Wednesday 10 October 2012

Re: [wanabidii] Deo Filikunjombe CHADEMA VS PIndi Chana CCM LUDEWA 2015

Duh wanafunzi 200 ni wengi kijana anapiga kazi.

Paroko Stey

On Oct 6, 2012, at 8:54, adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com> wrote:

> @Steven Stey kwa hiyo Kisiasa Pindi Chana hamuwezi Kabisa Deo
> Filikunjombe?Lakini ninavyojua mimi Pindi ni mwanasiasa zaidi Deo
> Filikunjombe.Kwa upande mwingine Wanaludewa wenyewe wnasema
> Kijana waop Deo Filikunjombe anawasiadia sana hasa nilidokezwa
> namna anavyolipa Ada za wanafunzi wengi kuanzia Sekondari hadi
> chuo kikuu.Nionavyo mimi yeye ndiye mbunge pekee anaeyeongoza
> kusomersha wanafunzi wewngi kwa mfuko wake mfano shule moja ya
> sekondari anasomesha vijana hadi 200
>
> On 10/5/12, Steven Stey <parokostey@gmail.com> wrote:
>> Mna rate Deo vibaya Pinda mwenyewe anamjua Deo,siasa za mtaani acheni
>>
>> Paroko Stey
>>
>> On Oct 3, 2012, at 14:17, adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com>
>> wrote:
>>
>>> WanaLudewa wenyewe wanasema wanajivunia sana Majina kama vile
>>> Marehemu Kolimbo, Mchungaji Mtikila na Deo Filikunjombe.
>>>
>>> On 10/3/12, adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com> wrote:
>>>> @Kigwangalla hivi karibuni nimetoka huko Ludewa nimekutana na
>>>> habari hizi kuwa hivi sasa Deo Filikunjombe amekalia kuti kavu,
>>>> nikasikitishwa na habari hiyo kwa kuwa namjua Deo ni Kijana makini
>>>> na mtu anayependa jamii yake iweze kuendelea.Baadhi ya wanaludewa
>>>> wansema Kumekuwa na pita pita za huko na huko za makada wenzake
>>>> wakimpinga waziwazi kwa kigezo cha misimamo hiyo.
>>>>
>>>> @Kingwangalla unajua tunapojiandaa na mechi kali kocha huwa na
>>>> uteuzi wake lakini na sie mashabiki na wapenzi wa timu tunajua
>>>> nani akikawa nambari saba tunaweza kupata mabao. Kwahiyo kama
>>>> MwanaCCM hiloliliigusa ana tena sana kuona kijana pale ambapo
>>>> kada wetu atakapo vaiishwa jezi za wapinzani.
>>>> Natamani tena sana kumuona Deo Filikunjombe akiendelea
>>>> kutuwakilisha CCM.
>>>>
>>>> Ndiyo najiuliza hapo 2015 hali itakuwaje Chana CCM na
>>>> Filikunjombe CHADEMA?
>>>>
>>>> On 10/3/12, Daud Rwebangila <drwebangila@gmail.com> wrote:
>>>>> Pengine tuseme Deo ni mwiba kwa CCM na historia inaonyesha watu kama
>>>>> Deo
>>>>> hawavumiliki ndani ya Chama, wewe binafsi Mh Kigwa uliwahi kulalamika
>>>>> humu
>>>>> kwamba haupendwi na wenzako ndani ya chama.
>>>>> Wakati huo 2015 kila mmoja wenu atakuwa anapambana kuokoa nafasi yake
>>>>> na
>>>>> bila shaka chochote kitatokea na binafsi siamini kama yaliyompata
>>>>> Selelii
>>>>> hayatampata Deo.
>>>>> Daud
>>>>>
>>>>> 2012/10/3 <hkigwangalla@gmail.com>
>>>>>
>>>>>> Makwega, kwani Ndg yangu Filikunjombe kakosa nini mpaka CCM imtose?
>>>>>> Acha
>>>>>> uchonganishi...Deo ni jembe la CCM, tunamuamini na tunampenda na
>>>>>> tutamlinda
>>>>>> yeye kwa maslahi ya chama na nchi yetu!
>>>>>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>>>>>>
>>>>>> -----Original Message-----
>>>>>> From: adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com>
>>>>>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>> Date: Wed, 3 Oct 2012 02:13:08
>>>>>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>>> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>> Subject: Re: [wanabidii] Deo Filikunjombe CHADEMA VS PIndi Chana CCM
>>>>>> LUDEWA 2015
>>>>>>
>>>>>> Sasa hapa ninajiuliza swali moja tu CCM wtakubali kulipoteza jimbo
>>>>>> kwa kumtosa Deo Filikunjombe?
>>>>>>
>>>>>> On 10/3/12, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
>>>>>>> Hali itakuwa kama ulivyowasikia wapiga kura wakisema endapo
>>>>>>> hapatakuwa
>>>>>>> na 'mazabezabe' au 'mangumashi' katika zoezi la usimamizi wa kura.
>>>>>>> Binafsi siyo mpiga kura wake lakini namuona kama ni kijana mwenye
>>>>>>> upeo
>>>>>>> na anayeweza kudhubutu kutoa maamuzi magumu.
>>>>>>>
>>>>>>> Ili Tanzania isonge mbele inahitaji vijana aina ya Filikunjombe,
>>>>>>> pamoja na kumuhitaji bungeni mimi pia namshauri aanze kufikiria ata
>>>>>>> kugombea urais miaka ijayo. Huyu ni zaidi ya jimbo lake anaweza
>>>>>>> kugombea ubunge wa jimbo nje ya alipo akachaguliwa.
>>>>>>>
>>>>>>> Hachaguliwi mtu kwa sura, chama au unafiki bali kwa uwezo wake wa
>>>>>>> kutoa michango yake bungeni, usimamizi wa mambo ya kimaendeleo katika
>>>>>>> jimbo lake na uzalendo kwa taifa lake. Mtu mchapakazi na mzalendo ni
>>>>>>> biashara inayojiuza si biashara inayotembezwa
>>>>>>>
>>>>>>> 2012/10/2 adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com>:
>>>>>>>> Juzi nilipita Ludewa nikakutana na wapiga kura wa Filikunjombe
>>>>>>>> huyu
>>>>>>>> jamaa anapendwa sana. Tena ikumbukwe huko ndiko nyumbani kwa
>>>>>>>> aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CCM Marehemu Kolimba. Kuna
>>>>>>>> minong'ono
>>>>>>>> kuwa inawezekana kabisa Deo Filikunnjombe hawezi kurudishwa tena
>>>>>>>> kugombea kwa tiketi ya CCM mwaka 2015.
>>>>>>>>
>>>>>>>> Huku kukiwa na majina kama ya Pindi Chana kuweza kurudishwa na
>>>>>>>> CCM
>>>>>>>> kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimboni humo.
>>>>>>>>
>>>>>>>> Sasa nikawauliza wadau hao kuwa inakuwaje sasa kwa Deo
>>>>>>>> Filikunjombe wakasema atakwenda CHADEMA na hakuna wasiwasi sisi
>>>>>>>> tutampigia kura bila shaka."Unajua hapa tulikuwa na shule zetu
>>>>>>>> za kata sasa zilikuwa zinajikongoja kumalizika kwani tulipewa
>>>>>>>> jukumu la kulenga mawe yakawa tatizo lakini kametusaidia sana
>>>>>>>> haka kakijana ketu sasa ni raha tu watoto wanasoma bwana."
>>>>>>>> anasema ndugu huyo.
>>>>>>>>
>>>>>>>> Mbunge wetu anafikiria nje ya boksi hafikirini kwa kufungwa
>>>>>>>> ndani ya boksi ngoja tuombe uhai tu aliongeza mdau huyo.
>>>>>>>>
>>>>>>>> Kwa kawaida eneo hili lina makabila ya Wakisi,Wapangwa , wamatengo
>>>>>>>> na wengineo ambao kwa desturi ni watu wapole na wanaheshimu sana
>>>>>>>> mamlaka. Kweni Katika safari yangu waliweza kutembea umbali
>>>>>>>> mrefu
>>>>>>>> kuja kuhudhuiria mkutano ulionipeleka eneo hilo.
>>>>>>>>
>>>>>>>> Sasa Deo Filikunjombe akigombea kwa CHADEMA na Pindi Chana kwa
>>>>>>>> CCM
>>>>>>>> 2015 hali itakuwaje Ludewa ?
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>> Wasalaam Adeladius Makwega
>>>>>>>>
>>>>>>>> --
>>>>>>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>>>>>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>>>>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>>>>>>
>>>>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>>>> ukishatuma
>>>>>>>>
>>>>>>>> Disclaimer:
>>>>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>> legal
>>>>>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>>>>>> must
>>>>>>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>>>>>> you
>>>>>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>>>> Guidelines.
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>> --
>>>>>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>>>>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>>>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>>>>>
>>>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>>> ukishatuma
>>>>>>>
>>>>>>> Disclaimer:
>>>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>> legal
>>>>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>>>>> must
>>>>>> be
>>>>>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>>>> agree to
>>>>>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>
>>>>>> --
>>>>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>>>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>>>>
>>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>> ukishatuma
>>>>>>
>>>>>> Disclaimer:
>>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>> legal
>>>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>>>> must
>>>>>> be
>>>>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>>>> agree
>>>>>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>> --
>>>>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>>>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>>>>
>>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>> ukishatuma
>>>>>>
>>>>>> Disclaimer:
>>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>> legal
>>>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>>>> must
>>>>>> be
>>>>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>>>> agree
>>>>>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>
>>>>> --
>>>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>>>
>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>> Disclaimer:
>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal
>>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>>> must
>>>>> be
>>>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>>> agree
>>>>> to
>>>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment