Saturday 20 October 2012

Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo

Kaka Neville,
Kaka unataka waandishi wa habari gani wakusaidie ili uamini?
Hivyo ile interview baada ya kuachiwa ya jana saa sita za usiku ya huyu Sheikh na mwandishi wa habari wa Mwananchi huiamini pia?
Au hii interview hukuiona?
Kama hukuiona tunakusamehe. Tafadhali isikilize vizuri kutoka hapa chini:
 
Vyombo vya usalama kwa huko Zanzibar hawakutenda haki. This all was unnecessary. Sasa roho 2 zishapotea bure bure!
Kwanini tumetaka siasa za kushindana wakati sisi hatuwezi kushindana?
 
Kila la kheri / Nkumba.
 
From: "nevilletz@gmail.com" <nevilletz@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
Sent: Saturday, October 20, 2012 9:20:23 AM
Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo

Siamini kama alitekwa, inabidi walioko Zanzibar hasa waandishi wa habari watusaidie kuuliza maswali na kuchunguza!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 19 Oct 2012 14:23:25 -0700 (PDT)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Cc: Magiri paul<kiganyi@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo

Nd. Paul,
It doesn't make sense kama alijificha mwenyewe. Sheikh Amir Azzan alitoa ultimatum ya 26 hours na serikali imeogopa. Bila ya kumuachia damu ingelimwagika kesho Unguja!
But, a very bad precedent has been set. SMZ shouldn't have surrendered, kwasababu na Waislamu wa Bara sasa na wao watatoa ultimatum ya kufa na kupona! Hapo sasa ndio itakuwa kazi!
Anyway, mwenyewe kesharudi kutoka matembezi na atashughulikia kazi yake aliyopewa na wananchi!
 
//Nkumba.

From: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, October 19, 2012 4:46:05 PM
Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo

Monica!
Nadhani alikuwa amejificha tu! Kuna picha nime update akiwa anaingia kwake anaonekana mwenye furaha kabisa.

BTW, ni UAMSHO haohao ndio wametoa hizi taarifa kwenye wall yao ya FB!

Magiri.
http://www.wotepamoja.com/

2012/10/19 Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
Kapatikana alikuwa wapi? tunahitaji maelezo yakutosha 
Date: Fri, 19 Oct 2012 21:17:58 +0100
Subject: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
From: kiganyi@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

http://wotepamoja.com/archives/9272#.UIG1SgoSPFU.gmail
--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
0 comments:

Post a Comment