Saturday 20 October 2012

Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo

Mtanzania yeyote mwenye nia njema na Taifa lake ana haki ya kusikilizwa, haijalishi ana sababu ya msingi au hapana. Lakini haiwezekani ku-compromise na mtu yeyote mwenye nia ovu lakini anakuja kwa kusingizia kutetea haki za Wazanzibari.
 
Wazanzibari, kama walivyo Watanzania Bara, wanaweza kuwa na malalamiko yao, lakini hawawezi kuwakilishwa na watu walio wahuni ambao wanadai kuwa wanataka kuvunja mwungano lakini wanaenda kuchoma makanisa - Je, makanisa ndiyo yanayolazimisha mwungano? Wanaenda kuvunja maduka ya pombe na kuiba bia - Je bia ndiyo zinazolazimisha mwungano?
 
Wazanzibari kama hawataki mwungano, wajadiliane ndani ya nchi yao, ikiwezekana wapige kura ya maoni, na kisha waje kwenye serikali ya Mwungano na hoja waliyo nayo lakini siyo kuchoma nyumba za ibada - kwani hata mwungano ukivunjika ina maana Zanzibar watawanyima watu uhuru wa kuabudu? Kati ya watanzania walio wengi huko ulaya (kwa kuzingatia idadi ya wakazi katika nchi), wengi ni wa kutoka visiwani - Je, huko waliko, japo katika mataifa hayo idadi kubwa ni wakristo, waislam au wahindu wanazuiwa kujenga misikiti au kuabudu? Kama tunafurahia uhuru wa kuabudu tukiwa kwenye nchi za wenzetu, kwa nini kwetu hatupendi watu wote wafurahie uhuru wa namna hiyo hiyo?
 
Ndiyo maana ni muhimu sana, kwa sisi Watanzania wote, wakristo kwa waislam na wasio na dini, wazanzibari na Watanganyika kusimama kwa nguvu moja kuwakana na kuwapinga kwa nguvu zozote zile watu wanaotaka kututenga kwa misingi ya dini, iwe ni kwa kauli, kutenda au utoaji wa huduma. Hawa wanaoleta fujo hawana dini yoyote bali wanamtumikia ibilisi. Wanakuja na madai mchanganyiko, yasiyo na kichwa wala miguu lakini inaonekana dhamira yao kubwa ni kuleta vurugu. Wakifanikiwa kuwakorofisha Waislam na Wakristo, watakwenda kwa Washia na Wasuni, wakifanikiwa, watakwenda zaidi na kudai utawala wa sharia, n.k. n.k.
 
Huyu Fareed, inaonekana ni mfitini mkubwa. Dereva wake anasema, Fareed alishuka kwenye gari kwa hiari yake mwenyewe na kwenda kwenye gari nyingine aina ya Noah, yeye (dereva) aliambiwa akanunue umeme, aliporudi hakumwona Fareed wala ile gari. Leo Fareed anasema kuwa alipigiwa simu na mtu asiyemfahamu, akamwambia wakutane msikitini, wakati akimsubiri huyo mtu, alimtuma dereva kununua umeme, wakati dereva alipoondoka huku nyuma gari ilikuja, alitoka mtu ndani ya gari akamfuata aliposimama na kumwambia kuwa yeye ni polisi, na kuwa amakuja kumchukua ili kumpeleka kituo cha polisi lakini hakupelekwa polisi.
 
Fareed anasema kuwa alitekwa na kufichwa sehemu asiyoijua kwa siku tatu, muda wote alifungwa kitambaa usoni na pingu mikononi kwa hiyo hakuwahi kuwaona watekaji, hakuona namba za gari, hakuona alipokuwa, na kwa muda wote hakula (hakupewa chakula wala maji) badala yake alipokuwa anaenda chooni alikuwa akinywa maji ya mfereji (Kipemba ina maana maji ya bomba). Maswali ya kujiuliza: Sura ya Fareed haielekei kabisa ni mtu aliyeishi kwa siku 3 bila kula, nini kilimfanya awe katika hali ya kawaida na siha njema kiasi kile? Kama hakuwa anaona na alikuwa amefungwa mikono wakati wote, aliwezaji kujua choo kilipo wakati hakuwa anaona? Aliwezaji kuona bomba la maji? Aliwezaji kufungua bomba la maji wakati alikuwa amefungwa? Ndiyo maana tunasema kuwa kupotea kwa Fareed kuna uwezekano mkubwa kulipangwa na kundi hili la Uamsho ili kutafuta kuungwa mkono na wafuasi wao wapate kuhalalisha uovu wao.
Bart

From: Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, October 20, 2012 9:01 PM
Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo

Nchi ingekuwa inaweza kuwahajibisha viongozi wake kwa kauli wanazozitoa wakati wa ahadi ingekuwa bora lakiini kwa hali ilivyo ni hasi kwa kila kitu. It is bursting bubble situation mie najua hilo na wengi tunajua hilo lakini bado tunacheka cheka tu.
 
Hawa watu wanaoleta upuuzi huu ni ndugu zetu kwanini wanafanya hivi haiwekwi wazi? wanafanya kwa interest gani haswa? kama ni kweli ni kuulinda uislam nahisi inaweza kuwa contrary na mafundisho japo sina sana uhakika lakini mliobobea mnaweza kutuelimisha kwa hili.
 
Mtu kama Ponda anakuwa radical na unashindwa kuona hamna hata mahali popote sheria zetu zinamkamata juu ya utendaji wake kinachotokea inakuwa ni uhalalishaji wa matukio haya. Kwa jamii inayokua kila linapotokea tatizo lazima tulitatue na tuje na taratibu zitakazozuia utokeaji wa matukio haya kwa siku za mbeleni.
 
Inawezekana watu hawa wanahitaji kusikilizwa na wamepuuziwa muda mrefu, sasa wamepaza sauti regardless kwa njia nzuri au njia mbaya lakini wamepaza sauti. Kwa jamiii iliyofikia ustaarabu sioni kwanini wasisikilizwe inawezekana ni ukosefu wa ueleweshwaji wakieleweshwa watabadilika bila ya kuwatusi kuwa ni umasikini tu unawsumbua. Yes ni kweli hatukuwapa shule na ni masikini so ukiwaambia umasikini unawasumbua tumefanya nini kuondoa hilo?
 
Tuanaweza sema waislam walioelimika watusaidie kwenye hili bila kuzingatia hata hao waliosoma si ajabu wamekuja na kilio cha hawa watu hatukuwasikiliza lakini kama ilivyokawaida kwa mwanadamu akichoka hapati nafasi ya kutafakari matendo yake hivyo kama kweli tunataka kumaliza hili twende chini kabisa kwenye shina la haya yote.
 
Nachokiona hapa wengine wakotayari kufukia mashimo na watu kutenguliwa viuno huku tukiwaambia hiyo ndo staili yao. Pengine mambo yakiwekwa wazi watakatifu sana wataaibishwa na hiyo ndo hisia yangu kuu

2012/10/20 mngonge <mngonge@gmail.com>
Kweli ni kupoteza muda na resource kumuhoji maana dereva wake
alichokisema hakionyeshi kama alitekwa badala yake alikuwa na mipango
na hao alioondoka nao. Labda wamuhoji kuhusu madhumuni na nia ya
kikundi chake cha uamusho (al shabab).

Hivi hicho kikundi kimesajiriwa au ndo hivyo hivyo kama cha sheikh
Ponda hapa bara? Serikali ikiendelea na michezo ya hii tutaishia
pabaya, rais alipokuwa anaingia ikulu aliapa kuitetea na kuilinda
katiba yetu, haya yanayofanywa na vikundi visivyosajiriwa mchana
kweupe tunapowaacha wafanye wanavyotaka ndo kuitetea na kuilinda
katiba?

Vikundi hivi vina madhumuni na nia iliyojificha na sasa kapatikana
huyo kiongozi wao muda si mrefu utawasikia wakiibuka na madai mengine
lukuki, kumaliza kiu yao ni sisi wote kuhama na kuwaachia nchi
wajitawale. Tusifikiri kwamba sisi ni kisiwa la asha, hawa ndo
alkaider na al shabab tayari wamekwishatutembelea tutake tusitake.
Yatubidi kukaa tayari tayari

MUNGU IKINGE TANZANIA NA MABALAA YA  AL SHABAB

2012/10/20 Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>:
> Neville,
> Ni makosa kupoteza resources za nchi eti unachunguza yaliyokumkuta huyu
> kiongozi wa wahuni. It is better they could have eliminated him like they
> nearly did to Ulimboka.
>
> On Oct 20, 2012 9:15 AM, "Cosmaskileo" <cosmaskileo@gmail.com> wrote:
>>
>> Kwa hiyo ndio kusema kwamba serikali imeshindwa kuwadhibiti kabila hawa
>> wachafuzi wa Amani au tuseme nini?
>>
>> Sent from my iPhone
>>
>> On 20 Okt 2012, at 8:00 asubuhi, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
>> wrote:
>>
>> Mkwara gani! kaumbuliwa na dereva wake aliposema alimpa pesa akamnunulie
>> luku huku nyuma jamaa akasepa! Ujanja wa kitoto kabisa.
>>
>> 2012/10/20 Cosmaskileo <cosmaskileo@gmail.com>
>>>
>>> Kwa hiyo mkwara ulisaidia kumbe?
>>>
>>> Sent from my iPhone
>>>
>>> On 20 Okt 2012, at 12:12 asubuhi, nevilletz@gmail.com wrote:
>>>
>>> Yes Breaking News ya ITV saa 6 hii inasema karejea nyumbani usiku huu.
>>> Alizungumza kidogo sana na kudai kwamba alitekwa na watu waliojitambulisha
>>> kwake kuwa ni polisi na usalama wa taifa na kwamba walimuhoji kwa muda mrefu
>>> sana na kumtisha.
>>>
>>> Kasema kesho atazungumza na press kuhusu sakata zima!
>>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>>> ________________________________
>>> From: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
>>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>> Date: Fri, 19 Oct 2012 21:46:05 +0100
>>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>>> Subject: Re: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
>>>
>>> Monica!
>>> Nadhani alikuwa amejificha tu! Kuna picha nime update akiwa anaingia
>>> kwake anaonekana mwenye furaha kabisa.
>>>
>>> BTW, ni UAMSHO haohao ndio wametoa hizi taarifa kwenye wall yao ya FB!
>>>
>>> Magiri.
>>> http://www.wotepamoja.com/
>>>
>>> 2012/10/19 Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
>>>>
>>>> Kapatikana alikuwa wapi? tunahitaji maelezo yakutosha
>>>> ________________________________
>>>> Date: Fri, 19 Oct 2012 21:17:58 +0100
>>>> Subject: [wanabidii] AMIR FARID WA UAMSHO APATIKANWA. - Mwanzo
>>>> From: kiganyi@gmail.com
>>>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>> http://wotepamoja.com/archives/9272#.UIG1SgoSPFU.gmail
>>>> --
>>>> Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
>>>> Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
>>>> Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

>>> --
>>> Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
>>> Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
>>> Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

>> --
>> Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
>> Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
>> Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

> --
> Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
> Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
> Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/

Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment