Saturday 20 October 2012

Re: [wanabidii] KIZAZI HIKI NI CHA KUDADISI!

Katuka mafundisho ya mwanzo ya katekisimu huwa ni juu ya majaribu, mstari wa msingi katika mafundisho haya ni Metthew 4;3-4 naunukuu (Jesus met with the tempter come to him and said "If you are the son of God, command that those stones become bread" He answered "Man shall not live by bread alone, but by every word that proceeds from the mouth of God")
 
Kwa maelezo ya mtandao wa Assist-Ministries.com watoto waliokuwa wanabisha na ni Zakaria Hasan Mbonde (12) na Emmanuel Mwinuka (13), huyu Zakaria ndiye aliyeleta Kitabu kwa jina lake ni dhahiri anatoka katika familia ya kikristo kwenda uislam na ni dhahiri alikuwa hajapata misingi imara ya uislam, ndo kwanza alikuwa katika mafundisho ya uislam (alikuwa akitokea madrasa)
 
Mtoto Emmanuel Mwinuka kwa umri wake wa miaka 13 nidhahiri alikuwa hajaanza katekisimu kwani watoto wengi huanza wakiwa na miaka 14 au 15 hivyo hakuweza kutambua kuwa hayo yalikuwa majaribu ya shetani aliyepitia kwa mtoto Zakaria asiyekuwa na misingi imara ya dini, kwa wakatoliki kama mtoto hajapata kipa imara basi ni rahisi kupata majaribu kama alivyopata mtoto Emmanuel Mwinuka.

 
Mzazi wa Zakaria,ni mwislam safi ndo maana alihamaki na kulipeleka suala msikitini haraka baada ya kukosa mwafaka wa wazazi kutokana na kukosekana kwa busara za mzazi wa Emmanuel kumkanya mwanae (Mithali 23;13-14) Je? ilikuwaje huyu mtoto akaitwa Zakaria? nidhahiri mama wa huyu mtoto ni mkristo labda kama nitasahihishwa, hivyo uwezekano wa kuwepo family conflict za kiimani ni mkubwa ndo maana mtoto akakosa misingi ya dini tangu mwanzo.
2012/10/21 weston mbuba <matutetz@yahoo.com>

Meena,
Hakupitiwa nadhani si msomaji wa mara kwa mara wa Biblia. Hawa ndo wameifanya amri ya USIZINI ionekane kuwa ni amri ya 6 ilhali ni amri ya 7. Soma Kutoka 20:1-17. Na kisa hiki cha Lutu kipo Mwanzo 19:15-26. Tutakiane Jpili njema.------------------------------ On Sat, Oct 20, 2012 11:51 PDT nevilletz@gmail.com wrote:  >Kessy, >Kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba aliyegauka jiwe la chumvi ni mke wa Loti (Ruthu) wakati Mungu alipotaka kuziangamiza Sodoma na Gomora. > >Kidogo tu, naona ulipitiwa! >Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania > >-----Original Message----- >From: Sylvanus Kessy <frkessy@yahoo.com> >Sender: wanabidii@googlegroups.com >Date: Sat, 20 Oct 2012 11:34:09  >To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com> >Reply-To: wanabidii@googlegroups.com >Subject: [wanabidii] KIZAZI HIKI NI CHA KUDADISI! > >Katika Biblia mke wa Nuhu aliambiwa asiangalie nyuma wakati wa kuingia kwenye Safina. Akaangalia kijanja akawa jiwe LA
 CHUMVI.  > > >Watoto wa siku hizi ukimwambia usishike umeme, utakufa, atashika ili aone kama atakufa. Na kama hatakufa ile shock itamfunza asirudie tena.  > > >Misahafu ni vitabu vitakatifu. Vinatakiwa viheshimiwe na vitunzwe vizuri. Ni vema kuwafundisha watoto wetu kuviheshimu na kuvitunza.  > > >Tukiwaambia ukikiharibu utalaaniwa na Mungu. Mwanzo ataogopa maana hajui maana ya laana ni nini. Kadiri ya kukua na udadisi wake ataelewa pole pole maana ya laana.  > > >Ukimwambia ukikikanyaga utakuwa mbuzi siku moja akiwe mwenyewe atakikanyaga ili aone kama atakuwa mbuzi. Asipokuwa mbuzi ni hatari ya kukidharau kwa kuona kile alichofundishwa ni uwongo amedanganywa na hakuna ukweli.  > > >Wazee wetu pia walifundishwa mwanamke mjamzito asile mayai kwa vile atazaa mtoto asiye na nywele. Siku hizi wanakula. Katika kabila langu tukiwa watoto tuliambiwa tusile nyama ya maini maana utakapo tahiriwa utatoka damu nyingi. Siku hizi wanakula. Kumbe mafundisho yale
 yalikuwa UWONGO.  > >Tuangalie Elimu tunayowarithisha watoto wetu. Inaweza kuwapotosha.  > >--  >Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com >Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com >Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com > >Kujiondoa Tuma Email kwenda  >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma > >Disclaimer: >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. > > > >--  >Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com >Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com >Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com > >Kujiondoa Tuma Email kwenda  >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma > >Disclaimer: >Everyone posting to
 this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. > >

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.



--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment