Friday 12 October 2012

Re: [wanabidii] Mabomu Mbagala Kizuiani

ITV muda huu RPC, RC na Shehe Mkuu DSM wameeleza kisa. Vijana 2 age 12 wakibishana mmoja mwislamu mmoja mkristu. Mwislamu kashika Qurani kamwambia mwenzake huko Chamazi kijijini kwao kuwa akiikojolea atadhurika atageuka panya au mjusi etc. Mwenzake baada ya mabishano ya muda mrefu akatoa mdudu akakojolea. Mwenye quran akaenda home akamwambia baba, suala likafika kwa mjumbe hadi polisi kata. Taarifa zikapokewa kuandika na kuzagaa. Waislamu wakavamia kituo cha polisi chamazi na kuvunja magari, vioo vya madirisha etc wakimtaka kijana aliyeletwa hapo atolewe nje auawe whatever!! Wakapanga mawe polisi ili magari kutoka polisi nyingine yasiingie. Wakazagaa kuchoma makanisa mawili matatu, imezagaa barabara ya temeke kuja mjini DSM. maonyo yametolewa kuomba amani. Kova, RC na Sheikh wameeleza hao ni watoto si vema wakubwa kuchukua sheria mkononi. FFU walikwenda chamasi na kuwataka watawanyike waondoke kituoni na kuacha fuje. Wachache waliondoka wengi hawakuondoka na kuanza kuharibu mali za watu na makanisa. Kifua kimepata mkohoaji, nchi itawaka moto sio Chamazi na Temeke tu. Onyo limetolewa kwa waendao na magari na queue ni ndefu zahama ndio hiyo. Amani, Amani, Amani. Siku wakristu watakapoinua mkono kulipiza kisafi kuchoma kamsikiti hata kama ni ka make-shift kamojawapo hatujui itakuwaje. Vibaka usiku waleo ndio wamepata pa kuchotoeavya watu. Tujiangalie kwa nia njema. Tuone mifano kwa wenzetu. hapo Mwenge na Ubungo kuna mihadhara inayokashifu wakristu daily wanatumia loud speakers na kujibizana lakini wakristu wapo wananunua tu mitumba, nyanya na sangara hakuna anayechoma msikiti wala kuwavamia. Tujenge uvumilivu pande zote. Miji mingine imeambiwa iweke tadhadhari. Limejambwa Dar litanuka kote TZ.
Mungu ibariki TZ, tufunue fikra tujue jinsi ya kuishi ktk ukweli sio visingizio. Waendao Temeke wametakiwa kujiangalia.

From: Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 12 October 2012, 14:21
Subject: Re: [wanabidii] Mabomu Mbagala Kizuiani

Hii njia ya kujichukulia sheria mkononi ndilo linalonipelekea kuwashanga hawa ndugu zetu.

From: Joseph Beda Rupia <rupia.joseph@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, October 12, 2012 1:40 PM
Subject: Re: [wanabidii] Mabomu Mbagala Kizuiani

Inasemekana kuna kijana aliikojolea Koran Tukufu jana, sasa leo Waislamu wanamsaka wamuue ndio chanzo cha ugomvi au vurugu hizo na polisi.

Joe Beda
MHARIRI TABIBU

2012/10/12 Marcus FALINZUNGU <marcus.falinzungu@wfp.org>
 
Wanabdii;
Mimi niko Kigoma, familia iko Mbagala-DSM
Nasikia kuna ugomvi na mabomu kati ya Waislamu na polisi kituo cha Kizuiania
Mlio karibu tuambieni kulikoni??
 
Rgd
Marcsu

--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
0 comments:

Post a Comment