CCM kuna mafisadi na watumiaji madaraka vibaya, vile vile kuna watu wema. Wakubwa wa ufisadi wametajwa hadharani na upinzani na hata baadhi ya wanaCCM. Kumbuka NAPE na kampeni ya kujivua gamba. Tunachowaomba wale wema ni kuwataja na kujitenga na wale mafisadi hadharani. Muanze kupigana kuwaondoa kwenye nchama, na kama ikiwezekana kuwachukulia hatua za kisheria.
Vile vile tungeomba wanaCCM wanaowajua mafisadi wa upinzani wawataje hadharani, na tutegemee upinzani kuwafukuzia mbali. Kwa namna hii wale wema wa CCM na wa upinzani wanaweza kuaminiana na kuwa wapinzani wenye lengo la ustawi wa taifa.
Kwa sasa, alimradi waizi wa EPA, MEREMETA, Import Export Fund, IPTL, Richmond/Dowans, Radar, Ndege ya Rais, pesa za Swiss Banks, viongozi wenye mabilioni na makasri, nk wako huru na tena kwenye nafasi za uongozi wa CCM, wale wema wananuka pamoja na hao mafisadi. Unashangaa nini nyote mnaonekana muozo hata kama binafsi nakufahamu kwa unadhifu wako?
Daktari, huna choice ila ile ya kuwaaibisha hadharani na kusema yale maovu wanayofanya. Mwisho wa siku wale wema wa CCM na Upinzani watarithi hii nchi, au kwa zamu au kwa kujiunga. Lifikirie.
mchilyi7.0
-----Original Message-----
From: Dr Peter D Kafumu <kafumu@yahoo.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Fri, Oct 12, 2012 10:22 pm
Subject: Re: [wanabidii] Mhe PETER KAFUMU ANAOMBA RADHI AU .........?
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
-- From: Dr Peter D Kafumu <kafumu@yahoo.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Fri, Oct 12, 2012 10:22 pm
Subject: Re: [wanabidii] Mhe PETER KAFUMU ANAOMBA RADHI AU .........?
Selemani, Nakubaliana nawe sana kuwa ccm kuna mafisadi wakubwa lakini siyo sote. Nasema tena cdm nako kuna mafisadi wengi tu, waliojilimbikizia mali na watanzania wengi wakilala na njaa, wanaendesaha magari mahammer kutoka marekani lakini hawa ni malaika. siyo kweli. Lakini pia cdm wapo waadilifu wa kweli. Naomba nawe uwe objective usimchukie lila aliye ccm, ni kujenga chuki.
|
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment