Saturday 20 October 2012

Re: [wanabidii] Mtume hatetewi kwa dhulma na ujinga - Mwanzo

sisi wakristo kwetu ni ruksa kumdhihaki mtume Yesu Kristo kama ukiona ipo sababu ya kufanya hivyo.Na,si jukumu la wanadamu kumlipizia kisasi mtume yeyote anayeona labda mtume wao kadhihakiwa.Kisasi ni cha Mungu na ndio kazi yake kulipa kwani ndiye mhukumu wa haki,wanadamu wanamapungufu mengi.Kwa wakristo ni kazi ya Mungu kujitetea na kujipigania mwenyewe.Tunachoruhusiwa ni kushindana kwa hoja.Sasa,swali langu kwa waislamu ni hili.Kama kumdhihaki mtumealiye mwanadamu kwa hakika kama sisi tulivyo,adhabu yake ni kifo,je kumdhihaki Mungu mwenyewe adhabu yake ni nini? Ngupula Godfrey----------------------------
On Sat, Oct 20, 2012 8:16 PM EEST Magiri paul wrote:

>*Imefasiriwa Na: Abu Suhayl*
>
>Shukrani njema zinamstahili Allaah, rahmah na amani zimuendee Mtume wetu
>Muhammad, na aali zake na maswahaba zake na Waislamu wote. Ama baada ya hayo
>
>Hakuna Muislamu ambaye anaweza kukubaliana na kutukanwa, kudhalilishwa,
>kudhauruliwa na kusingiziwa mambo mabaya Mtume wetu mpendwa (Swalla Allaahu
>'alayhi wa aalihi wa sallam). Ma-Imaam wa Ahlus-Sunnah kama Imam Maalik,
>al-Layth, Ahmad, na Ash-Shaafi'iy, wamekubaliana kwa pamoja kwamba yeyote
>atakayemvunjia heshima, kumtukana au kumdhalilisha au kumtia ila Mtume wetu
>(Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) atakuwa amekufuru, na adhabu
>inayomstahili kwa yule anayeishi katika dola ya Kiislamu na akafanya hivyo
>ni kifo, adhabu ambayo itakuwa katika mikono ya mtawala wa Kiislamu.
>
>http://wotepamoja.com/archives/9363#.UILcUehLj0I.gmail
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment