Sunday 21 October 2012

RE: [wanabidii] LIJUE KUNDI LA WAHUNI WANAOJIITA WAISLAMU WENYE IMANI KALI


nimeanza kusoma kur ani nina miaka 7, hilo jina lisikutishe la kuitwa martini, kumbuka hapomwanzo uislamu ulivokuwa kitu kimoja, pia fahamu AMERICA, wakapachika watu wao ktk uislamu lakini tukawajua hata misikiti yao tuliwagomea kuswali, ishu walizo zisimamia ni kama maulid, kutikisa kidole, kukata suruali, kufuga ndevu, nk...hayo wanayoyadai wao hakuna msomi wa ki-slamu asiye yajua hayo, yananjia zake na namna ya kuyatatua..wenzenu wakristo mipango yao wanafanya kwa siri, mara ngapi vikao vyao wamefanyia Kenya kwani hatujui, lakini waislamu vikao vyao kwenye majukwaa, kama sio wametumwa kuvuruga uislamu ni kitu gani?
miaka ya 80 waislamu wasinge ongea na huyo mtoto wala wazazi wake ila ambacho kingempata ingekuwa fundisho, 

Date: Sun, 21 Oct 2012 01:40:39 -0700
From: abachamani@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] LIJUE KUNDI LA WAHUNI WANAOJIITA WAISLAMU WENYE IMANI KALI
To: wanabidii@googlegroups.com

Martin,
Sidhani kama ni lazima kuandika kama huna la kuandika.
Unamfurahisha nani ndugu yangu.Ungekuwa Mwislam ningekuelekeza kuhusu hayo unayoyasema lakini kwa imani zenu nadhani ni ngumu kidogo.
Waislam wamanza kumlalamikia Mwenyeheri Nyerere muda mfupi baada ya na alichowafanya fuatilia historia utakutana na majina kama ya TEWA SAID TEWA,TITI MUHAMED,HASSAN BIN AMIIR nk na ukipenda fatilia hilo la Saud Arabia na Usama vizuri usipige kelele tu.
Ponda siyo msomi wa huko na leo ndiye anasemwa ni kinara au kuna unayemjua katika waislam waliokamatwa aliyesoma huko?
Bahati mbaya kabisa na bwana Tony anakusifu.Hakika anakukejeli yeye ni mweledi sana na anaelewa kwamba UNATANIA KAMA HUTUKANI.



Walewale.


From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, October 21, 2012 10:49 AM
Subject: Re: [wanabidii] LIJUE KUNDI LA WAHUNI WANAOJIITA WAISLAMU WENYE IMANI KALI

Rashid,

Ulichonena hapa ni sahihi, lakini kumbuka makundi mawili yaliyokwenda Quom, Iran (waalim wa Quran), na Misri pia Libya.

Infighting ya makundi haya ndiyo inapelekea kwenye fujo zote hizi. Kwanini waandishi wasitujuze historia ya makundi haya ili wananchi waelewe kuwa tofauti na tunavyoelewa, makundi haya yana ajenda toka kwa wafadhili wao! Wananchi wakielewa, itasaidia kuipa moyo serikali kuyashughulikia.
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: rashid martin <rashidtz@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 21 Oct 2012 10:24:44 +0300
To: wanabidii google<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] LIJUE KUNDI LA WAHUNI WANAOJIITA WAISLAMU WENYE IMANI KALI

kabla ya mwaka 1995, waislamu walikuwa wamoja na wenye kushikamana na wale wasio kuwa katika imani yao, baada ya hapo palizuka wimbi la vijana kwenda saudiarabia kusoma masomo ya ki-slamu, waliporejea nchini mambo ndipo yaliharibika kabisa, maana palizuka kundi la watu hao waliosoma saudia wakiwa wamekuja na mambo kedekede, kwanza walianza kuwavuruga waislamu wenzao tena kwa kashfa na matusi, kundi hili likajifanya lenyewe ndilo linajua kila kitu, si kur ani, si hadithi, si  siasa na kila kitu, ili kujitofautisha na sisi akina yakhe kufuga midevu kwao ikawa kama ibada, kukata suruali ikabaki kama panjabi ikawa wao, ni kundi lililo jiona baada ya Mtume Muhammad(S.A.W) wanafuatia wao...wakajifanya wao ni waislamu wa kimataifa eti mwezi ukiandama hasahasa saudia na wao wamo kwa idd au kwa kufunga,matokeo yake waislamu wa kawaida wakawaona kero, na kweli walikuwa na mpaka sasa ni kero, si kwa waislamu tu bali hata kwa jamii nzima, hawa wajinga nathubutu kuwaita ivo walifikia kiwango hata cha kumuita sheikh hemed bin juma kafiri, eti waislamu ni wao tu!!!
kwa sasa siasa wanazijua wao wangine hatuzijui, kundi hili linalojiita answar sunna ndilo linapaswa kulaumiwa kwa kusababisha afghanistan kuharibika na kuwa hivi, kwani walipopewa utawala hao akina hosama bin laden na wajinga wenzie akina mullar omar, walianzisha sheria ngumu ngumu hadi watu wakauchukia uislamu wenyewe, ikawa eti ukikata ndevu unahukumiwa, wanawake marufuku kwenda sokoni, ole wako uvae suruali ndefu, kwa sheria hizo ambazo wangeweza kwanza kuwaelimisha watu ili nwatu hao wabadilike taratibu wao walizingiza kwa jazba matokeo yake raia wa afghanistani wakaona ni kero tupu,kundi hili tukilichekea Tanzania itakuwa kama somalia, tujiulize baada ya yule mtoto kukojolea msahafu kur ani na sunna zinatupa muongozo gani? kipindi cha Mtume Muhammad kuna mtu alingia msikitini na kuanza kukojoa, je mtume alimfanya nini?watu waliokuwepo msikitini walipotaka kumpiga mtu huyo, Mtume aliwazuia akasema muacheni hadi amalize haja yake wala msimzuie, wakamuacha hadi alipomaliza kukojoa, hapo watu wakamuuliza nini maana ya kuwazuia wakati mtu kanajisi msikiti? kwa uchache Muhammad alijibu hivi....kwanza aliwataka wasafishe palipo kojolewa, pili akawambia ki-afya msimkatishe mtu anapotoa haja kama haja ndogo nk, kwani kufanya ivo kunaweza kuleta matatizo ya kiafya, pili akawambia laiti kama mngeanza kumpiga basi mkojo ungetapakaa msikiti mzima, pili kudhibiti jazba na kutumia hekima na busara ndio uislamu, leo hiii... mtu kakojelea msahafu ni jambo baya tena halifai lakini lazima mrudi katika kur ani na sunna, swali la kwanza nani kaona tukio hilo? je anasifa za kutoa ushahidi, sifa hizo ni kama 1,umri 2. akili timamu nk. sasa leo hii mkavunje makanisa kwa melekezo yapi......
hebu tazama huyo Sheikh Ponda katika harakati zake ana waasa waislamu wasichague CHADEMA kwani ni chama cha Ki-kristo, leo hii hao hao Chadema wanaiambia serikali imtoe kwa dhamana Ponda kwani anahaki ya kikatiba, pili badala ya kuwa hamasisha waislamu wajiunge zaidi na zaidi katika vyama vya siasa kama CCM, CHADEMA, TLP,CUF,nk, ili kuweka usawa katika siasa wewe unawaamasisha waislamu wasusie chadema, je siku chadema ikishika dola waislamu si itabidi wahame nchi.
nrudia tena kusema hawa ni kundi la wahuni tusiwachekee waislkamu wenzangu

> Date: Sat, 20 Oct 2012 19:31:07 +0100
> From: ngupula@yahoo.co.uk
> Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
> Kuleta vurugu,kuuwa,kuvunja makanisa na kuchukia wengine,the guy is today called innocent revolutionalist.wha is the meaning of innocent when somebody anavunja sheria za nchi na kuhatarisha amani.Mind you,mtandao huu sio kijiwe cha kahawa cha baada ya swala ya jioni. Dont triggerout our moods by your crooked thinking.Ngupula Godfrey
>
> ------------------------------
> On Sat, Oct 20, 2012 9:01 PM EEST Said Issa wrote:
>
> >Hunahaja ya kusikiliza, maanake mambo yanabadilika kila baada ya dakika moja.
> >Utakaporejea safari yako utayakuta mengine!
> >
> >From: "nevilletz@gmail.com" <nevilletz@gmail.com>
> >To: Said Issa <saidissa100@yahoo.com>; "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> >Sent: Saturday, October 20, 2012 2:07:24 PM
> >Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
> >
> >
> >Nitaisikiliza,
> >Niko safarini kidogo.
> >Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
> >From: Said Issa <saidissa100@yahoo.com>
> >Date: Sat, 20 Oct 2012 09:45:18 -0700 (PDT)
> >To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
> >ReplyTo: Said Issa <saidissa100@yahoo.com>
> >Cc: nevilletz@gmail.com<nevilletz@gmail.com>
> >Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
> >
> >Kaka Neville,
> >Kama hukuweza kuisikiliza ile Radio Mzalendo, basi nenda hapa chini kwa maelezo zaidi juu ya ile interview ya Sheikh Farid na Salma Said ya jana usiku kwake!
> >Baadae, I am sure you will join us in condemning what had happened to an innocent Revolutionary!
> > 
> >http://zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2012/10/interview-ya-sheikh-farid-baada-ya.html
> >
> >...bin Issa.
> >
> > 
> >From: Said Issa <saidissa100@yahoo.com>
> >To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> >Cc: "nevilletz@gmail.com" <nevilletz@gmail.com>
> >Sent: Saturday, October 20, 2012 1:07:04 PM
> >Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
> >
> >
> >Dear Kaka Neville,
> >Samahani, kwani mimi sio Mkumbaruko, lakini yeye ni mtani wangu (yeye ni Mndengereko na mimi ni Mpemba) na kwahivyo nimeona bora nimsaidie,
> >kwani being Saturday today I know he might be drunk by now already!
> >Majibu yako are in red. 
> > 
> >From: "nevilletz@gmail.com" <nevilletz@gmail.com>
> >To: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>; "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> >Sent: Saturday, October 20, 2012 11:11:38 AM
> >Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
> >
> >
> >John!
> >Farid alisema kwamba alikuwa chini ya polisi na usalama wa Taifa. Akaahidi kwamba atazungumza zaidi leo. Kusema tu, hakutoshi kwa maana kwamba yeye binafsi si mtu pekee wa kusema huo ukweli.
> >
> >Nasema hivyo kwani tukio zima limegubikwa na utata wa hali ya juu. Anapaswa atwambie;
> >1. Alitekwa, alilaghaiwa au alishawishiwa kuacha gari lake na kupanda la hao walaghai, washawishi au watekaji?
> >    Kutoka gari la watekaji walitoka wawili wenye machine guns!
> >
> >2. Alikuwa na miadi nao au ilikuwaje, maana tunaona anatoka nyumbani akiwa na dereva, mara anaachana naye kwa kumtanguliza nyumbani yeye anabaki na watu akizungumza nao!
> >    Mmoja akijifanya kama mwanafunzi wake alimpigia simu na akamueleza kuwa anataka akutane nae Mwalimu wake msikitini!
> >
> >3. Kama alitekwa alipiga kelele au alifumbwa mdomo? Kama alishawishiwa kwa vipi? Nini kilimshawishi kukubali kuondoka nao?
> >    Kutokana na maelezo yake ni kuwa alipoona wawili wametoka na machine guns akaona hapakuwa na njia ya kukimbia au kupiga kelele na ikabidi asalimu amri!
> >
> >4. Kama ni ulaghai ni upi uliomshawishi mtu wa aina yake kulaghaika?
> >    Hapakuwepo ulaghai. Watekaji meant business, else wasingelitoka na machine guns!
> >
> >5. Je alikuwa akiwafahamu hao jamaa alioondoka nao? Kama hapana, alikubali vipi kupanda gari tena usiku kuondoka na watu asiowafahamu?
> >   Alikuwa hawafahamu hao watekaji, lakini walijitambulisha kuwa ni Usalama wa nchi na wakitaka kumuhoji kidogo!
> >
> >6.Muda wa saa 3 usiku ambao ni wa kuondoka kwake na kurejea kwake, ulikuwa maalum au coincidence?
> >   Muda huo ndio umeme huwa unazimwa Unguja na hata ukitaka kuweka miadi na msichana basi huwa tunapendelea baada ya umeme kuzimwa!
> >
> >N.B.
> >Garini alitiwa pingu na kuzibwa macho kwa kitambaa cheusi. Halafu gari ilielekea to the nearest R/A na ikazunguka kama mara tatu na baadae ikatokomelea mbali!
> >
> >...bin Issa.
> >
> >
> >Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
> >From: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
> >Date: Sat, 20 Oct 2012 05:38:44 -0700 (PDT)
> >To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
> >ReplyTo: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
> >Cc: nevilletz@gmail.com<nevilletz@gmail.com>
> >Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
> >
> >Kaka Neville,
> >Kaka unataka waandishi wa habari gani wakusaidie ili uamini?
> >Hivyo ile interview baada ya kuachiwa ya jana saa sita za usiku ya huyu Sheikh na mwandishi wa habari wa Mwananchi huiamini pia?
> >Au hii interview hukuiona?
> >Kama hukuiona tunakusamehe. Tafadhali isikilize vizuri kutoka hapa chini:
> > 
> >http://www.zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2012/10/sheikh-farid-azungumza-baada-ya.html
> > 
> >Vyombo vya usalama kwa huko Zanzibar hawakutenda haki. This all was unnecessary. Sasa roho 2 zishapotea bure bure!
> >Kwanini tumetaka siasa za kushindana wakati sisi hatuwezi kushindana?
> > 
> >Kila la kheri / Nkumba.
> > 
> >
> >From: "nevilletz@gmail.com" <nevilletz@gmail.com>
> >To: wanabidii@googlegroups.com
> >Cc: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
> >Sent: Saturday, October 20, 2012 9:20:23 AM
> >Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
> >
> >
> >Siamini kama alitekwa, inabidi walioko Zanzibar hasa waandishi wa habari watusaidie kuuliza maswali na kuchunguza!
> >Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
> >From: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
> >Sender: wanabidii@googlegroups.com
> >Date: Fri, 19 Oct 2012 14:23:25 -0700 (PDT)
> >To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
> >ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
> >Cc: Magiri paul<kiganyi@gmail.com>
> >Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
> >
> >Nd. Paul,
> >It doesn't make sense kama alijificha mwenyewe. Sheikh Amir Azzan alitoa ultimatum ya 26 hours na serikali imeogopa. Bila ya kumuachia damu ingelimwagika kesho Unguja!
> >But, a very bad precedent has been set. SMZ shouldn't have surrendered, kwasababu na Waislamu wa Bara sasa na wao watatoa ultimatum ya kufa na kupona! Hapo sasa ndio itakuwa kazi!
> >Anyway, mwenyewe kesharudi kutoka matembezi na atashughulikia kazi yake aliyopewa na wananchi!
> >
> >//Nkumba.
> >
> >From: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
> >To: wanabidii@googlegroups.com
> >Sent: Friday, October 19, 2012 4:46:05 PM
> >Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
> >
> >
> >Monica!
> >Nadhani alikuwa amejificha tu! Kuna picha nime update akiwa anaingia kwake anaonekana mwenye furaha kabisa.
> >
> >BTW, ni UAMSHO haohao ndio wametoa hizi taarifa kwenye wall yao ya FB!
> >
> >Magiri.
> >http://www.wotepamoja.com/
> >
> >
> >2012/10/19 Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
> >
> >Kapatikana alikuwa wapi? tunahitaji maelezo yakutosha 
> >>
> >>Date: Fri, 19 Oct 2012 21:17:58 +0100
> >>Subject: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
> >>From: kiganyi@gmail.com
> >>To: wanabidii@googlegroups.com
> >>
> >>http://wotepamoja.com/archives/9272#.UIG1SgoSPFU.gmail
> >>--
> >>Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
> >>Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
> >>Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
> >> 
> >>Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >> 
> >>Disclaimer:
> >>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >> 
> >> 
> >>--
> >>Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
> >>Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
> >>Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
> >> 
> >>Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >> 
> >>Disclaimer:
> >>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >> 
> >> 
> >>
> >--
> >Karibu Jukwaa
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 



--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment