Tuesday 9 October 2012

Re: [wanabidii] Matokeo ya Rufaa ya Sumbawanga Mjini,yakoje?.

HK,

Ogopa sana mtu aliyelala akaamka. Rukwa ni miongoni mwa maeneo ambayo walikuwa wakiabudu CCM, pengine hilo ndilo lililowafanya viongozi wa CCM na serikali yake wawaone watu wa kule kuwa mali yao, hawakuwajali katika miradi ya maendeleo, miundombini ya barabara iliendelea kuwa duni huku wakiwapiga ahadi hewa.

Leo hii Rukwa wameamka, kama Sumbawanga ndio usiseme, kutoka kuimba CCM pambalama hadi kukitemea mate.

Kama walivyokushauri, Sumbawanga sio salama kwa CCM, kwenda kule ni kutafuta aibu.

Felix

2012/10/9 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
SI mchezo Mhe. Kigwa. Unafikiri CCM inaweza kuchomoka kweli? nafikiri kikwazo chaweza kuwa ni kutoandikishwa kwa wapiga kura wapya kwne

2012/10/9 Didas Clemence <didasclemence@yahoo.com>

Bahati mbaya sana hao loyal voters wanaozungumziwa na HK hawajulikani kwa number, ni hao loyal voters waliomtaka Bashe awe mbunge wao 2010 ikashindikana....sina hakika sana kama wameendelea kuwa loyal voters. This has happened sehemu nyingi na sasa wengine wanakuwa loyal voters sababu ya umasikini....

mmmmh, let's wait and see ila naamini kunahitajika a COMPLETE SYSTEM OVERHAUL ili kukinusuru chama

--- On Tue, 10/9/12, hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com> wrote:

From: hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com>

Subject: Re: [wanabidii] Matokeo ya Rufaa ya Sumbawanga Mjini,yakoje?.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, October 9, 2012, 5:17 AM

Mollel,

Kunyoosha vidole viwili si tatizo sana kwa siku mahsusi kama hiyo, na hiyo haimaanishi kama ndiyo ishara ya ushindi kwenye uchaguzi utakaofanyika leo hii! Kwnye siasa kuna mkumbo na zaidi upepo, na pia loyalty, CCM ina mtaji mkubwa nchini wa loyal voters. Mkakati mkubwa unaopaswa kuwekwa mbele ni ule wa kulinda loyal voters wetu - ku-avoid mpasuko kwenye kura za maoni, kuvunja makundi ya ndani ya chama na kuhakikisha loyal voters wanatoka kupiga kura etc. CDM inapata ushabiki wa upepo wa wakati husika - hapo inahitajika counter strategy ya ku-block upepo wao ama ku-neutralise kwa ku-clone in some way aina ya siasa wanazofanya na hivyo kuwavuruga wapiga kura etc! CCM itabaki na loyal voters wake, CDM itashindwa kutumia kuvuma kwa upepo wake! CCM itashinda

Regards,
HK!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: "lesian mollel" <aramakurias@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 08 Oct 2012 16:09:40
To: <hkigwangalla@gmail.com>; <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Matokeo ya Rufaa ya Sumbawanga Mjini,yakoje?.

Mh kigwa kiukweli sikushauri uombe hy kaz make ni lawama tu, nilikua sumbawanga na nimezunguka vijiji taktiban kumi kwa pande zote kwa kweli hali si ka;ma unavyodhani ni rahisi kushinda, ccm ina kazi., ;fano that day waliotengua matoke mjin wote vijana kwa wamama walifurika town pale ; sumbawanga kwa sku ile ikawa na jam ya kufa mtu kila mtu akinyoosha vidole viwili, kwangu nilichoka nilipooona kumbe hata hawa jamaa nao washaamua, so i dont support mh kigwa , nakupenda uendelee kukua ktk siasa usje ukaanza kupata vikashfa bw

----------
Sent via Nokia Email

------Original message------
From: <hkigwangalla@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, October 8, 2012 2:19:01 PM GMT+0000
Subject: Re: [wanabidii] Matokeo ya Rufaa ya Sumbawanga Mjini,yakoje?.

Ningekuwa na muda ningewaomba CCM kazi ya kuendesha kampeni za Sumbawanga Mjini na ningehakikisha napata ushindi...
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: Joseph Kulangwa <kulangwa@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 8 Oct 2012 06:45:16
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Matokeo ya Rufaa ya Sumbawanga Mjini,yakoje?.

Ahaaa nilikuwa sijakupata vizuri sheikh.

--- On Mon, 10/8/12, Neville Meena <nevilletz@gmail.com> wrote:

From: Neville Meena <nevilletz@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Matokeo ya Rufaa ya Sumbawanga Mjini,yakoje?.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, October 8, 2012, 6:44 AM

Kulangwa,
Kwenda kuripoti siasa za nchi hii, kwani Arumeru tulikwenda kufanyaje? Lazima tuwepo kuona mambo yanavyokuwa kaka!

2012/10/8 Joseph Kulangwa <kulangwa@yahoo.com>

Mnajipanga kwenda akina nani CDM au? Sijaelewa hapo.

--- On Mon, 10/8/12, Neville Meena <nevilletz@gmail.com> wrote:

From: Neville Meena <nevilletz@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Matokeo ya Rufaa ya Sumbawanga Mjini,yakoje?.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, October 8, 2012, 4:27 AM

Uchaguzi Mdogo unakuja,
Tunajipanga kwenda maana rufaa ya CCM imetupwa mbali!

2012/10/8 Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>

Safi sana. Hii itarudisha utu wa Watanzania wa Sumbawanga.

Felix

2012/10/8 Joseph Beda Rupia <rupia.joseph@gmail.com>

Taarifa hizo ni za kweli, nimezungumza na mtu mmoja yuko mjini Sumbawanga anasema mambo ni full shangwe mitaa ya Mazwi, Jangwani, Bangwe hasi Izia. Rufaa ya CCM imetupiliwa mbali.

Joe Beda
Mhariri-TABIBU,

2012/10/8 vitalisy kisandu <vkisandu@yahoo.com>

Wapendwa,hii Taarifa kuwa Ccm wameshindwa Kesi ya Rufaa ya Uchaguzi wa Sumbawanga Mjini,je ni kweli?.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
Neville C. Meena,
Secretary General,
Tanzania Editors Forum - TEF,
Dar es Salaam - Tanzania.
Cell: +255 - 787 - 675555

        +255 - 753 - 555556
 
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment