Sunday 28 October 2012

Re: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo

Kama Lipumba anasema Ponda hahusiki na uchomaji wa Mkanisa ni dhahiri anawajua waliochoma hayo makanisa. Basi awataje ili kuipunguzia kazi serikali ya kuhangaika kufanya uchunguzi wakati Prof. anawajua

--- On Fri, 10/26/12, nevilletz@gmail.com <nevilletz@gmail.com> wrote:

From: nevilletz@gmail.com <nevilletz@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, October 26, 2012, 5:06 PM

Sasa jama mnapambana tena hapa?
Basi tuseme hivi, tusubiri hoja za mawakili ziamliwe na mahakama maana kesi yenyewe haiko mbali.

Pili hoja ya Lipumba kwamba Ponda anadhaminika iko valid but kosa lake ni kusema kwamba Ponda hahusiki na kuchoma makanisa. Kwamba kauli hiyo inajaribu kuingilia uhuru wa mahakama kwani inazungumzia mashtaka.

Anapaswa kusubiri pia kwamba mahakama iseme iwapo wana kesi ya kujibu au la. Hili la mfumo wa ukristo au uislamu halipo maana hapa jukwaani tukienda uko basi itakuwa taabu tena.

Turejee kauli ya Mohamed Mtoi kuhus orodha ya maadui wa uislamu. Tuvumiliane, tuheshimiane na tusikilizane. Idd Mubaraka!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 26 Oct 2012 09:44:52 -0700 (PDT)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo

Godfrey,
Akili unayo wewe na wenye mawazo ya kibaguzi,chuki na roho mbaya kama wewe.
Ponda apewe dhamana kisha ninyi na hao maaskofu wenu mwende mtoe ushahidi mahakamani akafungwe hata miaka 100 kwani tabu ni nini?
Kwani hili nalo ni fumbo la imani mpaka lishindwe kueleweka.
SUALA NI KUPEWA DHAMANA BASI HIYO KUKOSA NI KAZI YA MAHAKAMA SI WEWE WALA MAASKOFU WAKO WENYE HAKI HIYO.
Mkoje ninyi viumbe.

Walewale.

From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, October 26, 2012 7:28 PM
Subject: Re: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo

Bwana Chamani,nafikiri kama wewe huna huo upofu wa kidini,ungepingana kwanza na lipumba..Lipumba katamka nini kuhusu uchomaji makanisa bara na visiwani?ametamka nini kuhusu vurugu hiz za kidini za hapa na pale?Sheik Ponda anashikiliwa na polisi kwa makosa ya uchochez na uvunjifu wa amani.Mwenye uwezo wa kumwachia ni sheria za nchi.Tanzania sio dola ya kiislam na haitakuwa hivyo.Inaongozwa na sheria zake.Lipumba ni nani kuiamuru serikali?kwa ninavyomfahamu,ni mwanasiasa mufilisi aliyeamua kuegemea kuti la kidini kujiweka kwenye chati.amekwisha.Last time alitamka eti serikali iwasikize waislam kwenye madai yao ya katiba,yake 30.Ana akili kweli huyo?Ngupula

------------------------------
On Fri, Oct 26, 2012 7:16 PM EEST amour chamani wrote:

>Tony,
>Punguza upofu unaotokana na Mfumo Kristo.
>
>
>
>
>Walewale.
>
>
>
>
>
>________________________________
> From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Sent: Friday, October 26, 2012 5:57 PM
>Subject: Re: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo
>
>
>Magiri,
>
>Rejea hotuba ya Prof lipumba hususani ya katibu msaidizi wa CUF pale  jangwani utaelewa anachojaribu kukisema! Wanasiasa wa aina hii ni hatari sana; wapo tayari kutumia dini kupata kura zao na kuisambaratisha nchi!
>
>Tuwaogope kama ukoma!
>Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
>Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
>________________________________
>
>From:  Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
>Sender:  wanabidii@googlegroups.com
>Date: Fri, 26 Oct 2012 15:43:32 +0100
>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>ReplyTo:  wanabidii@googlegroups.com
>Subject: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo
>Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba ameitaka serikali kumuachilia kwa dhamana Sheikh Ponda Issa Ponda kwani amewekwa ndani kinyume na
>utaratibu.
>Prof Lipumba amedai kusema kwamba Sheikh Ponda alihusika na uchomaji wa
>makanisa ni uongo na kitendo cha kumkamata ndicho kilichochochea vurugu
>zilizofanyika wiki iliyopita.Amesema ili kurejesha amani na kunusuru
>nchi kuingia katika mfarakano ni lazima kwanza kiongozi huyo wa waislam
>aachiliwe huru.
>http://wotepamoja.com/archives/9734#.UIqheGLFIxg.gmail  --
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

>
>--

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment