Sunday 21 October 2012

Re: [wanabidii] Hili Ndilo Swali La Shy – Rose Kwa Sofia Simba Lililozua Kasheshe! - Mwanzo

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni. Hiyo ni kali ya mwaka majibu
ya Sofia Simba ni ya kweli japo hayana mashiko. Ni kweli na ndiyo
maana kapita pia ukiwa ndani ya Nambari One huo ndiyo mtindo ukivamia
siasa zao utapigwa mweleka. Majibu ya namna hiyo ni ya kibabe na bila
shaka wapiga kura wamekwishatanguliziwa kitu kabla ya tukio

2012/10/21 Magiri paul <kiganyi@gmail.com>:
> Shyrose Banji mjumbe wa mkutano mkuu umoja wa wanawake Tanzania ambaye pia
> ni mbunge katika bunge la Afrika Mashariki amenusurika kufukuzwa kwenye
> mkutano wa kumchagua mwenyekiti mpya wa umoja huo baada ya kumwuliza swali
> gumu Sofia Simba kama ifuatavyo:
> http://wotepamoja.com/archives/9399#.UIPfCHosoUk.gmail
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment