Monday 22 October 2012

Re: [wanabidii] Prof. Alexander Nyangero Songorwa “Aula” Wanyamapori - Mwanzo

Lakini kabla ya kulifuta humu katika jukwaa la Wanabidii, kwanza tungemuuliza mwenzetu na tungejiuliza kwa nini ameliweka katika alama za kufungua na kufunga usemi ("Aula") kwa sababu, nijuavyo mimi, alama hizo zinaashiria kitu fulani. Pili, tutalifuta hilo neno hapa, lakini katika vyombo vingi vya habari, hasa magazeti ambayo yanawafikia watu wengi zaidi ya jukwaa hili, neno hilo linaendelea na litaendelea kutumika tu. Tatu, ukiwaza sana masuala ya utabaka, hadi hapo Kanuni za Uongozi kama za Azimio la Arusha zitakaporudishwa, viongozi wako katika tabaka la juu zaidi, tabaka linalokula zaidi. Kwa mtu ambaye hata huo mlo wa siku moja hana uhakika nao, na kwa mkulima ambaye mvua zinapokataa basi ni njaa ya mwaka mmoja, mtu yeyote anayepata hivi vyeo vya uongozi anaula, tupende tusipende! Tujadiliane.

2012/10/22 achengula@gmail.com <achengula@gmail.com>

Jamii kwa upande mmoja huchukia rushwa na wizi kwa viongozi lakini kwa upande mwingine huhalalisha rushwa. Utasikia ndugu/jamaa na marafiki wa kiongozi wakisema, 'alikuwa kwenye nafasi yenye pesa nje nje lakini hajafanya kitu'. Wakiwa na maana hajaiba, haya ni maneno niliyoyasikia huko kijijini. Tunapaswa kubadilika/tubadili msimamo.

-----Original message-----
From: nevilletz@gmail.com
Sent:  22/10/2012, 18:38
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Prof. Alexander Nyangero Songorwa "Aula" Wanyamapori - Mwanzo

Hapa ni wanabidii, kuanzia leo neno aula tumelifuta rasmi kwa watu wanaoteuliwa kushika kazi za nchi!

Wameteuliwa ndo lugha sahihi!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 22 Oct 2012 18:12:07
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Prof. Alexander Nyangero Songorwa "Aula" Wanyamapori - Mwanzo

Magiri

Unatupotosha tu. Haiendani na uhalisia kwasababu moja kwamba, hawa
wanaingia baada ya waliokuwepo kuondolewa kwenye nafasi zao sasa
ukiunganisha kama ulivyounganisha yaani ni kutuingiza chaka moja kwa moja

On 22 October 2012 18:07, Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com> wrote:

> Lugha za makanjanja hao.
>
>   ------------------------------
> *From:* Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com>
> *To:* wanabidii@googlegroups.com
> *Sent:* Monday, October 22, 2012 5:54 PM
>
> *Subject:* Re: [wanabidii] Prof. Alexander Nyangero Songorwa "Aula"
> Wanyamapori - Mwanzo
>
> Hii lugha ya ovyo ya 'aula' tutaiacha lini wajemeni? Mtu anakabidhiwa
> majukumu mnasema aula-hizi lugha ndio zinaharibu hata watakuwa mafisadi
> baadaye!!
>
> Kitila
>
> On Mon, Oct 22, 2012 at 5:43 PM, Magiri paul <kiganyi@gmail.com> wrote:
>
> http://wotepamoja.com/archives/9499#.UIVba2CCLy4.gmail --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>
> --

--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment