Monday 22 October 2012

Re: [wanabidii] Prof. Alexander Nyangero Songorwa “Aula” Wanyamapori - Mwanzo

Wakuu!
Nimeweka hiyo lugha kuchokonoa maada! kwani wakati mainstream media ikisema pembe zimekamatwa huko Hong kong, authorities zetu zinadai ni uongo! Kama Twiga wanapanda ndege na kupotelea Ughaibuni n.k, nadhani tafsiri ya "aula" ina nguvu mpaka hapo tutapobadili mifumo na kuwajibisha kina nanihii wanaovurunda na hawafanywi kitu!

Magiri.

Tarehe 22 Oktoba 2012 3:58 alasiri, <hkigwangalla@gmail.com> aliandika:
Mkumbo, Hata mimi huwa zinanikera sana kwa kweli! Mtu ana-ula vipi wakati amepewa majukumu na nchi ya kutekeleza???? Let's be serious jamani! Eti watu wanagombea uwakilishi, inaibuka hoja ya kumhurumia mtu kwamba eti amegombea mara nyingi hajapata na hivyo ahurumiwe, yanaanzia wapi haya?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com>
Date: Mon, 22 Oct 2012 17:54:57 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Prof. Alexander Nyangero Songorwa "Aula" Wanyamapori - Mwanzo

Hii lugha ya ovyo ya 'aula' tutaiacha lini wajemeni? Mtu anakabidhiwa majukumu mnasema aula-hizi lugha ndio zinaharibu hata watakuwa mafisadi baadaye!!

Kitila

On Mon, Oct 22, 2012 at 5:43 PM, Magiri paul <kiganyi@gmail.com> wrote:
http://wotepamoja.com/archives/9499#.UIVba2CCLy4.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment