuna atayewasikiza.Ona sasa,mnaonekana wakorofi and most dangerous people lkn hakuna mwenye akili atayewagopa coz hamna hoja,empty.
>------------------------------
>On Sun, Oct 21, 2012 8:52 PM EEST amour chamani wrote:
>
>>Ngapula,
>>Kwani kinyume cha mfumo Kristo ni mfumo Islam?
>>Sisi tunapinga mnavyotubagua kwa kutumia mfumo wenu huo na naomba watu wasilichanganye hili na secularity ni vitu viwili kabisa.
>>South Africa walikuwa wanapinga apartheid na walikuwa Waislam kwani? Rwanda wakati wa Jeneral Juvenari Habyarimana
> kulikuwa na ubaguzi wa kabila nayo vipi walikuwa wanapinga Western Civilization?
>>Tunapinga Mfumo Kristo ambao ni ubaguzi hatupingi huo Umagharibi wenu.Msipotoshe hili.
>>
>>
>>
>>Walewale
>>
>>
>>
>>
>>________________________________
>> From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Sent: Sunday, October 21, 2012 8:23 PM
>>Subject: RE: [wanabidii] Re: Hawa ndiyo maadui wa Waisalam na Uislam
>>
>>
>>
>>napenda ungezipinga hoja.Useme wav wanaopinga mfumo Kristo wana maana gani na wanataka mfumo gani.Rejea pia matakwa 30 ya waislam
>>ktk katiba mpya na useme kama hayo yakikubaliwa ni nini kitatokea?
>>Useme pia kabla ya uislam kuingia
> moroco,tunisia na misri zilikuwepo dini gani na nini kilitokea? Hayo uliyauliza ya kuhusu osama,taliban,na sadam hussein nayajua yote,but sijui yanahusiana vipi na mazungumzo haya.Jibu hoja rafiki,jazba ktk maandisha itakupotezea mwelekeo.
>>hivi,kuna mkristo gani ambaye amehoji uhalali wa waislam kudominate zanzibar?can u change history kwa porojo?Ngupula.
>>------------------------------
>>On Sun, Oct 21, 2012 7:58 PM EEST Mobhare Matinyi wrote:
>>
>>
>>Chamani,Fanya hisani moja kubwa: Toa maelezo ya maswali yote hayo uliyouliza ili mbishani wako aelimike; usiishie kumpiga mkwara tu. Toa somo Maalim.Katika somo lako jadili hali ya dini ilivyo Irak, Uturuki, Iran na kote huko ukigusia watu wasiokuwa Waislamu huwa wanafanywa nini. Usiiache Misri.Toa somo Yakhe.Matinyi.
>> Date: Sun, 21 Oct 2012 09:40:49 -0700
>>From: abachamani@yahoo.com
>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Hawa ndiyo maadui wa Waisalam na Uislam
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Ngupula,Usilete komedi humu.Angalia isijekuwa wewe ndiyo mlemavu wa kufikiri wakati wenzio ni wavivu tu.Unazungumza uzushi wenu OIC hapa unakusaidia nini.Misri na Moroco kimefanyika nini mbona pilipili usiyokula ina kuwasha?Unafurahiya mauaji yanayofanyika Mashariki ya Kati kwa jina la Yesu na ndiyo maana siku hizi hata bendera ya USA na Israel mnaitumia kwenye nyumba za ibada.Unamjua vema Sadam Husein na uhusiano wake na USA na UK baada ya mapinduzi ya Iran 1979?Unajua uhusiano wa Usama na USA wakati wa kupambana na USSR Afghanistan na je unajua uhusiano wa TALEBAN na USA walipokuwa na mpango wa kupitisha gesi nchini mwao?Angalia kaka usidandie gari kwa
> mbele
>> utaumia.Jitahidi kufikiri usiwe mlemavu wa kufikiri.
>>
>>
>>
>>Walweale.
>>        From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Sent: Sunday, October 21, 2012 6:40 PM
>> Subject: Re: [wanabidii] Re: Hawa ndiyo maadui wa Waisalam na Uislam
>> 
>>
>>unajua sometimes nawaza hawa wanaosema wanapigana na mfumo Kristo tanzania je wanataka mfumo gani kama mbadala wa huo wanaosema mfumo kristo? Ktk uchunguz wangu kwa kuangalia matendo na maneno ya watu hao,nimegundua kuwa wanachotaka watu hao ni mfumo islam.Na wangelifurah sana kama sharia ingeshika ktk utawala wa kiserikali. Na matukio haya ni moja ya agenda
> za kikao kilichofanyika
>> Abuja Nigeria ili kugeuza nchi za kusini mwa jangwa la saharah zote ziwe za kiislam.Hivyo basi hii ni vita.Ni vita ya kuleta mageuzi ya kiislam Tanzania.Na kama wakristo wakizembea,hawa jamaa wakapata nguvu zaidi ya hii waliyokuwa nayo,wale wote wasiokubaliana nao watauawa.Na hatimaye bila kipingamiz chochote tz itabadilika kuwa dola ya kiislam.Wanachotaka kufanya waislam ndicho kilichofanyika ktk nchi ya misri,moroco,tunisia,nk.
>>Swali langu kwa waislam je ni nani asiyejua kuwa mwenye bajeti ndiye hushika dola?

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment