Friday 12 October 2012

Re: [wanabidii] Mhe PETER KAFUMU ANAOMBA RADHI AU .........?

Dr Kafumu
Kila anayekueleza ukweli unambatiza kuwa ni Mshabiki wa
upinzani,unataka kuhalalisha dhambi ya ccm kwa kuwa CHADEMA nako
unadai kuna mafisadi?hizo ni hisia na maneno ya mkosaji.Kabla
hujavuliwa Ubunge na mahakama nilikuandikia nikikusihi kama kweli wewe
ni mcha Mungu,na una hofu ya Mungu achana na Ubunge wa damu,Ubunge
ambao watu wasiokuwa na hatia walipigwa,waligandamizwa,walionewa,na
hata kubakwa.
Uliona na kushuhudia kwa macho yako rushwa kubwa tena rushwa ya
kihistoria ikitolewa na chama chako ukakaa kimya,

On 10/12/12, Dr Peter D Kafumu <kafumu@yahoo.com> wrote:
> Selemani,
>
> Nakubaliana nawe sana kuwa ccm kuna mafisadi wakubwa lakini siyo sote.
> Nasema tena cdm nako kuna mafisadi wengi tu, waliojilimbikizia mali na
> watanzania wengi wakilala na njaa, wanaendesaha magari mahammer kutoka
> marekani lakini hawa ni malaika. siyo kweli. Lakini pia cdm wapo waadilifu
> wa kweli. Naomba nawe uwe objective usimchukie lila aliye ccm, ni kujenga
> chuki.
>
> Nw'izukulushilinde
>
> --- On Fri, 10/12/12, Leonard E. Mboera <lmboera@nimr.or.tz> wrote:
>
>
> From: Leonard E. Mboera <lmboera@nimr.or.tz>
> Subject: Re: [wanabidii] Mhe PETER KAFUMU ANAOMBA RADHI AU .........?
> To: wanabidii@googlegroups.com, "Selemani Rehani" <srehani@hotmail.com>
> Date: Friday, October 12, 2012, 9:47 AM
>
>
>
> Tukumbushane tu kuwa: Na hata siasa za Chama Kimoja si utamaduni wa
> Kiafrika. Swala si vyama vingapi, bali ni uzalendo na maadili ya kiongozi
> mkuu na viongozi wenzake wa nchi.
> On Fri, 12 Oct 2012 08:22:31 +0000
> Selemani Rehani <srehani@hotmail.com> wrote:
>>
>> Kafumu,
>>
>> Kama kawaida yako mtazamo HASI uliopindukia juu ya vyama vya upinzani na
>> hasa Chadema. Inastajabisha sana na hasa kwa msomi kama wewe. Chuki
>> haziwezi kuondoka kwa mitazamo kama yako; hasa unapoamua kuyaona ya upande
>> mmoja tu, yaani yale yanayofanywa na Chadema. Yale maovu yanayofanywa na
>> CCM unaamua kujenga upofu na kuamua kutoyaona. Vitendo hivyo vinafanywa
>> hata na wanachama wa CCM pia, mbona hilo hulisemi!! mbona upo biased sana
>> kiasi hicho? Jaribu kuwa fair na objective ndio tutaweza kutatua tatizo
>> hilo.
>>
>> Dr. ni muhimu ukajiuliza kwa nini CCM inahusishwa na ufisadi kiasi hicho?
>> kwa nini? jaribu kuwa objective na nina hakika utayapata majibu. Hivi
>> unataka tuseme vipi? je tukisema TLP ndio mafisadi ni sawa? au CUF? au
>> Chadema? ni sawa? je kesi zilizopo mahakamani za kutumia madaraka vibaya
>> au za ufisadi zinawakabili wanachama na viongozi wa chama gani? Jamani huu
>> upofu ni wa kustajabisha sana. Inaoenekana ukiingia CCM hata ukiwa msomi
>> namna gani, haijalishi, baada ya muda kidogo tu unajenga upofu na fikra
>> kongwe za ajabu kabisa. Hivi kweli Dr unashindwa kuelewa kwa nini CCM
>> inahusishwa na ufisadi? angalia kinachoendelea katika changuzi zake za
>> ndani? hizo pesa za kuhongana na kutoleana bastola ni kwa ajili ya nini?
>> wanazipata wapi? kama si ufisadi?
>> Vyama vingine havina access ya raslimali za Taifa, vyama vingine havina
>> uwezo wa kuamua kandarasi na kushughulika na kodi za wananchi, vyama
>> vingine havina power wala mamlaka ya kuwatishia wafanya biashara ili
>> wavichangie wala haviwezi kuwaahidi kuwa vitawapa kandarasi. Ufisadi upo
>> CCM na hata viongozi mbalimbali ndani ya CCM wanaliona hilo na wanalisema,
>> Waziri Mkuu mstaafu amelisema. Philip Mangula aliwahi kusema kuwa itafikia
>> muda ili kupata viongozi ndani ya CCM itabidi watangaze zabuni na mwenye
>> hela nyingi ndio atashinda na kuwa kiongozi. Ni Ufisadi mtupu.
>> Inasikitisha umeshindwa kuona hilo. Ni juu yenu kuamua kubadilika au
>> kuendelea na vitendo vya ufisadi na kukosa maadili.
>>
>> Selemani
>>
>>
>>
>>
>> Date: Fri, 12 Oct 2012 00:58:42 -0700
>> From: kafumu@yahoo.com
>> Subject: Re: [wanabidii] Mhe PETER KAFUMU ANAOMBA RADHI AU .........?
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> Anael wa Nzega
>>
>> Pole, siasa za vyama vyingi siyo utamaduni wa mwafrika, ni jinamizi kutoka
>> kwa wakoloni mamboleo, tunavyolikumbatia kiasi cha kuwagawanya watu wetu
>> ni hatari kwa amani na ustawi wa nchi yetu.
>> Huwa niashangaa ninapoona viongozi na vijana wenye imani kali ya cdm
>> wanapomwita kila mwanaccm hata kama anaatoka kijiji cha Karitu (nzega)
>> kuwa ni fisadi kwa vile ni mwanachama wa ccm ni kitu cha kutisha,
>> Ninapoona mara nyingi mama wa ccm kavaa kitenge chake cha ccm anatukanwa
>> na kupigwa mawe na vijana wa cdm ninashangaa. Hali hiyo inajenga uhasama
>> miongoni mwa wananchi wa kawaida na uhasama huo utakapokolea na wananchi
>> wakaanza kubaguana kwa kufuata vyama hatutapona.
>> Wakati wote ninawaomba wenzangu ndani ya ccm na ndani ya cdm ninao
>> marafiki, tujitahidi kuujenga mfumo huu bila chuki ili tuweze kubadilisha
>> utawala wakati ukifika bila kumwaga damu. Chuki na matusi kwa sababu ya
>> vyama havifai, vitalibomoa taifa letu...
>>
>> Anael ubarikiwe
>> Nitakuletea kitabu nzega, Niarifu namba yako ya simu nitamtuma mtu
>> akuletee
>>
>> Kitabu ni katika llugha ya kingereza na bei yake ni sh 15,000 tu
>>
>> Asante sana
>>
>> Ngw'izukulushilinde
>>
>> --- On Thu, 10/11/12, Anael Macha <kowiri@hotmail.com> wrote:
>>
>>
>> From: Anael Macha <kowiri@hotmail.com>
>> Subject: Re: [wanabidii] Mhe PETER KAFUMU ANAOMBA RADHI AU .........?
>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> Date: Thursday, October 11, 2012, 8:07 PM
>>
>>
>>
>>
>> Dr. Kafumu,
>>
>>
>> Nitakinunua kitabu, tafadhali kifikishe nzega.
>>
>>
>> Unasema upinzani kuwa wanajenga chuki, sawa ila ccm unataka kujitenga nao.
>> Wewe msafi ila wao walisema/walifanya. Ccm wanajenga nn? Kazi ipo, siasa
>> zinawenyewe bana.
>>
>>
>> Ok, nashukuru na ubarikiwe nawe pia
>>
>> AM
>>
>> On Oct 11, 2012, at 21:43, "Dr Peter D Kafumu" <kafumu@yahoo.com> wrote:
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> Bw. Nkumbaro.
>>
>> Nilishawahi kusema kwenye mabadiliko, cdm imejaa watu wema na pia
>> mafisadi, kwa sababu hao ni binadamu wenye damu na nyama. Pia ccm imejaa
>> wema na pia mafisadi kwani nao ni watu. Maandishi yako yanaonesha wewe
>> sasa umegandamana na siasa za upinzani, zenye chuki na hasira iliyokithiri
>> na ushabiki unaoona kuwa CDM malaika CCM mashetani.
>> Katka uchaguzi mdogo wa Igunga mimi mgombea sikutoa rushwa yoyote,
>> sikutukana mtu yoyote na sikukiuka kanuni zozote za uchaguzi. Hukumu
>> imetolewa dhidi yangu kwa tuhuma siyo za rushwa bali za maneno ya watu
>> wengine siyo mimi. Lakini pia kulikuwa na tuhuma zilizotolewa na washitaki
>> kuhusu kutolewa kwa rushwa na baadhi ya wanccm (siyo mimi) lakini jaji
>> alizikataa akasema hazina ushahidi.
>>
>> Kwa maoni ya jaji; maneno ya wengine yalitosha yeye kuhukumu alivyohukumu.
>> Maneno yako yamejaa ushabiki na hasira dhidi ya ccm na wanaccm. Huo siyo
>> utamaduni wa ushindani wa vyama vingi tunaotarajia kuujenga Tanzania,
>> utamaduni wa kuita watu wote wa ccm au chama kisicho chako kuwa waovu na
>> wazuri wote wako cdm.  Sipendi kulumbana nawe kwa sababu sitaki kujenga
>> chuki dhidi ya mtu yoyote.
>> Nakushukuru kwa mchango wako.
>>
>> Mungu akubariki
>>
>> Ngw'izukulushilinde
>>
>> --- On Thu, 10/11/12, John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com> wrote:
>>
>>
>> From: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
>> Subject: Re: [wanabidii] Mhe PETER KAFUMU ANAOMBA RADHI AU .........?
>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> Date: Thursday, October 11, 2012, 2:21 PM
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> Dear Kaka Kafumu,
>> Kaka  HK anaandika kuwa, hakukuwa na tuhuma za rushwa kwako wala kiongozi
>> yoyote wa CCM ama serikali aliyetuhumiwa na kukutwa na hatia ya kutoa
>> rushwa kule Igunga.
>> Definitely Kaka HK hajui nini rushwa. Kwake yeye labda ukikutwa unatoa
>> pesa ndio unaweza kutuhumiwa na hatia ya rushwa. Rushwa, Kaka Kafumu, is
>> any dishonest act committed in return for personal gain. Hata yule
>> aliesema kuwa daraja halitomalizwa Igunga kama CCM haitoshinda – nae pia
>> alitenda kitendo cha rushwa kwa upande wako.
>> Mahkama Kuu imegundua kuwa dishonest acts (yaani rushwa) zilitumika na
>> ndio maana ikapinduwa ushindi wako.
>> Kaka HK nae anaeleza kuwa yumo katika kuandika kitabu chake pia. Hili ni
>> jambo zuri sana na ninampongeza kama ninavyokupongeza wewe, kwani 'vizazi
>> na vizazi vitapata kusoma na kujifunza',
>> lakini sijui kitabu chake kitakuwa kuhusu nini – most probably his book
>> will be titled - How fast a Cowboy draws his  gun on his enemy.
>> Hapa netini, mimi nilikuwa katika watu wa mwanzo kukupa hongera baada ya
>> ule ushindi wako na nilikuwa peke yangu nilie-withdraw hongera zangu baada
>> ya kufahamu nini kilitokea Igunga na kuwa kumbe ulishinda kwa mazonge na
>> rushwa. Ninastaajabu, vipi mtu anaandika kitabu kuhusu ubaya na extent ya
>> rushwa nchini na huku anakuenda kugombania ubunge kupitia CCM na sio
>> Chadema. Are we serious? The only CCM member ambae alikuwa free of rushwa
>> kwa bahati mbaya amefariki tokea 1999. Sidhani kama yupo mwengine.
>> Mwengine ambae tungelimdhania juzi aliadhirika Kisutu kuenda kudai kodi
>> zake alizotapeliwa. Sisi tulimpa usukani ndugu yetu kumbe mwenzetu alikuwa
>> busy kujenga nyumba za kukodisha katika kila corner ya DSM. Kama ni mimi
>> nisingelikuenda Kisutu kujiadhirisha na ningelimuachia tu huyo mwizi hicho
>> alichochukuwa – kama vile na yeye amechukua chake mapema kutoka kwangu!
>>
>>
>> http://zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2012/10/mzee-sio-muachie-tu-raia-wako.html
>>
>>
>>
>> Anyway, najua mpo wengi hapa ukumbini (Tony, HK, etc) na kwahivyo bora
>> nikimbie kwa haraka!
>>
>>
>> //Nkumba.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> From: Dr Peter D Kafumu <kafumu@yahoo.com>
>> To: wanabidii@googlegroups.com Sent: Wednesday, October 10, 2012 3:55:48
>> PM
>> Subject: Re: [wanabidii] Mhe PETER KAFUMU ANAOMBA RADHI AU .........?
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> Waungwana
>>
>> Nawaomba mnunue kitabu kwanza msome, na kufanya "a book review" na mjadili
>> na kutoa maoni yenu. Kitabu ni cha kingereza mwandishi wa gazeti kajaribu
>> kutafsiri - ni vizuri kusoma mwenyewe. Tuwasiliane mpate kitabu. Kinauzwa
>> Shs 15,000 tu. Karibuni..
>>
>> Ng'wizukulushilinde
>>
>> --- On Wed, 10/10/12, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
>>
>>
>> From: mngonge <mngonge@gmail.com>
>> Subject: Re: [wanabidii] Mhe PETER KAFUMU ANAOMBA RADHI AU .........?
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Wednesday, October 10, 2012, 5:05 PM
>>
>>
>> Mimi siyo Kafumu na wala sijabahatika kusoma kitabu chake lakini kwa
>> kuiangalia sehemu uliyonukuu "...kwamba kuishi kwa uaminifu katika
>> jamii iliyokithiri kwa rushwa ni sawa na tone la damu ya samaki
>> aliyejeruhiwa baharini" unaweza kutoa tafakari.  Maneno hayo ni ya
>> kiswahili yanayoweza kueleweka kwa wasomaji japo mwandishi anaweza
>> kuwa na tafsiri zaidi.
>>
>> Kwa vile katuandikia wasomaji ili tusome kitabu chake na bila shaka
>> kuelewa ujumbe anaokusudia tuupate. Binafsi namuelewa kwamba si rahisi
>> kuuona uaminifu wa mtu au watu waaminifu wachache wanaoishi na jamii
>> kubwa isiyokuwa na uaminifu (wala rushwa). Kwa kufafanua
>> anachokimaanisha akafananisha mchango wa mtu mwaminifu na tone la damu
>> ya samaki baharini.
>> Kwa ufupi kama mada inahusu rushwa na tukiamua kujielekeza katika
>> tukio lililompata mwandishi wa kitabu hicho tunaweza kupata maana
>> zaidi. Yeye Kafumu amevuliwa ubunge kwa sababu ya ukiukwaji wa
>> taratibu za uchaguzi yumkini ikiwemo rushwa.
>>
>> Maana pana zaidi tunayoweza kupata ni kama waziri mstaafu (Sumaye)
>> alivyosema juma lililopita kwamba rushwa inanuka katika chaguzi za
>> CCM. Inawezekana Kafumu alianza kudaiwa rushwa tangu kuteuliwa na
>> chama chake hadi kwenye uchaguzi wenyewe. Hivyo anavyosema mtu
>> mwaminifu hawezi kutokea kwenye kundi la wala rushwa maana
>> hawatampitisha na hivyo hawezi kuonekana au kueleweka kwa namna
>> yoyote.
>>
>> Lakini pia Kafumu anaweza kuwa na maana pana zaidi ya kwamba
>> watanzania kwa ujumla wetu tulikofikia ni mwendo wa kutoa chochote ili
>> uchaguliwe "Toa kula nikupe kura"
>> Kwamba nchi imekuwa ya watu wasiokuwa waaminifu na hivyo mchango wa
>> mtu mwaminifu hauwezi kuonekana kwa namna yoyote. Nafikiri Kafumu hana
>> mpango wa kuomba radhi bali ameamua kuanika alichokiona ndani na nje
>> ya CCM
>>
>> Naamini Kafumu mwenyewe atatueleza nini hasa alichokimaanisha ili
>> tuweze kununua na kukisoma kitabu chake kwa uelewa zaidi
>>
>> 2012/10/10 Said Issa <saidissa100@yahoo.com>:
>>> Hi All,
>>> Nd. Peter Kafumu ameandika kitabu kuhusu rushwa nchini kinachoitwa
>>> "Sauti
>>> Inayolia-Tafakuri Binafsi" (a Crying Voice-personal reflections).
>>> Maelezo yake ya mbio mbio yananipa fikra kama huyu Mhe anatubia labda
>>> kwa
>>> kushinda kule Igunga kwa kupitia mambo ya rushwa na sasa anaomba radhi.
>>> Anyway, kila mtu atafahamu kivyake, lakini mimi ninamuona kama anaomba
>>> radhi, hasa pale alipoandika kuwa...."...kwamba kuishi kwa uaminifu
>>> katika
>>> jamii
>>> iliyokithiri kwa rushwa ni sawa na tone la damu ya samaki aliyejeruhiwa
>>> baharini".
>>>
>>> Najua Mhe Kafumu yupo hapa ukumbini. Ningelimuomba atupe briefing ya
>>> kitabu
>>> chake ambacho kidogo hakifahamiki - yaani haeleweki kama anai-expose
>>> rushwa au anaomba radhi kwa rushwa iliyotendeka Igunga mpaka akashinda?
>>>
>>>
>>> http://zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2012/10/peter-kafumu-alishinda-kutokana-na.html
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>> to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>>
>>
>> -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>> -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata
>> Email ya kudhibitisha ukishatuma

> -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata
> Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment