Friday 12 October 2012

Re: [wanabidii] Kiongozi wa mbio za Mwenge kafungua jengo lililojaa ufa

Lakini swali kubwa jiulize Mhe. DC anamuambia atampelekea Mkimbiza mwenge taarifa ya utekelezaji. Atampelekea wapi Jeshini? Maana ninavyofahamu hakuna Ofisi ya Mkimbiza mwenge hapa Nchini au Mhe. DC angesema atawasilisha taarifa ya utekelezaji kwa Mhe. RC au Waziri mwenye dhamana ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.

On Oct 12, 2012 8:25 PM, <lucsyo@gmail.com> wrote:
Wadau, naangalia taarifa ya habari kupitia  TBC,  namuona Kiongozi wa mbio za mwenge mwaka huu akifungua moja ya majengo yaliyosheheni nyufa pale kahama; mwanzoni alitaka kugoma kufungua jengo hilo mpaka alipoahidiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama kuwa atashughulikia hilo suala; hii ni aibu kwa viongozi wetu jmn; kwa nini hatukagui miradi mpaka tusikie kingozi anakuja
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment